Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wataalam Wa Jukwaa Hili Na Wale Wote Wanajua Kuhusu Idadi Kamili Ya Majaji
Mahakama Kuu Inatakiwa Kuwa Na Majaji Wangapi Ili Majukumu Yao Yaweze Kwenda Vema .
Na Je Hao Majaji Hufanya Kazi...
Habari zenu wana jamvi, naomba msaada wa kisheria.
Nilinunua eneo Mabwe pande, eneo linaitwa Kinondo kijiji cha Utulivu mwaka 2017. Eneo hili lina documents za serikali ya mtaa ila halina hati...
Nina rafiki yangu Mwalimu, aliambiwa kwa mdomo na Kaimu Mkuu wa Chuo kwamba tarehe 04/11/019 anapaswa kwenda semina iliyopaswa kufanyika Morogoro tarehe hiyo, (aliambiwa kabla ya week 1 ili...
Naomba kuuliza wanasheria, nilishinda kesi Mahakama Kuu, mdaiwa akapeleka Notice of Appeal Mahakama ya Rufaa na akakaa kimya japo hata notice hiyo hakunisevu.
Muda wa rufaa ulipoisha nikaenda...
Wakuu mimi nina nyaraka flani ya ardhi, origino imepotea bali nimebaki na kivuli. Je nifanyeje hiki kivuli kikubalike mahakamani? Naomba msaada kwa wanaojua.
Wanajamvi habari.
Naomba msaada wenu. Ni sheria ipi inayotoa mwongozo wa taasisi za kibenki na makampuni ya kifedha kupanga riba katika kutoa mikopo? Kuna kampuni maarufu kama Bayport ambayo...
Habari wakuu,
Naomba kuuliza kuhusu hii sheria. Kuna mama angu mdogo amezaa mtoto moja na mumewe ambaye mumewe kwa sasa kafariki huku ameacha watoto wa nje watatu.
Sasa shida ni wale watoto...
Ndugu wana JamiiForums,
Kuna ndugu yangu anataka aache kazi. Sababu kubwa ni kwamba muajiri wake hamthamini na anajikuta anafanya kazi ambayo kimsingi hafurahii.
Mbaya zaidi wakati anaingia...
Kwanza poleni na pilika za kutafuta lakini pia hongereni kwa ile riziki tuliyoipata, hakika Mungu ni mwema na wa kutumainiwa.
Bila kuwachosha, kuna kesi ya ardhi ambayo ipo baraza la ardhi Wilaya...
Habari wakuu,
Hapa ndiyo sehemu yangu ya kupata maarifa. Naomba kuuliza RB huchukua muda gani kufika ukomo wake?
Pia, kesi mahakamani huchukua muda gani kufutwa endapo mtuhumiwa hakuonekana...
Mimi ni mwajiriwa kwenye kampuni ila nilikuwa bado sijapewa mkataba na niliambiwa baada ya miezi sita ndio muda wa majaribio utaisha.
Kabla ya miezi sita kuisha, ikiwa ndio kwanza nina miezi...
Nina ndugu yangu alikuwa na kesi alishitakiwa kwa wizi wa matunda toka shambani. Aliyemshtaki ni mvamizi katika shamba hilo. Huyu ndugu yangu alikuwa anachunga matunda yake. Mvamizi huyu wa shamba...
Naomba wajuzi wanifahamishe iwapo unataka kumuachisha mtu kazi, na iwapo hajaenda likizo miaka 5 unapotengeneza mafao yake unaingiza na malipo ya likizo zote 5?
Wadau naomba kwa wenye uelewa juu ya hili suala.
Mzazi alikuwa mfanyakazi wa shirika moja linaitwa PLAN INTERNATIONAL hapa Dar, alifariki mwaka 2014.
Baada ya msiba ndugu wakakaa kikao wakamteua...
Habari za muda wakuu. Katika pita pita zangu nimekutana na hii Sheria, kuna baadhi ya vitu najiuliza. Naomba muongozo kutoka kwa ndugu zetu wataalamu wa sheria.
“Kwa mujibu wa Sheria ya Ajira na...
Nimegundua vinywaji nilivyonunua jana kutoka dukani kuwa vimekwisha matumizi yake (expired).
Je, naweza kufungua kesi au wapi mahala husika pa kupeleka malalamiko yangu?
Wadau kuna ndugu yangu alikuwa mnufaika/alipata mkopo wakati anasoma masomo ya elimu ya chuo kikuu miaka ya nyuma.
Kwa sasa ni marehemu, je Sheria inasemaje ili afutiwe deni lake?
Nawasilisha.
Wakuu mdogo wangu ana kesi ya jinai. Hearing ni tarehe 2 Desemba. Nimepitia na kusoma maelezo ya mlalamikaji na kukuta kuna paragraph zinatofatiana na charge sheet iliyoko mahakamani.
Mfano...
Wanajamvi,
Kuna mtu wangu aliandika maelezo mwezi wa sita mwaka 2019 na mlalamikaji akaandika maelezo yake mwezi Desemba mwaka huohuo.
Ni sahihi?
Mshitakiwa afanye nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.