Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Labour law in Tanzania is generally employee-friendly and very specific procedurally. An error in the procedure followed can result in a seemingly well-intentioned action being overturned by the...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu salama, Nilikuwa na ajira ya kudumu serikalini, nikakopeshwa mkopo mkubwa na bank ya biashara kama salary loan. Ikiwa makato yote yanafanyika kila mwezi kutoka kwenye mshahara wangu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi hapa Tanzania kuna cyber crimes unit? Na je mtu kupotosha umma na kuandika uongo kwenye mitandao ni kosa la jinai? The cyber crimes Act section 16 (2015)
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari? Hapa kwetu kuna watu wamekuwa wakija na kujitambulisha kama Afisa wa Usalama hapo mtaani na wanakusanya mchango wa mwezi, nilimpigia simu mtendaji wetu kama anawafahamu hao vijana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni kweli kuapa kunamtakasa mtu? Je, wateule wanaotumbuliwa hawakuapa kufanyakazi Kwa bidii na uaminifu? Je, mtu akiapa ni lazima aseme ukweli? Je, marais madikteta duniani waliapa kuwa madikteta...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Heshima kwenu wanajamvi, Hivi ni sahihi siku ya PH Jamuhuri kutotaja vielelezo walivyonanyo au watakavyotumia wakati wa ushahidi? Nimeshuhudia kwenye kesi ya ya jamaa yangu PP akisema vielelezo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Niliwahi Kusoma mahala huko nyuma nikiwa bado mdogo kabisa kuwa kumbe nchini Tanzania kwa mujibu wa Katiba yetu kama Kiongozi wa juu ama akiwa Mgonjwa au ameaga dunia au ameonekana uwezo wake wa...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Ndugu zangu katika jukwaa la sharia, Salaam. Naomba nitumie ukurasa huu kuomba ushauri wenu wa kisheria, mimi ni kijana (mwanaume) mwenye umri wa miaka 34, nina mke mmoja na watoto wa tatu (wakike...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Ni kwamba kuna dada yangu ameolewa na jamaa wamepata mtoto mmoja ila tatizo ni huyu shemeji yangu. Hataki kufanya kazi yoyote, Yeye ni msomi lakini inafikia wakati hata hela ya Diapers hawana...
1 Reactions
16 Replies
8K Views
Habari ma great thinkers,,naswali emoji (😁) maarufu kama hiyo, kuna watu wajua kutumia bila kuandika sms ,,ikaleta maana, kukutuna,,kukutongeza mke,,mtoto au chochote cha upande wa kushawishi...
0 Reactions
2 Replies
848 Views
Naomba wajuzi mnisaidie kuhusu hii haki ya mfanyakazi inayoitwa severance anapewa mtu mwenye sifa gani? Na hili ni takwa la kisheria au ni hisani ya mwajiri? Kama hijapewa unafanuaje? Ahsanteni
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mimi ni mwanaume kuna mwanamke nimezaa nae na tumeishi nae kwa muda wa mwaka mmoja kwa bahati nzuri amebahatika kupata mtoto nikiwa nae na hatukuwahi kufunga ndoa rasmi. Sasa tumeshindwana nae...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Tunaweza kusema tanzania tuna independence of the judiciary? C&P Why is Judicial Independence Important to You? What does “judicial independence” mean? 1. Judges must be free, but...
0 Reactions
2 Replies
750 Views
Wakuu habarini za muda huu,siku ya ijumaa nimepata barua ya kusimamishwa mkataba wangu kwa mwajili aliyeniajili toka 2013,kazi niliyokuwa nafanya ni ya mkataba wa miaka miwili miwili ,mwaka jana...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Please refer me to one anayeweza kusaidia kutafuta haki ya mnyonge anayekandamizwa!!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu poleni na majukumu, naombeni msaada wenu mawakili wasomi, na wadau wengine Kwenye jukwaa hili. niende moja kwa moja kwenye mada. Mwaka 2017 nilikutanishwa na Jamaa fulani hivi ambao...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nijuavyo mimi ni kwamba kesi ya jinai inakuwa na mshatakiwa, jamhuri na mlalamikaji. Hivi inapotokea kwa mfano maelezo ya hati ya mashitaka yanaonesha kuwa labda pesa iliyoibwa ni ya taasisi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nataka kujua hapo ni nani kashida hii kesi hii ni rufaa ya pili. Mwombaji MAHONA MAGANGA alishtakiwa kwa shtaka moja la EMANUELI ISHENGO, hapa baada ya kutajwa kama Mhojiwa, kwa madai ya ardhi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu zangu naomba mwenye kuweza kupata nakala hizi azimwage hapa jamvini. Nakala hizi naiona kwenye mtandao lakini niionayo hazina muhuri hivyo haiwezi kutumika kortini. Naomba mnisaidie plse.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Rafiki yangu anahitaji msaada au ushauri wa kisheria. Mwaka jana mnamo mwezi wa 12 rafiki yangu aliingia kwenye mahusiano na mdada wa kiislam na yule dada kwa namna moja au nyingine akawa...
0 Reactions
4 Replies
821 Views
Back
Top Bottom