Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Habari zenu ndugi zangu naomba. Msaada wenu mtu wa kunisaidia kwenda mbele kwenye serekali Mimi ni mtanzania nina. Watoto watatu ambao nimezaa na mume ambae ni foregnor wa nchi ya pkistan na ambae...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Pengo amtaka Mkapa kwenda kuhiji Butiama Basil Msongo Daily News; Saturday,February 21, 2009 @19:00 Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo...
0 Reactions
39 Replies
8K Views
Nakumbuka wakati fulani Mh.Waziri wa ardhi alitamka kwamba majengo ambayo hayajakamilika na hayatumiki kwa makazi hayalipiwi kodi, pia nilisikia Mmiliki wa Nyumba mwenye umri zaidi ya 60 pia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
I declare the interest: sina itikadi yoyote ya chama, nabaki kuwa mzalendo na mpiga kura Utangulizi; kumekua na zoezi la usitishwaji wa mikataba baina ya serikali na kampuni mbalimbali za nje mf...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wanasheriana wengineo wa MMU .Mimi ni mdau wa mambo ya technologia na pia nina ka ujuzi kidogo. Nimekua na maswali mengi sana kichwani pangu kuhusu mambo ya sheria kuhusu mambo ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naombeni msaada mwenye kufahamu au kujua naweza pata wapi hiki kitabu na bei yake Namba 0719090094
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bosi wangu alikamatwa na Polisi tarehe 28 mwezi May 2019. Akalala mahabusu siku 3 akatoka kwa dhamana. Lakini tangu hapo anaambiwa aripoti polisi kila wiki ila kesi bado haijapelekwa mahakamani...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Naomba nieleweshwe kuhusu suala la mtu kuchafuliwa sifa yake mbele ya jamii!Akiwa kama mlalamikaji anaweza kwenda mahakamani na kufungua kesi ya madai ya fidia halafu akataja hadi na kiwango mfano...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanajamvi habari, kama maada inavyo tambulishwa, tumeajiliwa kwenye taasisi binafsi na tuliunganishwa na mfuko wa PPF (kabla mifuko haijaunganishwa ) cha ajabu wafanyakzi wanafukuzwa na ppf zao...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari za asubuhi mawakili wasomi, Nina omba kwa yeyote mwenye full citation ya kesi ya labour iliyoamuliwa miaka minne au mitano iliyopita, high court labour division, ilikuwa ina muhusu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Proof huwa ni ipi mahakamani kuwa you have served the other party a copy of the notice of appeal and a copy of the letter applying record of appeal documents. Nauliza hivi kwa maana usipofanya...
0 Reactions
3 Replies
748 Views
NAMNA YA KUOKOA NYUMBA ISIUZWE KWA KUSHINDWA KULIPA MKOPO. Na Mwanasheria Wetu. Wakopaji nao wana haki zao. Yapo mambo ya msingi ambayo wanapaswa kuyajua ili yawalinde iwapo...
13 Reactions
17 Replies
6K Views
Habari zenu wakuu, ninaomba mnisaidie majibu ya maswali yafuatayo kwa mwenye ufahamu; 1) Je ukimpa mtu mali yoyote kwa kwa kumwamini bila ya maandishi yoyote kwakuwa unamwamini ni kosa? 2)Je...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Assalam aleikum. Inawezekana kuwasiliana na ofisi ya mwenyekiti au naibu yake wa Mahakama ya Ardhi huku Vuga (Mji Mkongwe, Unguja) kama haiwezekanj kwenda moja kwa moja pale?
0 Reactions
1 Replies
931 Views
Hamjambo, samahani kwa urefu! Mzanzibari alinidanganya na sasa anajaribu kuniibia mali yangu! Kwa hiyo nilinunua kiwanja kule Unguja lakini wote, hasa Sheha wa Michamvi, Abeid J. Haji, waliniambia...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanasheria nisaidieni. Katika kesi ya wizi HAKIMU ANAWATIA HATIANI WASHTAKIWA HALAFU WANAJITETEA ILI KUPUNGUZIWA ADHABU. Mmoja akasema anaumwa vidonda vya tumbo, mwingine akasema anaumwa mkono na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hello guyz mi nimeajiriwa serikalini lakini nataka kuacha kazi ili nikasome nije tena kufanya kazi sekta nyingine tofauti na iyo Sasa utata unakuja katika kuacha kuna uwezekano wa kuandika barua...
0 Reactions
1 Replies
734 Views
Bila kupoteza muda niende kwenye mada. Dada yangu na mume wake walinunua nyumba dodoma maeneo ya Nkuhungu ambayo waliuziwa na mdogo wa mwenye nyumba basi katika hayo mauziano alikuwepo wakili...
5 Reactions
45 Replies
5K Views
Kesi Ilienda Exparte Against Respondent Huko Subornate Court, Sasa Applicant akapigwa Kule District Court Na Ameappeal HC, Na Respondent Amekuwa saved na Hyo Appeal, Je Respondent anaweza...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom