Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Kuna ndugu nilimkopea pesa akafungwa na kutoka lkn makubaliano ilikuwa pindi anatoka anilipe pesa yangu lkn sijapewa .nilipoenda mahakamn nikajibiwa nimtafute mtuhumiwa nimpeleke mahakaman ili...
Habari wakuu
Naomba mnisaidie mfanyakazi anawezaje kujifukuzisha kazi? Mimi sijaenda kazini siku 10 nilikuwa na matatizo ya kifamilia nilimjulisha msimamizi wangu wa kazi juu ya hili. Cha...
"Wanajamvi naomba msaada kwa yeyote mwenye ufahamu wa kisheria anisaidie"
Kuna mtu nilimwekea dhamana mahakama ya mwanzo kwa kosa la jinai ya kujipatia mali/huduma kwa udanganyifu baada ya kutoka...
Baada ya kumdai hela yangu kwa mda mrefu bila mafanikio nikaamua kwenda kwa Mtendaji. Sasa kaniambia kwa hasira mbele ya Mtendaji kuwa hivi sasa hana ela atanipa mwezi wa kumi na moja.
Nimeumia...
Wakuu Habari, Kuna Ndugu Yangu amesimamishwa Kazi Kwa Kosa La Kuingia Kazini Akiwa Amelewa, Je Kisheria Ikoje, ni Nani Mwenye Mamlaka Ya Kujua Kiwango Cha Ulevi?
Habari wanajamvi? Natumaini mko salama.
Kama kichwa kisemavyo mwaka jana mwez kama wa 8 nilijiunga na kampuni ya uwekezaji sky investment baada ya kuona uzi huku na pia nikaridhika na njia zao...
Ipo hivi;
Rafiki yng alikamatwa na kukaa mahabusu Kwa miaka 14 Kwa kesi ya kusingiziwa.Ametoka amefungua kesi ya fidia na anadai ameshinda malipo yake ni million 140.
Sasa utata ni kwenye...
Assalam alleykum!
Habari zenu?
Ndugu zangu naomba msaada wa namna ya kuandika nakala ya Wakfu. Mzee wangu ameamua kutoa eneo lake (kiwanja) kwa ajili ya wakfu, sasa nahitaji mwongozo huo kisheria...
Nimefuatilia sana hukumu be it rulings/judgements za waheshimiwa majaji wa Rufaa linapokuja suala la tafsiri ya Court of appeal rules, nimeona hakuna consistency. Hii inatokana na scenario kadhaa...
Ukisoma judgements za kesi za court of appeal kuna kulipua kwa aina fulani. Awamu hii majanga kila mahali. nenda kasome kesi za 2019 zlizoamuliwa.
Ni maoni yangu.. nalinganisha na majaji wa rufaa...
Habari wana Jamii forum,Naomba msaada wa kisheria,,kuhusiana na sheria za Kazi na Ajira,,,,sina pesa ya kumlipa ila nikifanikiwa atanufaika kwa kufanikiwa kwangu,,,mwenye wito wa msaada plz anichek DM
..Prof.Kabudi amefundisha wanasheria wengi nchi hii, wakiwemo wabunge na majaji.
..sasa ametoa madai kwamba ktk nchi za Marekani na Uingereza, kukwepa kodi ni kosa kubwa kuliko kuua.
..pamoja na...
Habarini wakuu
Naomba msaada kisheria a mawazo badala kuhusu mpangaji wangu,mnamo mwaka Jana kuna kijana alipanga Chumba nyumbani kwangu,mm sikuwepo wakati huo(nilikua mkoa mwingine kikazi)hivyo...
Wanasheria Msaada tutani, hivi kwa mfano nikawa naishi na mwanamke mwenye kipato kunizidi, yani mimi mwalimu wa shule ya msingi na yeye akabahatika kuwa mbunge. Kabla ya kua mbunge tulikua...
Nilikuwa Dar Es Salaam kwa muda wa week moja, nilikaa Atriums Hotel na nikaibiwa night ya nne, niliibiwa chumbani usiku wa saa 3 wakati nikiwa restaurant nakula hapo hapo hotelini... Niliibiwa...
Msaada jamani wanajukwaa,
Kuna mfanyakazi wa umma kaajiriwa na barua yake ya ajira (mkataba), inasema kipindi cha majaribio ni mwaka mmoja.
Kafanya kazi mwaka 1 umeisha, mwaka wa 2,3,4 imepita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.