Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Nina maswali 2 hapa.
1. Kwa mfano siku ya kwenda mahakamani imefika, imetokea mshtakiwa wako amefika alafu wewe mshtaki hujafika hiyo siku, mahakama huwa inatoa tamka gani, au nini kitafuata? Au...
Jamani mimi mwenzenu ndio naenda kuanza maisha leo. Kuna sehemu naenda kulipa kodi ya miezi mitatu ila hiyo sehemu nilishaichukua miezi mitatu iliyo pita sema sikuhamia
Sasa mfano kodi nililipa...
Ndugu wadau naomba kujua ikiwa unafanya mapenzi na binti aliye chini ya umri wa miaka 18 kwa hiyari yake na tayari alishazaa huko nyuma kuwa ni kosa kisheria au La, na kama ni kosa adhabu ni ipi?
Je, iwapo mtumishi wa Serikali akafariki mshahara wake utaendelea kuingia au lah.
Iwapo alikuwa akiishi kwenye nyumba ya Serikali, utaratibu gani unatumika kuiondoa familia yake kwenye nyumba ya...
By any stretch of imagination, kesi hii huwezi kuiweka katika kundi la Vexatious, frivolous, scandalous, trivial case kama ilivyoamuliwa mahakama zetu. (kuna hukumu moja imesema hivyo).
Issues...
Hii ni nyaraka (document) maalumu inayotumika kubadili au kurekebisha majina katika nyaraka mbalimbali. Nyaraka hii ni kiapo cha kubadili jina, ambapo mwombaji katika nyaraka hii husema wazi...
I, Don Nalimison (Don Mtoto wa Nalimi) formerly known as Deogratius Nalimi Kisandu, I became as Nelson Mandela without knowing when I was a Convict at Kitengule Farm Prison-Kyaka,Kagera where I...
EWE MJASIRIAMALI, HATUA ZA KUUNDA KAMPUNI HIZI HAPA, MILIKI KAMPUNI SASA.
Na Mwanasheria Wetu.
STEP 1; chagua jina.
Kampuni lazima iwe na jina linalotambulika na linalojitofautisha na majina...
Wakuu salaam,
Naona hatari ya sheria mbele yangu inanikalibia kutokana na mambo kadhaa ambayo nimeyapitia kazini. Naomba kufahamishwa jinsi gani naweza kuwa na mwanasheria mapema ili kama hali...
UTARATIBU MZURI WA KISHERIA WA KUNUNUA ARDHI KUEPUKA MIGOGORO NA UTAPELI.
Na Bashir Yakub.
+255 784 482 959.
Tunazo aina kuu mbili za ardhi. Tunayo ardhi iliyosajiliwa na ardhi ambayo...
Habari za usiku. Mimi ni mtumishi katika taasisi moja na nimetumikia kwa kipindi cha miaka minne mpaka Sasa .
Changamoto inayonitokea ni kuwa huu ni mwezi wa sita sijalipwa mishahara yangu ...
Naomba kujua sheria zinasemaje,
Kuna uchunguzi wa polisi ulifanyika, baada ya malalamiko. Jalada likaenda kwa DPP ofisi ya Wilaya husika ambaye akaagiza, mtuhumiwa ambaye ni Mbunge ahojiwe na...
Ndugu wanajukwa natumaini muwazima? Naleta maada kwenu kama wataalamu. mada hii sijaipeleka jukwaa la elimu kwa sababu najua jukwaa hili kunawajuzi na wataalamu waliobobea.
Mimi ni mwalimu...
Just a reminder
Kwa wale mnaofunga ndoa na mkabahatika siku ile ya harusi yenu (sherehe) ukumbini kama mtapewa zawadi ya Kiwanja au Nyumba na mtu yoyote yule, tafadhalini sana kumbukeni kuchukua...
Natarajia kuwa na YouTube Chanel itakayokua ni Chanel ya habari na uchambuzi wa habari.
Habari hizi nitakua nazitafuta mwenyewe kwa njia maalumu,
Mfano wa njia zangu za kupata habari ni pamoja...
Yaani kwa mfano mtu kama wakili@kibatala nguli wa sheria (mwanasheia )au RUMANYIKA afanye kosa ambalo atapandishwa mahakamani au mwanasheria yule hivi nao labda washtakiwe je?
Nao huwa wanakuwa...
Habari za mchana mawakili wasomi na wadau wengine katika fani ya sheria.
Naombeni msaada wa ufafanuzi ni ipi proper citation ya high court kati ya hizi:
(a) in the high court of the united...
Kuomba msaada wa kujua Jambo naamini si ujinga.
Kwenye katiba kuna kitu kinaitwa ibara na sheria ndogo za mwaka Fulani.
1: Ibara Ni Nini? Na ibara za katiba zinapatikana wapi?
>>Ibara ndogo Ni...
Wadau naomben msaada, nina shida ya microfinance act of 2018. Ambayo inaweza tofautisha saccoss from microfinance institutions
Ama BoT act ya 2008/2013
Naombeni msaada