Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
EPA: Twasubiri hatua za kisheria, si ripoti
John Bwire Julai 31, 2008
MWISHONI mwa wiki iliyopita magazeti kadhaa nchini yaliripoti kwamba Timu ya Rais ya kuchunguza wizi wa Sh...
Wana Bodi,
Ni muda sasa malumbano hafiki mwisho, hatutaki kujua nani zaidi bali tuoondoe uonevu unaoweza kuufanya mhimili mwingine kuonekana huko juu ya sheria. Speaker Ndugai inatumia nguvu...
Mimi nilitaka kupanga nyumba na ela nikatoa ya pango kwa miezi kadhaa lakini hatukuandikishana mkataba wala ku sign sehemu yoyote ile badae nikagair na kwenda kupanga sehem nyingine sasa nikaenda...
Habari zenu wakuu!
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu!
Hivi mtoto akiwa mkubwa akaenda kufungua kesi ya kufanyiwa kitu ambacho hajakipenda kutoka kwa mzazi wake sheria inasemaje...
FATMA KARUME, DARASA LA SHERIA NA UJASIRI.
Nilikuwa na likizo kidogo na nisingepaswa kuwepo online kutokana na maagizo yangu binafsi, ila nimeshindwa kuvumilia;
Tangu nikufahamu, siku ya kwanza...
Mimi nimenunua kiwanja kikiwa hakina alama yoyote ya kaburi na baada ya kununua ndugu wa yule aliyenuzia anakuja ananiambia kwamba hapa kwenye kiwanja Changu Kuna kaburi na baada ya kuniambia...
Mfumo wowote wa maisha ya binadamu lazima uwe na sheria, kanuni au miiko inayoongoza jamii husika. Kadhalika lazima kuwe na utaratibu wa kuamua migogoro inayotokana na ukiukaji wa sheria, kanuni...
Habari zenu wanasheria humu naomba mnisaidie kitu..kuna michezo hii ya wanawake "upatu" tulikua tunacheza online.Tumecheza kwa mda mrefu sana ni mchezo ambao ulikua kwa jina moja mtu unapokea 1m...
Baada ya kuangaika sana kutafuta kazi pasipo mafanikio yeyote atimae nikaanza kusaka sehemu ya kujitolea japo nipate ela ya chai na nauli ila wapi
Atimae nikaamua kutafuta sehemu ya kujitolea...
Habari za asubuhi wakuu niilikua naomba msaada wa kisheria juu ya uharibifu wa mazao nasema uharibifu wa mazao kwa sababu kama mtu kakuharibia kifaa cha shamba kwa makusudi na kusababisha mazao...
LEONARD MAGESA..APPL VS MS OLAM..RESP CIVIL APPE NO.11 OF 2015 RULING HON.JUMA,J.A. /LEONARD MAGESA..APPL VS MS ...
Nimekwenda kwenye website yenu nimekuta kitu ambacho sikutegemea toka kwa...
Leo mimeona niweke haya mambo kwenu ili nipate kuelewa vyema, wanasheria naomba mnisaidie
1. Ni kwanini mtu anapelekwa mahakamani kabla ushaidi haujakamilika?. Tumeona kesi nyingi sana...
Naomba kujua nianzie wapi msaada tafadhali. Kuna kijana mmoja na mzee mmoja wamenitapeli pesa ambayo nilikuwa nawapa kwa ajili ya kilimo. Kuna baadhi ya pesa tulipeana kimaandishi na zingine hamna...
Wana jamii habari zenu.
Naomba kutambua kisheria hivi zile faini za mahakamani pale mtu anapokutwa na hatia. Hasa kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji na kupewa hukumu na mahakama kwamba alipe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.