Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
Wanajamvi wenzangu naomba msaada wenu mnishauli/ munieleweshe kisheria kuhusu mimi na wapangaji wangu. Hawa wapangaji wapo kwangu sasa ni miaka mitatu tangu nimewapangisha ndani ya nyumba yangu...
habari wana janvi mimi nna ndugu yangu ana kesi inayomkabili,alipewa dhamana akapangiwa siku ya kesi kusikilizwa siku ilipofika wakamjib upelelez haujakamilika akard nyimbani,
mara ya pili...
Wakuu naomba kujua sheria za usalama barabarani zimegawanyika katika makundi mangapi?
Vile vile nataka kujua katika makundi hayo je ni sifa zipi naweza kuzizingatia nikajua umuhimu wake...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 Nimeoa na Nina mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 4
Ninafanya kazi katika taasisi moja ya serikali nikiwa mtumishi was kada ya kawaida
Mwaka 2013 nilijinyima...
habari wana JF
Leo ningependa kulifikisha hili kwenu tulitazame sote kwa pamoja, huwa ninaona magari yameandikwa majina ya wamiliki ubavuni, mara nyingi kwa saloon ni karibu na milango ya mbele...
KESI YA JAMHURI NA MWALIMU RESPICIUS PATRICK MTAZANGIRA PAMOJA NA HERIETH D/O GERALD, KWA LUGHA YA KISWAHILI (TAFSRI ISIYO RASMI)
THE REPUBLIC
VERSUS
1. RESPICIUS S/O PATRICK@ MTAZANGIRA
2...
Why is the crime rate in Germany so low? Is it a merit of the system, the culture or of the police?
[https://qph]
Chris Ebbert, Innovation Advisor
Answered Mar 9
I am originally from Germany...
Kuna nyumba yangu moja, eneo la mbezi niliwaachia madalali wanitaftie mpangaji. nyumba nzima nilikuwa napangisha 1.2mil kwa mwezi!
baada ya kukosa mpangaji kwa mda mrefu, nikiwa safarini...
Natambua kwamba mashahidi wasiopungua wawili wanatakiwa kushuhudia saini ya mhusia kwenye wosia. Pia mashahidi wasiwe wanufaika na mashahidi watoke kwenye ukoo na nje ya ukoo. Nimeona case reports...
Naomba kuuliza kisheria/ Legally; ukiwa unafanya kazi kwa niaba ya Taasisi iliyokuajiri na kisha ukakosea katika utendaji wako (kwa capacity ya Taasisi not personal); swali langu ni je, unastahili...
Naomba mwenye kesi hii aniwekee hapa au inbox. asante sana
SARJIT SINGH v SEBASTIAN CHRISTOM 1988 TLR 24 (HC) Court High Court of Tanzania - Dar Es Salaam
Judge Kyando J
Tukio lenyewe lilitokea hapo majira ya
asubuhi mnamo Februari 21, 1978. Ni
baada ya kuambiwa mumewe wakati
anaenda kazini kwamba akirudi asimkute
hapo nyumbani, na kama akimkuta,
atamtoa hapo...
Shahidi ni mtu mwenye sifa zipi mbele ya mahakama? Je mtu aliyefika mahala ambapo tukio lilitokea baada ya siku 1 au wiki 1 anaweza kuwa shahidi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukio hilo la ajabu labda kwa sababu ya uelewa wangu mdogo wa sheria bajaj moja pale mwenge mataa ilikuwa imezidisha abiria yaan abiria amekaa siti moja pamoja na dereva askari mmoja mnene mweupe...
Habari wana Jukwaa
Mnamo tarehe 09 April 2017 niliondokewa na mzee wangu ambaya alikua mteja wa Bank moja wapo hapa Tanzania. Wakati wa mauti mzee alikua ameacha deni bichi ya Bank lipatalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.