Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Wataalamu wa sheria tunaomba uchambuzi wa kina tujue hii kitu na uhalisia wake katika kutekelezeka === PROTOCOL TO THE AFRICAN CHARTER ON HUMAN AND PEOPLES' RIGHTS ON THE ESTABLISHMENTOF AN...
0 Reactions
0 Replies
581 Views
The mansion that was at the centre of the court battle involving the family of the late Onesphory Kituly versus businessmen Alex Massawe and Aboubakar Marijani. The woman endured eight years of...
0 Reactions
24 Replies
10K Views
Iko hivi, rafiki yangu akiwa njiani kwenda sokoni alikutana na ex wake akiwa na wenzie ambao walimchukua binti huyo kwa nguvu kisha wakamfungia ndani. Inasemekana pia walimfanyia ukatili wa...
0 Reactions
1 Replies
881 Views
Habari waungwana. Kwa heshima na taadhima naomba msaada wa kupatiwa sample za memart za kampuni zinazoanzishwa baada ya ku cease kufanya kazi kama business name. Natanguliza shukrani za dhati.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
I need to understand meaning of renvoi, types of renvo, ground for rejection of renvoi, ground for accepting renvoi, and solution to the problem posed by renvoi. Discuss with proper citation.
0 Reactions
3 Replies
725 Views
Mdogo wangu anakabiliwa na kesi ya jinai. PH ilishasomwa tayari na kifuatacho ni ushahidi. Aliomba apewe maelezo aliyoyaandika mlalamikaji (victim/complainant) lakini PP alimnyima. 1. Je si ni...
1 Reactions
0 Replies
907 Views
Ndugu zangu wataalamu wa Sheria ninaombeni mnisaidie kunifafanulia suala hili; Kuna jamaa yangu alichukua mkopo wa Tshs. 10m kwenye moja ya benki hapa nchini, ambapo aliweka nyumba yake anayoishi...
4 Reactions
49 Replies
14K Views
Habari wanajamvi? Nahitaji mwongozo kisheria namna ya kumchukua mtoto kwa mama yake naona ameshindwa kumlea. Mtoto bado mdogo mama yake alidai anaweza kumlea ila nilichokiona ni tofauti sana...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mfano, mji kama DSM, ni sahihi kutoa hati miliki ya kimila kumiliki ardhi? Maana kuna makabila karibia yote ya hapa nchini mjini dsm. Utoaji wa hati miliki unazingatia mambo gani? Mimi...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Je ni haki kutoa matumizi kwa mwanamke uliyezaa naye mtoto, na ameolewa na mtu mwingine? Tena mtu huyo naye huenda anajua mtoto ni wake? Japo anakufanana wewe kwa asilimia 100. Je sheria...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
1. Msichana akifikisha miaka 18 alazimshwe kufunga ndoa na ndoa hidumu so chini ya miaka ishirini. Ili tupungeze wadada wanao danga mjini. 2.vijana ambao hawana kazi walazimishwe kufanya kazi za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauliza, je ni nchi zipi zilisaini mkataba na nchi yetu wa kubadilishana wakosaji Watanzania kuja kushitakiwa Tanzania?
0 Reactions
0 Replies
648 Views
Habari yako kiongozi. Nimeona post yako ukitoa msaada kuhusu masuala ya sheria ya kazi na ajira. Kwanza naomba nikupongeze kwa hili, na nizidi kukutia moyo na kukuombea kwa Mungu uzidi...
0 Reactions
1 Replies
809 Views
SABABU 3 ZA KISHERIA ZA KUMNYIMA URITHI MRITHI HALALI. Na Bashir Yakub. +255 784 482 959. Warithi halali ni pamoja na watoto wa marehemu na wake/mke wake halali. Kanuni ya 31 Sheria...
35 Reactions
35 Replies
11K Views
Wakuu kama mada inavyojieleza swala hilo lina uhalali gani kisheria na afya ya mfanya kazi inalindwaje kwa mazingra hayo. Tumekwama.
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Niliingia kwa 50km ph nikiwa na 90 km per hour na kawaida kwenye fifty Kuna pundamilia, Sasa trafiki aliponikamata sikutaka kutoa hela kwa sababu nilikuwa na elfu 4 tuu kwa mfuko, pia kawaida Sina...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Amai iwe nanyi wakuu. Kama swali linauliza hapo juu. Je Mtanzania anaweza kunyongwa nje ya nchi? Kuna wana wanabishana hapa. Wengine wanasema sheria za Tanzania haziruhusu Mtanzania anyongwe...
1 Reactions
4 Replies
947 Views
Wakuu nawaza hapa nini kitatokea kwa mdhamini wa Lissu baada ya mahakama kumtaka mdhamini wake amlete hiyo tarehe mwezi wa December. Kama jamaa atakuja na Lissu sheria inasemaje hapa? Nawasilisha.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi ni muajiriwa wa kampuni inayofuata sheria zote za kazi. Ninaposimuliwa unyanyasaji unaofanywa na baathi ya waajiri eti kwa sababu wana mkono mrefu waserikali inauma sana. Naizungumzia St...
5 Reactions
33 Replies
22K Views
Back
Top Bottom