THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
AFTER weeks of much dilly-dallying, the Presidential Parastatal Sector Reform Commission (PSRC) has at last issued a public statement on the controversial sale...
Kwa kawaida, mimi si mwanzilishi wa thread kwenye jukwaa hili maridhawa, lakini leo nimelazimika kuwa mwanzilishi.
Nimesoma kwamba TANESCO itakabiliwa na ushindani baada ya sheria mpya ya umeme...
Huyu Prof Pius Yanda ameshinda zawadi ya Nobel. Ni zawadi kubwa hii duniani, na yeyote anayeipata huwa anapongezwa na kupokelewa kwa shangwe nchini kwake. Waafrika waliowahi kushinda zawadi hii ni...
John Mhala, Arusha
HabariLeo; Saturday,December 08, 2007 @00:04
MKURUGENZI wa Taasisi ya Utafiti wa Dawa za Mimea na Wadudu (TPRI) iliyopo mkoani Arusha, Dk. Ratian Bamwenda, ambaye kwa muda...
Wataka Rais asitenganishwe na Baraza lake la Mawaziri
* Ni kuhusu umaarufu wake kuzidi wa mawaziri wake
* Profesa Safari asema haiyo haikubaliki kisheria
* Dk Lwaitama:Kinachotakiwa ni...
Wabongo Vimeo Mnaendekeza nyie Wenyewe.
Watanzania ni watu wanaopenda bidhaa vimeo, kuliko bidhaa zilizo na ubora kwa kuwa wanapenda vitu vya bei ya kutupa ni kweli ama si kweli.
Kwa mujibu...
A major lesson from Caracas to CCM; People get tired of populists and empty promises. JK, Msekwa, Makamba, EL, Nchimbi & Karume, please read the writings on the wall!!
By a small margin, just 2%...
Liberia police arrest ex-leader (BBC)
Gyude Bryant took over from Charles Taylor in 2003
Liberia's ex-President Gyude Bryant has been arrested over charges that he embezzled some $1m while...
Na Irene Mark
KAZI ya mbwa wa polisi, ni kukamata mhalifu pindi anapotakiwa kufanya hivyo na anayemuongoza.
Ni wazi kuwa, mbwa wa polisi hutunzwa kwa ajili ya kazi maalum ambayo ni kusaidia...
JK kutohudhuria mkutano wa EU
2007-12-06 10:30:19
Na Gaudensia Mngumi
Rais Jakaya Kikwete hatashiriki mkutano wa nchi za Afrika na Ulaya unaotarajiwa kuanza Jumamosi ijayo jijini...
State House reacts
By The Citizen Team
State House yesterday reacted to the opinion poll conducted by the Research and Democracy Education in Tanzania (Redet), saying the people had spoken...
WanaJambo wenzangu salaam... Leo nimesoma kwenye gazeti la Mwananchi, 06/12/2007. Kwa kweli sio mbaya kujitetea kwamba Serikali bado changa (miaka miwili) hili hatulikatai in "general terms"...
Nigeria: FG Blacklists Siemens, Cancels Contract
6 December 2007
Posted to the web 6 December 2007
Juliana Taiwo
Abuja
The Federal Government has announced the cancellation of a...
Siku ya leo kulitakiwa kutoke makala motomoto kwenye magazeti haya mawili. Kwa sababu wanazojua wanaojua majarida yote mawili yameshindwa kutoa matoleo yao ya kiintaneti ambayo yalikuwa yaendane...
kidogo kidogo tutafika, hatutochoka kudai haki yetu kwenye muungano hadi mambo yawe sawa.
hongereni wawakilishi na nnakuhusieni acheni siasa za kubaguana na kuweka uzanzibari kwanza kisha...
Most of us knew his name by reading his articles and opinions in Mzalendo, Daily News and Uhuru; He was one of the leading nationalists of his time and indeed a patriot of Africa, a true son of...
Huko ulaya, vuguvugu la wanaharakati linazidi kupamba moto kupinga EU na serikali zao kuingia makubaliano na nchi zinazoitwa masikini chini ya EPA. Huku Afrika na hata kwetu Tanzania mjadala...
Kwa watu wa UK basi nashauri mtazame parliament channel now kwani House of Lords wanazungumzia Kenya debate na wamekuwa wanagusia kuhusu Tanzania
Not sure kama mtu unaweza kutazama hii channel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.