Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

habarini, Ni mara nyingi sana nimekuwa nikisikia kauli tajwa hapo juu wakati wa kesi mahakamani naomba kufahamishwa. Nini maana yake? Ni katika mazingira gani anaruhusiwa kufanya hivyo? Je...
1 Reactions
9 Replies
7K Views
Wapendwa habari za Jumamosi. Naomba kuleta hoja hii kwenu nikihitaji msaada wa ufafanuzi. Kuna ndugu yangu ambaye anafanya kazi kampuni fulani. Sasa kutokana na mwenendo mbovu wa kampuni, na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama nimezaliwa Tanzania, baba yangu ni Mtanzania na mama si Mtanzania, anaishi kwa dependant pass, je mimi ni raia au si raia? Juzi nimekamatwa na Uhamiaj kuwa sijaapa kukana uraia wa mama.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za kazi wapendwa, Kuna jamaa mmoja aliniuzia kiwanja mwaka jana mwezi julai ambapo makubaliano yalikuwa nimlipe awamu mbili ambapo awamu ya kwanza nilimlipa nusu na awamu ya pili nusu yake...
1 Reactions
26 Replies
8K Views
NA MWANASHERIA WETU Mara nyingi nimekuwa nikiandika kuhusu masuala muhimu kuhusu ardhi hasa namna ya kuandika mikataba mtu anapokuwa ananunua nyumba/kiwanja, hadhi ya mikataba hiyo kisheria, na...
13 Reactions
36 Replies
16K Views
Nahitaji kujua taratibu za kisheria kuna mzungu Kingozi wangu kanipiga picha eneo langu la kazi na ametuma WhatsApp
0 Reactions
43 Replies
9K Views
Naombeni msaada wa Kisheria. Jamani niliibiwa vitu vyangu. hatimaye wezi wamekamatwa na baadhi ya vitu walvyoviiba walikutwa navyo. Sasa unaenda mwezi wa tatu sijarudishiwa vitu vyangu naambiwa...
0 Reactions
1 Replies
969 Views
Wanabodi, Nimekutana na maswali mengi kuhusu tukio hili la waasi waliopo Darfur pamoja na serikali ya Sudan kutaka kumkabidhi Rais wa Zamani wa Sudan Omary AL bashiri kwa mahakama ya kimataifa ya...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna utafiti/ andiko nataka kufanya kuhusiana na sheria za mabenki hasa hasa katika realisation ya securities. Naomba mwenye vitabu au kesi zozote tuwasiliane hapa. Natanguliza shukrani. Sent...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai kifungu namba 225 (4) inasema Upelelezi usipokamilika ndani ya siku 60 mshatakiwa kuachiwa huru. Hiki ni kitu ambacho hakitekelezwi ipasavyo na mahakama na...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimemuwekea mtu dhamana mahakamani Mwaka 2017. Mtuhumiwa akawa anaudhuria mahamamani. Vizuri tu .lakini mwishoni mwa mwaka Jana mtuhumiwa akakata mawasilianao na mimi na mahakamani akawa haendi...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari za maisha wote mtakaopitia hapa. Ninahitaji msaada kuhusiana na mkopo nilioufanya katika moja ya benki hapa nchini. Mie ni mwajiriwa katika manispaa ya Lindi mwaka wa sita sasa, tangu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Awali ya yote nawasalimu wapendwa wa jf, mwaka 2004 nilifanya kesi na mtu ambaye tulikuwa tunagombea shamba,mwaka 2006 baraza la kata aridhi lilinipa ushindi kuwa nile ni shamba langu halali na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salaam kwenu wana JF na hasa jukwaa hili la sheria, Naombeni msaada wa tafsiri ya kuitwa mahakamani kupitia gazeti. Je, Kama kesi ina dhamana (madai), siku hiyo akifika na wadhamini wake wakiwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Rugemeleza Nshala amesema ili Tanzania ifanikiwe kwenye uwekezaji ni muhimu kuhakikisha kuna utengamano wa kisheria na mfumo wa haki...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Unakutana na Polisi kila wakati, na unawaona wakifanya kazi nyingi, kama vile kuongoza magari, kuwalinda viongozi, kudhibiti makundi ya watu, kusindikiza watuhumiwa Mahakamani, kufanya upelelezi...
2 Reactions
12 Replies
14K Views
Heshima kwenu wakuu. Naomba ushauri wa kisheria. Ninafanya kazi kampuni binafsi. hawa wanaoitwa wawekezaji. Mwaka 2018, miezi kama 18 iliyopita nilipandishwa cheo.Cha ajabu nimeendelea kulipwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mbona hakuna hatua zinachukuliwa kwa watu wa aina hii? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Tanzania ni miongoni mwa nchi ambayo fertility rate iko juu sana. Kwa mujibu wa Sensa ya mwaka 2012 kila familia ilikisiwa kuwa na average ya watoto 5. Takwimu za kiuchumi mara nyingi zimeonya...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Naangalia gazeti la leo likisema Mkurugenzi aagiza polisi kumkamata Meya, Waziri aagiza waliohujumu Miundombinu kukamatwa. Hizo ni amri zingine ni majukwaani. Waziri aagiza mkandarasi akamatwe...
0 Reactions
2 Replies
915 Views
Back
Top Bottom