Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 28, leo Mei 17, 2024 ambapo Waziri Dkt. Gwajima D atasoma Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia...
BIL 97.178 KUTUMIKA UJENZI BARABARA YA IFAKARA-MBINGU
Imeelezwa kuwa mradi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kutoka Ifakara hadi Mbingu yenye urefu wa kilomita 62.5 utatumia Bilioni...
KATIBU MKUU WIZARA YA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA AFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU WIZARA YA ULINZI WA BURKINA FASO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Faraji...
Hii ni salamu kwa viongozi wa Chama cha Drmokrasia na Maendeleo (Chadema) mjini Moshi kwamba muonyeni kada wenu na diwani mstaafu wa Kata ya Kiusa, Steven Ngassa aache ujanjaunja wa mjini atafute...
Juzi gazeti la Mwananchi lilichapisha habari kuwa mke wa Balozi Pereira, Mwanaamina Farouk Mke wa Balozi alalamika kuvamiwa na wasiojulikana. Mtakumbuka kuwa huyu mwanamke amekuwa kwenye vyombo...
BARAZANI KWA RAJAB
Na Ahmed Rajab
MARA ya mwanzo kabisa kukutana na Mwalimu Julius Nyerere, uso na macho, ilikuwa 1968 jijini London ndani ya ukumbi mmoja wa hoteli iitwayo Hyde Park. Hoteli hiyo...
Nawakumbusha tu akina Clouds, Wasafi, Channel ten nk
Chadema ni blood yaani Uhai kwa walioiamini hata kama Sasa wako CCM kwa sababu za Njaa iliyotukuka kwenye matumbo yao na Ada za Watoto...
Kuna tatizo sugu la ardhi limekuwa likiendelea nchi kwa miaka mingi. Halmashauri nyingi hazitaki kupima mashamba vijijini kwa makusudi mpaka wanapopata mradi. Mradi ukitokea wenye mashamba...
Salaam, Shalom!
Nimefuatilia Kwa ukaribu jinsi waziri Jerry Slaa anavyofanya katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, japo Bado ni mapema sana kusema kuwa anafanya vizuri, lakini Kwa sasa itoshe...
Nimekuwa na marafiki na ndugu zangu wa karibu walio karibu sana na viongozi wa CCM na Serikali, hasa mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya, na wakurugenzi wa mamlaka mbalimbaki za Serikali...
CCM Watanzania tunataka KATIBA MPYA .Acheni kupotosha kuwa Eti KATIBA sio ya VYAMA bali ya WANANCHI wakati Wananchi hao hao wapo kwenye HIVYO VYAMA.
VYAMA ni LAZIMA viwasemee WANANCHI wa NCHI...
📌Kituo cha Afya Kinyerezi
🗒️15/5/2024
Mwenyekiti Uwt Mkoa Dar es salaam Mwajabu Rajabu Mbwambo ameungana na Shirika lisilo la kiserikali TAHECO linalojishughulisha na masuala ya Afya na...
Mwenyekiti wa Chama Cha Wakandarasi Wanawake Kanda ya Kati na Mashariki Tanzania Bi. Hidaya Abri amemshukuru Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndg. Mary Pius Chatanda kwa kuendelea kuwapambania wakandarasi...
Alphonce Mawazo, Kijana aliyeachana na CCM baada ya kuona kwa macho yake kwamba Chama hicho ndio nguzo kuu ya Umasikini na dhiki zote za Nchi, aliamua kujiunga na CHADEMA chama halisi ambacho ni...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuwa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kwahani lililopo Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi, Zanzibar utafanyika tarehe 08 Juni, 2024.
Taarifa kwa...
Kwa zaidi ya wiki sasa wenye maduka madogo vibanda na mamalishe wamekuwa wakikamatwa na kulipishwa fedha kiasi cha elfu 30 gharama za ukamataji wa service levy, tumefikaje huko wakati wa ukataji...
Sijui kama Watanzania wengi wanajua kuwepo kwa vikao vya bunge la bajeti vinavyoendelea Dodoma. Yaani kuanzia mitaani, mitandaoni, redioni, Kwenye Luninga na magazeti hakuna habari wala mijadala...
Chama cha ACT-Wazalendo kimetaka uchunguzi wa Kamati ya Kibunge juu ya vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu vinavyofanywa na Jeshi la Polisi na magereza. Kimetaja vitendo vya utekaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.