Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Habari wana JF
Mimi nilifunga ndoa ya bomani, ila ndoa yangu iliingia doa na uwezekano wa kurudiana imeshindikana.
Nilikua naitaji kujua taratibu za kuvunja ndoa za bomani, maana sheria inataka...
Habari za wakati huu naomba ufafanuzi kuhusu calculationa, vigezo, wajibu wa mwajiri na mwajiriwa juu ya malipo ya kiinua mgongo baada ya mwisho wa mkataba.
Kuna mdogo wangu anafanya kazi katika...
Changamoto kubwa katika ndoa nyingi si kupata mali bali namna ya kuzimiliki. Japokuwa mchakato wa umiliki unaweza kuathiriwa na jinsi mali husika zilivyopatikana. Lakini, mara nyingi migogoro...
Aise mimi naona huyu MD mpya ni mbovu sana. Tangu aingie yeye ndo vifurushi tunaibiwa balaa, mimi personally nimeibiwa vifurushi nimelalamika wee hamna msaada.
Uozo starts from the top, mbona...
Habari zenu waheshimiwa,
Naomba msaada wa nakala ya makubaliano (mkataba) inayohusu ukodishaji wa vifaa kama vile cameras na video production kwa ujumla, pia nakala ya makubaliano ya kazi...
Kama uzi unavyosema, Mara nyingi wanasheria wanachanganya madesa sana!
Nipeni maana zake kwa comparison, na ni ipi inatumika wapi na katika mazingira gani.
Habari wana JamiiForums,
Nilikuwa naomba ushauri wenu.
Kuna company nilipata kazi wakanipa mpaka mkataba nikasaini ila siku ya kuanza kazi haikupangwa kutoka na kutojua siku sahihi ya kufungua...
SASA APANDISHWA KIZIMBANI DUBAI
Dar es Salaam. Mfanyabiashara maarufu nchini, Alex Massawe amefikishwa mahakamani Dubai, Falme za Kiarabu (UAE), kwa tuhuma za mauaji baada ya Serikali ya...
Kuuliza ni kutaka kujua ama kupata ufafanuzi, ninakusudia kwenda mahakamani kuomba haki ya kuweza kumuona ama kutembelewa na mtoto wangu (binti wa miaka mitano) baada ya kutengana na mama yake...
Wana jukwaa habarini za jioni.
Mimi ni mgeni kabisa katika hili jukwaa la sheria na limefika hapa baada ya kutatizwa na hii kitu inayojulikana kama mgongano wa kimaslahi au conflict of interest...
Naandika ujumbe huu kwa niaba ya dada mmoja anaitwa Joan, alinunua kiwanja kutoka kwa rafiki yake miaka ya nyuma na kupewa hati ya kijiji ambapo aliweka mashahidi watatu.
Aliyemuuzia kiwanja...
Wanaoratibu kuweka hizo decision kwenye mtandao kulikoni?
Sasa is almost a month bila kuweka any decision wakati court sessions zimefanyika na zinaendelea kufanyika.
Kesi ya mwisho ilikuwa hii...
JINSI UNAVYOWEZA KUKUBALI KOSA POLISI NA KULIKATAA MAHAKAMANI.
Unaweza kukubali kosa polisi au popote kama serikali za mitaa,sungusungu,nk na baadae kulikataa kosa hilo uwapo mahakamani. Kitu...
Mahakama jijini Abuja, Nigeria, imeliamuru Jeshi la Polisi kulipa faini kwa kupuuza maagizo baada ya kukataa kumpa dhamana mwandishi wa habari na mwanaharakati Omoyele Sowore.
Omoyele ameachiliwa...
Ni miaka mitatu tangu nikutane na mchumba (single mother). Ninaishi naye kinyumba kwa muda wote huo bila kwenda kwao kujitambulisha, ila nafsi inanisuta, nataka kwenda kujisalimisha mwakani...
Mimi ni mfanyakazi wakati naajiriwa taarifa zangu nilijaza kwa usahihi katika mkataba wangu wa Ajira na stahiki zangu Kama likizo nilikuwa nalipwa kulingana na taarifa zilizopo katika mkataba...
Kwa makandarasi walio wengi, hawazitumii sheria na wanasheria kuhusiana na mikataba.
Kwa mujibu wa Standard Conditions of Contract za serikali, wengi hawajui kuwa unaweza kuusimamisha mkataba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.