Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Nasema hivyo kwa sababu inajulikana tangu dunia ya sheria iwepo, kuwa POINT OF LAW ON JURISDICTION CAN BE RAISED AT ANY STAGE OF THE TRIAL/CASE. sasa angalia waheshimiwa majaji wa Rufaa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu simu yangu imejifunga network hata nikiweka line sawa na bure na inaniandikia SIM network unlock pin na haina tatizo jingine msaada kwa wajuzi wa hii kitu aina ya simu ni Samsung s6 + edge..
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari Ndugu naomba mwongozo katika uandishi wa wosia.Marehemu kaacha wosia kama ifuatavyo. Marehem alikua na watoto 4 na kwa mke mmoja, wosia ukaaandikwa Mali zake zigawanywe kwa watoto 3 (majina...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Habari wadau,samahani nilikua naomba kufahamu similarities kati ya confession and admissions
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Endapo nitaandika wosia kuhusu jinsi gani Mali zangu zigawanywe kwa wategemezi wangu kama mke watoto na ndugu! Mfano: Nina watoto wanne kwa mke mmoja na katika wosia wangu nikaeleza kuwa Mali...
1 Reactions
46 Replies
9K Views
Jamani wandugu, Mimi mimi ni mwananchi wa kawaida, naomba kuuliza hiki kitu wanaita "Prenap" wenzetu kwetu inaweza kufanyika hapa Tanzania? Prenuptial agreement, meaning before you take vows. It...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habarini wadau napenda kuuliza mtu anapo fukuzwa kazi na anamkataba wakudumu na amefanya kazi zaidi ya miaka mitano je anatakiwa kupewa haki zipi?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni muda gani nafasi ya mdhamini huishia? Baada ya hukumu au baada ya kumaliza kabisa malipo anayodaiwa mtuhumiwa?
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu naombeni msaada wenu. Kuna mtu nilimkopesha pesa akakwama kulipa. Akaja akaomba kuwa kakwama nikaita mashahidi akaomba mwaka mzima ndio awe amelipa hiyo hela na juzi baada ya mwaka kupita...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakati nchi kuna upungufu wa ajira ni Chadema na baadhi ya viongozi wasema kweli wachache CCM wamejitokeza kutetea kundi la vijana. Wakati kumekuwa mtikisiko wa kiuchumi imebaki Chadema na Zitto...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Mengi amenivunjia heshima - Manji • Hakimu apokea vielelezo visivyo halisi mahakamani na Happiness Katabazi...
0 Reactions
43 Replies
10K Views
Mara nyingi ajali zinazowahusu polisi...huwaga hazina taarifa za ziada...pale inapotokea gari ya polisi imepata ajali yenyewe...wala hawasemi labda chanzo cha ajali ni UZEMBE WA DEREVA(Askari...
0 Reactions
1 Replies
899 Views
Kuna sehemu Fulani walitangaza nafasi za kazi. Jamaa yangu akaomba, na siku ya usaili aliitwa na kufanya usaili. Matokeo yalitoka mazuri kwani aliandikiwa barua ya kushinda interview kwa nafasi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
1. Marko Kajubi v. Kulanima Kabali, 11 E.A.C.A. 34 2. Eskugbayo Eleko v. Nigeria Gov-ernment, (1931)
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Salaam wakuu, Niende moja Kwa moja kwenye mada. Katika shughuli zangu za ujenzi nimebahatika kupata kazi moja ya ujenzi Wa jengo la hospitali ya wilaya flani hapa nchini, ndo Niko katika hatua za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwanini tunaita Sura katika sheria za Tanzania hata kwingineko. Ninavyojua Sura ni chapter katika kitabu, sasa ina maana sheria zetu zina kitabu kimoja?
0 Reactions
2 Replies
949 Views
www.saflii.org/tz/ ambapo tunapata decided cases haifanyi kazi, kulikoni? au ni kwangu tu! Msaada
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni muda sasa haonekani. Kuna nini jamani au.... lkn nadhani yu hai. Mchango wake unahitajika jukwaa la sheria.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi wakuu mpaka sasa majaji wako wangapi Tanzania hii? pia yale magari sijui Jaji 1,Jaji 30 sijui ngap ngap huko yote yanatumia mafuta kulipiwa na serikali? Pia mishahara yao ipoje jaman? mana mh
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari za majukumu wakubwa na wadogo... Naomba leo tujuzane baadhi ya sheria za Nchi hiyo ikiwa kuna mtu anajua zaidi aongezee ili tupate kuzifaham zaidi. Na pia naruhusu kukosolewa ikiwa kuna...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom