Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Tafadhali wadau za jioni?
Nataka kuingiza dume la ng'ombe nije kuzalisha kwenye shamba langu. Naombeni msaada wa taratibu za kisheria na kanuni za kuingiza mnyama huyo humu nchini. Tafadhari...
Wasalaam,
Naomba kufahamishwa kidogo juu ya nyaraka hizi za kisheria kwa mnaofahamu.
Je, inawezekana kwa mkazi wa mkoani, kutakiwa kuripoti kituo cha polisi Osterbay, Dar es Salaam, huku yeye...
Nimefatwa na Mama mmoja asiyejua kusoma lakini yupo kwenye ndoa.
Ameishi na mumewe kwa zaidi ya Miaka Kumi lakini hakubahatika kupata Mtoto.
Mume wake kamshawishi wamrithishe kijana mmoja Mali zao...
Wakuu bosi wangu anataka kuniweka matatani kwa kunibebesha fedha kiasi kikubwa kupelekea wafanyakazi mishahara site sasa tumekaa na nimeona ananiweka kwenye risk kubwa ya kuvamiwa na kuibiwa au...
Kuna mtu niliingia naye mkataba wa kunikodisha chumba cha kufanyia biashara, chumba kilikua hakijakamilika kimatengezo kwahiyo akaniomba fedha kwa ajili ya kukamilisha matengenezo tukakubaliana...
Habari wakuu,
Power of Attorney ni kitu ambacho nimekuwa nakutana nacho mara kwa mara. Ni kitu ambacho kwa maoni yangu, si cha kawaida sana Tanzania kama ilivyo nchi za wenzetu. Inawezekana ni...
Cabotage Law hii ni sheria inayowekwa na nchi ili kulinda huduma za usafirishaji wa ndani wa majini kwa wazawa/kampuni za ndani kutoa huduma kati ya bandari moja na nyingine ndani ya mipaka ya...
26.-(1) Pale mtu yeyote amehukumiwa kifo, hukumu hiyo itaelekeza kwamba mtu huyo anyongwe kwa kitanzi mpaka afe:
Isipokuwa kwamba, endapo mwanamke aliyehukumiwa adhabu ya kifo atakuwa mjamzito...
Napenda kuuliza ili nipate maoni yenu waungwana kuhusu hili:
Je ikitokea mwanamke/msichana amepata ujauzito kutokana na kuwa Mhanga Wa ubakaji na kwa bahati nzuri yule mbakaji akaswekwa ndani...
Jana wakati natoka zangu mkoa narudi jijini nikiwa na drive nikapigwa tochi kwenye limit speed ya 50km/hr, Mimi nikiwa na speed ya 58km/hr, nikaja kukamatiwa mbele. Askari akanisimamisha na...
Mahakimu wametakiwa kusimamia uendeshaji wa mashauri na kuzuia maahirisho ya mara kwa mara ya kesi bila ya sababu za msingi kwa lengo la kuhakikisha kesizinamalizika kwa wakati Mahakamani.
Jaji...
Wadau naombeni ushauri nimchukulie hatua gani za kisheria mtu huyu anayetumia jina langu na sain kwenye nyaraka zake za kuombea pesa kwa wafadhili? Iko hivi mwaka 2016 nikiwa mwanachama hai wa...
Habari zenu wakuu,
Niingie kwa mada, kuna ndugu yangu alikuwa na duka la vyakula la rejareja lakini mapema mwaka huu (2019) aliamua kulifunga kwa kufuata taratibu zilezile alizotumia kulifungua...
Dhamana mahakamani au polisi ni haki ya kila mtuhumiwa. Hii ni pasipo na kujali tuhuma mtu alizo nazo pale inapodhihirika wazi kuwa mtuhumiwa atapatikana muda atapohitajika pasipo na kukosekana...
Habari ndugu.
Kwa wajuaji wa sheria je haki ya kupata dhamana kwa mtuhumiwa ikoje? Je utaratibu wa kutoa pesa police ili upate dhamana ni sahihi? Je kujidhamini mwenyewe unapaswa uwe umepata...
Niliingia mkataba na Kamati ya ujenzi kwa niaba ya halimashauri wa kujenga wodi ya wazazi kwenye kituo cha afya. Mkataba ulikuwa nijenge jengo kwa miezi mitatu.
Mimi kazi yangu ilikuwa kujenga...
Najaribu tu kuutafakari huu uwiano wa makosa ya utakatishaji fedha na adhabu zinazoendana na makosa hayo.
Ni juzi tu tumeshuhudia Jamal Malinzi na mwenzie Mwesiga wakilipishwa faini ya Sh...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.