Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Habarini umu ndani, nimatumaini yangu muwazima wa afya. Naomba nijuzwe je ikiwa marehemu ameacha watoto wawili na baada ya msiba ikafahamika alikuwaga na mtoto mwengne alieza nje ya ndoa, je mtoto...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
P. Watonga
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu naomba kufahamishwa ikiwa mfanyakazi yuko serikalini na anafani mbili mfano ni Afisa kilimo na mifugo na ni mwanasheria ,anataka kubadilisha afanye kama mwanasheria wa serikali au idara...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kumekuwa na wimbi la wafanyakaziwasio waaminifu wa kampuni za simu kupewa pesa/kuhongwa na wapinzani wangu kibiashara/kisiasa kudukua mawasiliano ya sms/whatsapp/sauti za wateja wao. Je naweza...
2 Reactions
24 Replies
10K Views
Daily News hatimae limeripoti kile ambacho msemaji wa serikali Dr. Abbas alisema ni "hoja tatu nzito" lakini akakataa kuzitaja... 1. Ndege inatumika na Rais, ina mitambo ya mawasiliano inayoweza...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana jamvi, naomba msaada kuhusu Fao la uzazi kwa akina mama. Mimi mke wangu amejiunga na mfuko wa hifadhi ya jamii wa PSPF, mfuko huu umekuwa na utaratibu wa kutoa Fao la uzazi kwa...
1 Reactions
10 Replies
10K Views
Mwezi wa tano ilifunguliwa kesi ya rufaa katika mhakama ya wilaya ya Mbarali kutoka mahakama ya mwanzo ya Rujewa umbali wa mita 30. Kesi hii ni ya milathi maana kuna MTU aliidanganya mahakama na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wanasheria? Katika pitapita zangu leo, nimekuta jambo likijadiliwa mahali. Kwamba kuna waajiri wanaweza kukulipia NSSF lakini wasilipe kodi (PAYEE). Nikajiuiza jambo hili linawezekana...
0 Reactions
2 Replies
951 Views
DCI kwa mamlaka yake utasikia amefutilia mbali kesi flani. Swali huwa anaamua akijisikia au kuna taratibu za kisheria zinafuatwa kabla hajaamua? Au anaweza amua kwa maslahì mapana ya kitaifa?maana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau naomba kuuliza je ni haki ya mfanyakazi kupewa likizo bila malipo kwa muda wa miaka mitatu? Wadau mnaoijua sheria naomba msaada.
0 Reactions
8 Replies
12K Views
Nimesoma kuwa mtu mmoja kafungua kesi huko SA akitaka ndege ya ATCL ikamatwe kwa sababu anaidait Tanzania mali zake zilizotaifishwa na Nyerere mwaka 1967. Je Statute of Limitations haifanyi kazi...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
ZIJUE TARATIBU ZA UPEKUZI (SEARCH) KISHERIA ZITAKAZO FANYWA NA POLICE DHIDI YAKO. Na. Comred Mbwana Allyamtu. Thursday -28/6/2018. +255679555526. Leo tutaendelea katika mfululizo wa utoaji wa...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa uelewa wangu mdogo najua kuna ,serikali, bunge na mahakama Sasa najiuliza kwa kesi ya lissu kumshitaki spika kwa kumvua ubunge na spika kutumia mawakili wa serikali inamaana hakuna mawakili wa...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Naombeni kuulizia nina mkopo Bayport lkn nilipo acha kazi serikalini nikawapigia kuwauliza ni kwa namna gani nitawalipa pesa zao lkn waliniambia sipaswi kulipa kwakuwa mkopo ulikuwa issued, Sasa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za wakati huu, Kwetu tumezaliwa 6 wakike tuu na babayetu alifariki mwaka2002 na akatuacha tukiwa wadogo na mama yetu ambaye aliugua kipindi kirefu mpk ikampelekea matatizo ya akili kidogo...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna mihimili mitatu serikali,bunge na mahakama.Bunge ndio hutunga Sheria.Swali Ni je bunge laweza shtakiwa mahakamani?
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Naomba msaada wa kujua ukichukua mke wa mtu ukaishi nae sababu ya mimba akazaa baada ya miaka 2 mkataka kuachana je kuna mali zozote mnagawana?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wana Jamii forum wenzangu.nahitaji msaada wenu maana kuna mambo nahitaji kuyaweka sawa kwa jirani yangu . Jirani yangu ameachana na mme wake lakini mme hataki kutoa talaka...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
JE NI HALALI KISHERIA KWA BABA KUKATAA KUMRITHISHA MALI MTOTO WAKE WA KUMZAA? SEHEMU I: UTANGULIZI Kuna imani kubwa imejengeka miongoni wa raia wa kawaida wa Tanzania na hata kwa baadhi ya...
3 Reactions
4 Replies
4K Views
Katika hatua ya mwisho ya mapitio ya hoja za pande zote mbili mahakama ilijadili mapingamuzi ya serikali Kama ifuatavyo.. 1. Katika pingamizi la kwanza,Taalifa ya kuvuliwa ubunge kwa mlalamikaji...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…