Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Tafadhali, kwa wanasheria, tujaribu kujadili hapa na kuweka material. katika kesi za madai /civil nini kinaanza nini kinafuata hadi mwisho. stages zake. kuna watu wanauliza sana maswali humu hasa...
2 Reactions
25 Replies
15K Views
Baada ya TLS kutoa tamko kuhusu Shangazi, na baada ya kuonekana jaji Feleshi alichukua maamuzi ili kumfurahisha "mfalme" ambaye ndiye mshitakiwa,sasa imejulikana wazi kwamba kanuni kuu ya sheria...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna mtu alishitakiwa mahakama ya wilaya akashindwa akata rufa Alieshinda akatumia polisi na dalali kumtoa kwenye nyumba kwa kutumia dikrii ambayo haikuwa sahihi Mshindwa baada ya kumuweka wakili...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna mahali nimekuta kunazoezi la upimaji waviwanja. Sasa kwa maelekezo ya wapimaji ni kwamba gharama za kupima, kuweka Bikon, pamoja na kupata hati miliki kwa kiwanja kimoja ni laki Moja na nusu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Unakuta anasomewa kesi ya mauaji kisha hatakiwi kujibu sababu mahakama haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo, kuna ulazima wa kufanya hivyo, au ni kupotezeana wakati?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
In the case of GODFREY KIMBE VERSUS PETER NGONYANI CIVIL APPEAL NO 41 OF 2014 the Court of Appeal of Tanzania Held that failure to file written submission is tantamount to failure to appear and...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari za mda huu wana jamvi mm sijambo na mungu ameonesha utukufu wake. Bila kuwachosha ninaomba nijikite kwenye mada lengwa. Mimi ni kijana ambaye bado ninahangaika na maisha. Nimefika mjini...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
1-Ni sahihi mtu mliyeshirikiana naye kwenye shughuli za kilimo kukushtaki kwa kosa la kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu baada ya project kutokuwa na matokeo mazuri? 2- Kwakuwa huyu mshirika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habarini wakuu, naomba niende moja kwa moja kwenye tatizo langu. Mimi nimejiriwa katika kampuni binafsi, hapo nyuma kumetokea tatizo kazini hivyo mimi na wenzangu watatu tuna kesi polisi na...
2 Reactions
63 Replies
7K Views
He ni sawa polisi kukuita kituoni huku ukiwa umeshawaambia kesi iliyofunguliwa waipeleke mahakamani? Je unaweza kwenda mahakamani kwanza kuomba utaratibu, Naomba ufafanuzi kwenye kwa yeyote...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari viongozi Nahitaji mtaalamu wa sheria za kazi Kwa watumishi wa Umma kunasuala nahtaji Ushauri tafadhali Ni kwamba kijana mmoja alipata ajira ya serikalini mwaka 2014 akafanya kazi hadi...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nahitaji ufafanuzi zaidi, Mana mgambo wanatumika , mpaka kufikishana vituo vya polisi.
2 Reactions
22 Replies
6K Views
Wakubwa, kuna mtu kampigia mwenzake na kuanza kumrekodi kwa kutumia simu. Baadae kesi imefunguliwa mahakamani. Moja ya maandalizi waliyonayo jamuhuri ni kuhusu audio hiyo. Je, audio hii yaweza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wakuu, tangu wiki iliyopita natumiwa sms na bank moja hapa nchini wakiniambia laki tatu imeingia kwenye akaunti yako mara laki mbili imetoka mara laki na nusu imeingia, sasa nikawa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nilifungua Marathi ya baba yangu mahakama ya mwanzo na nikakubaliwa kwa msimamizi wa mirathi husika. Baada ya kuanza kukusanya mali na madeni ya marehemu nikagundua mjane wa marehem (marehem...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu naomba kuuliza mimi na mdogo wangu tulipata mgao wa mirathi kila mmoja alipata nyumba 1 na nyumba nyingine 1 tulishare sasa hati zote za nyumba alichukua baba yetu mdogo...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
SC Emphasizes on Deciding Bail Matters Judiciously and in Humane Manner February 8, 2018 February 08, 2018 Case name: Dataram Singh v. State of Uttar Pradesh & Anr. Date of Judgment: February...
1 Reactions
2 Replies
796 Views
Kuna mambo huwa siyapati vizuri, hivi mfano kuna mtu kanishawishi nimpe mzigo halafu nikawahi PCCB kuripoti, kama ni kesi nani atakuwa mlalamikaji? Sheria inasemaje kuhusu hilo?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ufafanuzi wa Kisheria Kuhusu Makubaliano ya Kukiri Kosa (Plea Bargaining) A. Utangulizi Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kinapenda kutoa ufafanuzi kwa umma kuhusu mabadiliko ya Sheria ya...
13 Reactions
27 Replies
4K Views
Mwenye kujua idadi na majina ya Majaji wa mahakama ya rufaa aniwekee hapa. Thanks.
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom