Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
SHERIA MPYA YA BOT-2018 NA WAKOPESHAJI WA BODA BODA NA BAJAJ
Wakuu naomba msaada wenu kuelewa mahusiano yaliyopo kati ya hii sheria mpya ya BOT Kusimamia huduma ndogo ndogo za kifedha ya 2018 na...
Ninamdeni wangu nilikuwa namdai nikamua mpeleka mahakamani ili anilipe deni langu tukakubaliana kimandishi mbele ya hakimu kuwa atanilipa deni langu ndani ya mwaka mmoja
Kweli kipindi cha...
Habar zenu wakuu kuna shamba la familia ambalo lipo mbali kidogo kutoka mahali ambapo mzee anaishi na alinunua kwa utaratibu wa haki ya kimila kipindi hicho sasa kwa hivi karibuni kumeibuka...
Wakuu ninarafiki yangu alikuwa na kesi na amekiri kosa na hukumu imetoka wiki iliyopita..
(Amehukumiwa aende jela miaka tisa au atoe faini ya million 9.)
Sasa ushaurini wenu ninaoomba ni kwamba...
Wajuzi wa mabo sheria naomba msaada wenu katika hili.Nilikuwa katika mwahusiano na mwanamke mmoja hivi tangia 2012, mwaka 2013 nikapeleka posa na mahari kwa wazazi wake na mwaka huo huo...
Mwenye namba ya mdau naomba anitumie pm nahitaji ushauri wake wa kisheria. Au kama kuna mwanasheria yoyote aliyeko Shinyanga mjini naomba tuwasiliane mapema
Sent using Jamii Forums...
Nadhani niko jukwaa husika, wakuu salamu kwenu.
Naomba kufahamishwa ada ya kusajili shirika la hisani lisilo la kiserikali (NGO) kwa ngazi ya wilaya, mkoa, na taifa.
Pia naomba kujua huyo ada...
Wakuu poleni na majukumu, Mimi ni mmoja wa wafuatiliaji wa kesi ya akina Abdalah Zombe na mwenzake Christopher Bageni waliotenda kosa la kuwa ua wafanyabiashara wa Madini ya rubbi katika msitu...
Je, Traffic police wana haki kukamata gari kwa kuchelewa kulipa fine iliyotokana na kosa la barabarani?
Je, hiyo ni kazi ya traffic poice au ya TRA?
Naomba na reference tafadhali ikiwezekana!
RAPE CASE DISMISSED :The victim (she) was too ugly and masculine to be raped.
Italy's Justice Ministry has ordered a preliminary inquiry into an appeals court ruling that overturned a rape...
Kwa mfano mtu amekutana na OCD au RPC na huyo OCD au RPC akamtukana ama kumshambulia, jee raia huyo anatakiwa afanye nini ili aweze kumshtaki huyo OCD au RPC? Na jee RPC atashtakiwa kama mtu...
Kama mtu amehukumiwa kulipa fedha alizo iba... Kwa muda wa sku 30...je endapo hajafanikiwa kupata hzo fedha...anaweza kwenda kuomba kuongezewa muda tena...na hakimu anaruhusiwa kumpa muda bila...
Habari za mchana wana JF
UTANGULIZI:
Wakati tukijiandaa na uchaguzi wa Rais wa TLS siku za usomi, naomba kujadili kuhusu sehemu ya "V" (i.e kifungu cha 35-41) ya sheria ya huduma za habari Na...
Wadau naomba kujua je mtumishi wa umma anapokuwa na kesi ya jinai mahakamani anaruhusiwa kuendelea kufanya kazi au anasimamishwa mpaka kesi iishe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari,
Mwaka 2016 nilifunguliwa kesi ya madai kwenye mahakama ya hakimu mkazi mfawidhi wa mkoa. Kesi hii iliendelea lakini baadae inaendeshwa na hakimu mkazi wa wilaya (RM). Kwa mujibu wa
IN...
Salaam.
Wataalam wa sheria naombeni ufafanuzi wa kisheria juu ya makosa yenye dhamana, kuwepo sharti la kua na mdhamini ambae ni mfanya kazi wa serikali.
Je Hilo sharti lipo kisheria?,kama lipo...
Nilikuwa na kesi mahakama ya mwanzo...mtuhumiwa alihukumiwa kulipa fedha alizoiba ndani ya siku 30. Yani kutoka tar 31/01/2019 hadi mnamo tr 3 mwezi wa tatu...swali langu je asipotekeleza hilo nn...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.