Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Naomba kujua kwenye payslip yangu, Nakatwa Development Levy, Wokers compensation, pamoja na kodi. Naomba kujua. Nini tofauti ya hiyo development levy na hiyo kodi? Ahsanteni.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
wakuu naomba mnisaidie, Katika kesi ya jinai siku ya kwanza uwa naona wanamsomea mshitakiwa kosa lake, na siku ya ph wanasoma maelezo kiundani zaidi. Je, siku ya ushahidi ni sahihi kwa shahidi...
0 Reactions
0 Replies
786 Views
JESHI la Magereza, limeingia katika kashfa nzito baada ya nyapara mkuu wa wafungwa katika Gereza la Butimba mkoani hapa kuuawa kwa kuchomwa visu na wafungwa wenzake juzi mchana. Nyampara...
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Wakuu habarini za majukumu.Niende Kwenye hoja ya Msingi ni hivi Kuna mtu alikopa fedha kwangu kwa makubaliano kuwa baada ya miezi mitatu atazirejesha,tuliandikishana serikali ya Kijiji kwa...
0 Reactions
2 Replies
907 Views
Naomba msaada wa kisheria kuhusu mtahiniwa mtarajiwa kunyimwa kufanya mtihani wa kitaifa hasa wa kidato cha sita kwa tuhuma za kujihusisha kimapenzi na mwanafunzi mwezie huku akiwa ameshalipia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Natumain ni wazima wa Afya, Je kuna ulazima wa mwajili kumpa barua (notes) Mwajiriwa kuwa hatoweza kumwongezea mkataba mwingine atakapo maliza mkataba alio nao. Nawasilisha kwenu kwa ufafanuzi wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
"This publication is dedicated to my wife Susana Charles Feleshi whose humble support from the time of embarking on the programme of research always reminded me of her true love and sense of care"
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kampuni kuuzwa huku ukiwa kama mfanyakazi mwenye mkataba na muajiri wa zamani huku muajiri mpya akikutaka usaini mkataba mpya uendelee na ajira,je, kuna malipo yoyote unayotakiwa kulipwa?
1 Reactions
2 Replies
944 Views
Unapotapeliwa Kama mtoa huduma mpesa au tigo pesa unamlipaje mwajiri wako.
1 Reactions
6 Replies
901 Views
Habari wanajamvi Naomba kuuliza sheria inasemaje ikiwa nitauziwa chakula au kinywaji kilichokwisha muda wake na kuja kugundua nikiwa nishakitumia tayari.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
The Online Contents Regulations were published on 16th of March 2018 by the GN No 133 of 2018. The Regulations apply to 1. Application services licensees 2. bloggers 3. internet cafes 4. online...
1 Reactions
1 Replies
868 Views
Maada husika inajieleza... Ndugu wakubwa na Wadogo habari zenu Kwanza niombe tu samahani kwa ambao chapisho langu litawakwaza kwa namna moja au nyingine wasitoe lugha za kashfa katika chapisho...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wajuzi wa sheri.a naomba mnisaidie kuhusu yafuatayo yanayohusu mirathi haswa kwa ndoa za kikristo za mme mmoja mke mmoja: 1) Je mali mlizochuma ndani ya ndoa umiliki wake ukoje? mfano tuna nyumba...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Wapendwa naomba msaada wa tafsiri ya utofauti wa sheria hizi mbili za hukumu 1:kunyongwa 2;kunyongwa hadi kufa.
0 Reactions
1 Replies
772 Views
Mwenye kopi ya kitabu hiki anisaidie wapi naweza kukipata. 0 ReviewsWrite review Law and Justice in Tanzania: Quarter of a Century of the Court of Appeal
0 Reactions
3 Replies
965 Views
What is new in Civil Procedure Code (Amendment of the First Schedule) Rules 2019? 1) Electronic filing of Plaint, WSD, service (Order IV (1), electronic assignment of matters to judges. 2)...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
( 1 ) Kama unahojiwa na Wakili mahakamani usijibu bila kutafakari alichokuuliza. ( 2 ) Wakili asikuogopeshe kwa ukali anapokuuliza kwani ukali hulenga kuleta paniki na kukusahaulisha ulichopanga...
22 Reactions
25 Replies
7K Views
Nilikuwa na kesi ya ardhi ambapo mtu alivamia eneo langu na kudai ni la kwakwe hivyo kwenye baraza la kata ilimpa ushindi yeye badaye nilikata rufaa mahakama ya wilaya ambapo nilishinda kwa hoja...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanasheria nawadau wengine naomba kuelezwa vizuri baada ya kuowa ni miaka miwili sasa lakini tunavutana na mke wangu kutumia jina langu la ukoo anapenda kutumia jina langu la kwanza kuliko la...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Je, ni hatua na masharti yapi ya kufuatwa ili kuweza kupata leseni ya udereva class C?
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Back
Top Bottom