Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Good afternoon thinkers. Yesterday was in chamber s in one of the District Land and Housing Tribunals and i happened to find an application brought by way of Summary procedure under Order XXXV of...
Ngoja niwamegee kesi hii kati ya Hasumati dhidi ya Bashirihussein na mwenzie na ni kesi iliyoripotiwa katika ripoti za kisheria za Tanzania za mwaka 1983.
Je ilikuwaje?
Katika kesi hii Mama...
Tafadhali sana members kwa yoyote ndani ya forum hii mwenye Act ya sheria ya msaada wa sheria ya mwak 2017 anipatie kupitia PM au njia ya reply/quote whatever necessary. I shall appreciate.
UTARATIBU WA KUDAI FIDIA YA BIMA KWA ABIRIA ALIYEPATA AJALI
(CLAIM PROCEDURE)
Imeandikwa na BINTI MAKINI
0714351954
Abiria anapaswa kuandika barua kwenda kampuni husika ya bima iliyokatiwa hilo...
Wakuu naomba kuuliza sheria ya bima ya afya kwa mfuko wa NHIF inasemaje kwa mwenza zaidi ya mmoja?
Je, unaweza kuandikisha mke zaidi ya mmoja katika mfuko?
Ahsante
"Dear Mr. zacharia Tabani,
If you don't have another ID document you can send a Notarized Copy/Translation of the already submitted one.
Please make sure that the Notarized Copy/Translation you...
Habari wana jamvi kuna hoja hainiingii akilini kwann spika awe mkuu wa nchi kama rais na makamu wake hawapo ,haiwezi kuathiri principle of check and balace na kwan awe sipika wa bunge hakuna...
Nimeshangwazwa na DPP kumsomea mshtakiwa shtaka lake baada ya kupanda kizimbani sikujua ni kipi kimemfanya asimsomee shtaka na kumuacha tena mtuhumiwa kuenda rumande.
Story iko hivi:-
Rafiki...
Jamani hivi hii kitu inanitokea mimi peke angu?
Nimeweka kifurushi more than 15gb kimeisha ndani ya dakika 20 na sielewi ni kitu gani nimetumia maana simu ilikuwa inacharge. Nimenunua kifurushi...
*FAHAMU MAKOSA NA ADHABU ZITOLEWAZO NA SHERIA ZINAZOKATAZA MATUMIZI YA MIFUKO YA PLASTIKI TANZANIA*
*By Omari Kilwanda-Wakili*
Kimsingi kuna *Makosa Makuu Matano* yaliyotajwa na kukatazwa ndani...
Wakulu!
naomba kuwasilisha attachament ya sheria iliyopitishwa kuhusiana na kupigwa marufuku kwa matumizi na uzalishaji wa mifuko ya plastick.
naomba tuisome kwa udadavuzi zaidi kwa sababu humo...
Imeandikwa na Shadrack Sagati; Tarehe: 5th May 2011
MAASKOFU na wachungaji wa makanisa ya Pentekoste nchini, wamepinga hatua ya Serikali ya kuwalazimisha kuwasilisha hesabu zao za kila mwaka kwa...
Je mfanyakazi wa umma anaweza kusimamishwa kazi na kufukuzwa kazi kwa kesi ya jinai ambayo haikufika mahakamani? Kesi iliishia polisi na mfanyakazi kuonekana hana kosa la kupelekwa mahakamani...
Umemzalisha mpangaji wako mtoto mmoja au wawili na baada ya kumzalisha ukaamua kumsamehe kodi ya nyumba akawa anaishi tu bure.
Je, ikitokea mzalishaji umefariki, mzalishwaji ana haki ya kuendelea...
Wadau mwenye kufaham majukum ya hawa watu, msajili wa mahakama anijuze, maana nasikiaga kwenye kesi nyingi Jaji au Hakimu anawaambia kwamba mtajulishwa tarehe ya kesi na msajili wa mahakama.
Hivi wakuu kama kuna mtu mfano amekushitaki polisi kudai fidia kuwa umemuharibia mali yake. Mtuhumiwa anao uwezo wa kukataa wito wa kumtaka kwenda polisi na kumtaka mtu aliyemshitaki aenda...
Baada ya Tsunami ya maswali kutoka kwa Kibatala, John Maly an Prof Safari, wakaomba break. Kurudi tu Kadushi akaiambia mahakama kuwa shahidi ameanguka ghafla na hivyo hawezi kujibu maswali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.