Na Jackson Odoyo
MGONJWA Emmanuel Didas aliyefanyiwa upasuaji wa kichwa badala ya mguu Novemba Mosi, mwaka huu katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) amepooza upande mmoja wa mwili...
Uingereza waafrika kwa visa.Pesa zinatotumika katika huu mkutano zinaweza kujenga hospitali ngapi?Jee commonwealth inamsaidiaje raia wa kawaida Tanzania?
Mini naona commonwealth ni opportunity...
Robin Szolkowy alizaliwa 17 Julai 1979 huko Greifswald, Mecklenburg-Vorpommern, Ujerumani. Yeye na patna wake Aljona Savchenko, ndio wanashikilia medali ya shaba ya dunia na mabingwa wa ulaya...
Mawaziri matumbo joto
Mwandishi Wetu Novemba 14, 2007
Raia Mwema
MABADILIKO katika Baraza la Mawaziri sasa ni suala la muda tu kwani wakati wowote Rais Jakaya Kikwete atatangaza timu...
Pongezi za CCM kwa Richard wa BBA 2 zimetushangaza
Tahariri
Tanzania Daima
TUMESHANGAZWA na kitendo cha Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuibuka haraka haraka kumpongeza mshindi wa shindano la Big...
Ni sehemu ya maneno ambayo Balozi Mmoja wa nchi za Magharibi alianza kuyatumia alipotaka kuonesha ni jinsi gani nchi wafadhili zimeanza kuwa na shaka na uwajibikaji wa serikali ya awamu ya nne...
Katibu Mkuu wa wizara ya Utalii Tanzania Bibi Blandina Nyoni juzi alikesha katika banda la Tanzania akiuza utalii na kutoa huduma kwa watu mbalimbali waliofika katika banda hilo kwa kuwafahamisha...
SERIKALI YATENGA TSH BIL 3.4 KUNUNULIA KOROSHO
Serikali imetenga shilingi bilioni 3.4 kwa ajili ya chama cha Ushirika cha Ilulu ili kumaliza tatizo la ununuzi wa korosho.
Rais Jakaya...
Jengo refu kuliko yote jijini Dar es Salaam limepewa jina la rais mstaafu Benjamin William Mkapa kinyume na matarajio ya wengi kuwa jengo hilo lingeendelea kuitwa Mafuta House.
Kwa wadadisi wa...
heshima yenu wana JF.
ni maoni yangu kuwa JF ina watu wenye vipaji na proffessions mbalimbali. mimi siko kwenye uchumi kielimu. ila baada ya kupata maoni namna ambavyo BOT imechafuka, tukianza na...
Hivi jamani mimi natatizwa sana na utendaji kazi wa Bunge letu tukufu.
Wakati Zito anatoa hoja ya Kuundwa Kamati ya Bunge juu ya buzwagi, wote tunafahamu walivyokuwa wanapondwa na...
Habari kutoka Mwananchi zinasema ukaguzi wa 'ufisadi' BoT umekamilika. Soma zaidi hapa chini:
Ukaguzi wa tuhuma za ufisadi BoT wakamilika
Na Ramadhan Semtawa
WAZIRI wa Fedha, Zakia...
MWASISI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na aliyekuwa Katibu Mtendaji wa pili wa chama hicho, Balozi Daudi Mwakawago amewashauri viongozi wa serikali wanaotuhumiwa kwa ufisadi wajiondoe katika nafasi...
BALOZI Daudi Mwakawago, ambaye ni mwasisi na Katibu Mtendaji wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) asema chama hicho kinabidi kiongeze muda wa kufanya mkutano wake mkuu ili kuweza kuwapa wajumbe muda wa...
Na mwandishi wetu
Mazungumzo ya Rais Jakaya Kikwete na Rais George W. Bush wa Marekani, yamezua mtafaruku nchini Kenya, hasa baada ya kubainika kuwa moja ya ajenda katika mazungumzo hayo...
Ndugu wana Bodi kumekuwa na hoja nyingi ambazo zimejizokeza hasa la madaraka ya Urais waNchi yetu,Kuna watu wamnampigia chepuo Wazitri Mkuu Lowassa na wengine wanasema kitendo cha Membe kung;ara...
Askofu mstaafu Dkt. Mushemba
Akizungumza kwenye hafla hiyo, Askofu Mkuu Mstaafu wa KKKT Dkt. Samson Mushemba alimpongeza Rais Kikwete kwa kufafanua chanzo cha mjadala huo na kusema ni salamu...
Habari ambazo zimeingia sasa hivi ni kuwa wananchi wa jamii ya Kimasai huko Kilosa wamejikuta wakichomewa nyumba zao kwa amri ya Mkuu wa Gereza la Mbigiri. Amri hiyo imetekelezwa bila kufuata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.