Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
ninasumbuliwa na taasisi moja inayopeleka wanafunzi nje ya nchi kusoma nimelipa pesa tare7/7/2019 mpakal leo nazungushwa nifanye nini nipate haki zangu nitapata wapi mwanasheria wa kunisimamia
Wapendwa,
Naomba kwa mwanasheria yoyote ambaye atakua tayari kunisaidia naomba tuwasiliane pm ...
Kuna Jambo ambalo nahitaji msaada na muongozo ,
Na hatimaye kufungua kesi ...
Na anisimamie...
Wakuu,
Kuna bwana mdogo kaniomba ushauri, katika ofisi anayofanyia kazi ilionekana kuwa alitenda kosa fulani, akaandika barua ya kukana kosa hilo, ila ofisi ikasema imefanya uchunguzi ikabainika...
wakuu naomba mnisaidie,
Katika kesi ya jinai siku ya kwanza uwa naona wanamsomea mshitakiwa kosa lake, na siku ya ph wanasoma maelezo kiundani zaidi.
Je, siku ya ushahidi ni sahihi kwa shahidi...
The country United Republic of Tanzania is made up of Tanganyika mainland and Zanzibar islands across Indian Ocean. The estimated population size of Tanzania in 2019 is 60.4 million, with an...
Habari kwenu wasomi na wabwebwezi wa sheria! Moja kwa moja niende kwenye shida yangu..nimekua nikifahamu makosa au case za jinai zinaendeshwa na Jamuhuri hivyo zinakua ktk mtindo huu..MF:Juma V/s...
Habari waungwana.
Naomba msaada wenu wadau
Mimi ni muajiriwa wa Serekali niliajiriwa kwa cheti cha Form Four tuuu nikiwa kma muhudumu nami nikaamua kujiendeleza kimya kimya Bila muajiri wangu...
Niliajiriwa serikalini kwa masharti ya kudumu. Nilifanya kazi kwa muda wa miaka 15 na miezi 9 niliacha kazi bila kufukuzwa na wala siku andika barua kwa Katibu mkuu wangu wa wizara. Nina vielelezo...
Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 45, ni Mkristo dhehebu KKKT, mwaka 2001 nilifunga ndoa ya Kikristo na nimefanikiwa kuwa na watoto 5, mwaka 2007 kulikuwa na mgogoro mkubwa katika ndoa...
Habari wana Jamii Forums
Ninaomba msaada wa kisheria kuhusiana na mambo ya Bank kama mteja sikutendewa HAKI.
Tatizo lenyewe limetokea hivi.
Ilikuwa ni siku ya tarehe 4th / 08/ 2016 muda wa saa...
Serikali ilianzisha sheria ya mitandao ili kulinda uhuru wa watu kulingana na matumizi ya mitandao.
Sasa binafsi nimekuwa nikijikuta naungwa kwenye makundi ya whatsapp bila kuulizwa wala bila...
Mm ni miongon mwa wafanyakaz katika kampun binafsi ya usalama(ulinzi)maarufu inaitwa Kk security company.
Kuna madai kwamba kampuni imeingia ubia na kampun ya kigen kutoka Canada inaitwa...
Mm ni mfanyakazi katika tasisi moja hapa Dar es salaam nimefanya kazi katika tasis hii miaka 2 ba miezi sita, niliahidiwa kupewa mkataba ila ilichukua takribani mwaka mzima pasipo kupewa mkataba...
Habari,
Jamani naomba kusaidiwa kiushauri kuhusu mkopo niliochukua benki fulani ambayo kwa sasa imefilisiwa na serikali.
Mkopo nilikopa mwaka 2012 kwa makubaliano ya kulipa miaka mitatu yaani...