Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Ilikuwa ni mbwembwe na vifijo baada ya kupata kiti kimoja cha udiwani kati ya 16 vinavyogombaniwa. mkuu zitto alitinga na heading upinzani1 ccm 0 na kutuahidi kuwa hii yote ni dalili za nyakati...
0 Reactions
59 Replies
9K Views
  • Closed
Malecela aitikisa CCM mara nyingine na Martin Malera Tanzania Daima SASA ni dhahiri kuwa John Samuel Malecela ndiye mwanasiasa anayeshikilia kwa nafasi kubwa hatima ya mshikamano na uimara...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Posted Date::10/31/2007 Uchaguzi CCM:Nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM moto *Ngeze, Kimiti wapewa nafasi kubwa *Malecela, Lowassa, Sumaye nao wamo * Kiti cha Katibu Mkuu pia kitendawili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
NASAHA ZA MIHANGWA Nakala chapishi Mtumie mwenzio Raia mwema anapoamua kutafuta haki na Paradiso iliyopotea Joseph Mihangwa Oktoba 31, 2007 Raia Mwema NI Rais wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
This place is turning me into a politician. Kwa kweli, nilikuwa sina interest kabisa na mambo ya siasa, but I can feel something burning inside me. Natamani kila Mtanzania anayejua kusoma angeweza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ndugu Rashid Hamad Mbuge kupitia Chama cha CUF sasa anaendelea vyema baada ya kufanyiwa OPeration huko Nchini India. Kwa kuwa ndugu Hamad amekuwa mtetezi wa Taifa la Tanzania, na sasa anaumwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Tukaambiwa wale 27 wa ajali ya Mbeya ni kafara ya saidia Taifa Stars iwafunge Machinga, Huko Singida wamefariki watatu sijui ilikuwa ndio kafara ya kumtafuta aliyemlawiti mtoto mdogo? Waswahili...
0 Reactions
47 Replies
7K Views
  • Closed
Baadaye leo kwenye majira ya saa saba EST sawa na saa sita CST ambayo ni saa mbili za usiku EAT, nitapata nafasi ya kuzungumza na kiongozi mmojawapo wa ngazi za juu wa CCM. Kama hakutatokea...
0 Reactions
58 Replies
8K Views
Kuna habari ifuatayo iliyojiri hivi mapema kuhusiana na mfumo wa siasa yetu nchini, tafadhali soma hapa chini: Wapinzani watinga kortini 2007-10-05 17:38:14 Na Sharon Sauwa, Mahakama Kuu...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimeona kwenye habari za magazetini kupitia Channel 10 ... Gazeti la RAI linadai kwamba mabadiliko makubwa ya uongozi serikalini yanakuja na yatafanyika mara baada ya Uchaguzi wa CCM ambao...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Posted Date::10/25/2007 Ajali za viongozi sasa zawatisha wabunge Na Ramadhan Semtawa Mwananchi HUKU wakiwa na nyuso za huzuni baadhi ya wabunge na mawaziri wameshutushwa na kutishwa na...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Gazeti jipya kabisa la Kiswahili linatarajiwa kuingia katika vibanda, maofisi, na mitaa ya Tanzania kuanzia tarehe 31 Oktoba mwaka huu. Jarida hilo la "Raia Mwema" litakuwa na habari mbalimbali...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Je, Muungwana alichukua bulungutu toka kwa wafanyabiashara hawa katika kinyang'anyiro cha kugombea kuwa mgombea wa CCM? Alichukua kiasi gani na toka kwa akina nani? Na hao walioshindwa nao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
...Wabunge watatafuna pesa na hakutakuwa na ufuatiliaji wa maana kuhakikisha kama kweli pesa zimetumika jimboni Posted Date::10/16/2007 Miswada mipya saba kusomwa Bunge lijalo Na Tausi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Baada ya kuona hii habari hadi sasa sijaona tamko la watu kushitakiwa wala kukamatwa naingiwa wasi wasi na juu ya mwenye magogo haya . Je huu si mtego kwamba wanataka kuziba issues za Zitto na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa kuwa huwa nascan sana vyombo vya habari ambavyo vinaandika kuhusu TZ lakini hawa jamaa wa INDIAN OCEAN NEWSLETTER wananiacha hoi maana wao wanachaji kwa article badala ya subscription ya mwaka...
0 Reactions
41 Replies
9K Views
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTERIAL TENDER BOARD MINISTRY OF FINANCE TENDER NO. 7 OF 2007/2008 FOR SUPPLY OF INFORMATION TECHNOLOGY HARDWARE AND CONSUMABLES ACCOUNTANT GENERAL'S OFFICE...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
  • Closed
Rais Jakaya Kikwete hivi karibuni amezindua Tanagazo mjini New York kutangaza vivutio vya Utalii vilivyoko nchini Tanzania jamani kwa wale walio liona tusaidiane ushauri tangazo hilo...
2 Reactions
25 Replies
8K Views
  • Closed
Mbunge Wetu Amina Chifupa Amefariki. Ina Lillah Wainaillah Rajioun.
0 Reactions
428 Replies
102K Views
  • Closed
Kwa: Katibu Mkuu Chama cha Mapinduzi Yah: Uamuzi wa Spika wa Bunge kuhusu suala la Mheshimiwa, Malima (Mb) na Bwana Mengi Mwenyekiti wa IPP Suala lilitajwa hapa juu la husika...
1 Reactions
330 Replies
45K Views
Back
Top Bottom