Kwa mara nyingine tena inabidi niukubali ukweli na kumeza uchungu wa kupoteza nafasi ya kuleta mabadiliko nchini.
Ni kweli kuwa mimi nimeweka wazi hapa kuwa ni mpinzani wa CCM na sitangojea kwa...
Majuzi tumepokea salamu za mshikamano kwenye kongamano la wanafunzi lililoitishwa na CHADEMA kutoka kwa mtu anayejiita M.M. Mwanakijiji. Lakini hatukuambiwa kwamba huyu bwana ni nani na ametuma...
Mmoja alipokonywa gari na ofisi
KUJIUZULU Kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) Dk. Idris Rashidi, pamoja na mambo mengine, kunaelezwa kutokana na msuguano wa muda mrefu...
KUna wakati mgodi wa Mwadui ulielezwa kwamba haukua ukiilipa serikali mgawo kutokana na hisa zake.. Sasa sina hakika kama wameanza kulipa na kinachofanyika sasa ni HUJUMA ili mgodi uonekana...
Kumbe CHADEMA haina imani na Zitto!
WIKI iliyopita, nilizungumzia kwa kirefu sababu zangu ambazo mimi binafsi niliziona ni za msingi katika suala la kumtaka mzee Benjamin Mkapa asijitokeze...
JK baada ya kudhani kumleta mzungu wa Canada itakuwa msada kwake kurudisha hadhi yake miongoni mwa Watanzania sasa haya yameibuka .Hebu semeni JK alifikiria nini kumleta huyu mzungu ghafla hivi ...
Wabunge Canada wahoji ziara ya Waziri Mkuu wao nchini Tanzania
Na Mwandishi Wetu
Mwananchi
Posted Date::11/28/2007
ZIARA ya Waziri Mkuu wa Canada Stephen Harper nchini, imeibua mambo mapya...
Posted Date::11/28/2007
Kamati ya madini yageuka kama maigizo
*Mwingine aandika barua ya kujitoa
*Aliyejitoa wa kwanza, wa pili wahudhuria
* Iddi Simba ahamaki waandishi kuwako ndani
* Bomani...
Na Daniel Mjema, Moshi,
Mfanyabiashara wa mabasi yanayofanya safari kati ya Moshi na Kilema, anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumpiga risasi dereva wa basi la Flora Coach kwa madai ya ugomvi...
Zimbabwe to take mining stakes
Mr Mugabe says the population
should benefit directly from mining
Peter Greste BBC News
Zimbabwe's government has published new legislation that would force...
Hivi Hosea si alisema Ph.D yake alifanyia USA? Au aliacha kule na kuja kuanza upya UDSM.
Maelezo aliyoyatoa kwenye tuhuma zake huenda yana utata.
Jamaa ana Ph.D ya rushwa TZ na bado mambo ya...
WanaJF waliojitoa na kutokuwa na imani na serikali ya JK, Hasara nitakuwa wa kwanza kutokana na yanayoendelea katika uongozi wake, na kuwa na washauri wabaya.
Nimejitoa kuanzia leo.
Ingawa taarifa ninazopata zinaonyesha kuwa kinachoendelea ndani ya CHADEMA ni mjadala mkali na wala sio mgogoro kama magazeti ya Mwizi na mkoloni Rostam Aziz yanavyoripoti nyumbani, bado kuna...
Naam zifuatazo ni baadhi ya wuote ambazo nimezitoa katika vyombo viwili tofauti (gazeti la majira na tanzania daima la mbowe)
"Binafsi sioni umuhimu wa kuundwa kwa kamati hii, kwa ajili ya...
Kwa habari nilizozipata sasa hivyi zinasema Meneja mkuu wa Tanesco Dr. Rashid Idrisa kabadili msimamo wake na kwamba hata jiuzulu tena.
Habari zaidi zitawajia baadaye
Stay tuned!
Posted Date::11/23/2007
Matatizo ya Tanesco, serikali yatupiwa lawama
Ramadhan Semtawa na Patricia Kimelemeta
Mwananchi
UAMUZI wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), kuomba kupandisha...
Posted Date::11/23/2007
Mkurugenzi Tanesco abadilisha uamuzi wa kujiuzulu
* Aandika barua kwa bodi kubatilisha
* Kuzungumza na waandishi wa habari Jumatatu
Na Tausi Mbowe
Mwananchi...
Na Aristostariko Konga
Raia Mwema.
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe anawaona wanaombeza uteuzi wake kwenye kamati ya kuchunguza mikataba ya madini wanacheza na uelewa wake wa mambo...
Last updated : 14 Nov 2007, Kampala
Museveni's witchdoctors cause embarrassment at State House
Museveni believes and practices witchcraft and black magic and this is not new. We are told that on...
Ninataka niamini kuwa ni kweli kuwa CHADEMA kuna mgongano kuhusu uteuzi wa zitto kwenye kamati/tume/jinalolote ya JK ya madini. Kama hizi habari ni kweli, basi hii ni dalili nzuri sasa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.