Wapinzani waibuka
na Mustafa Leu, Arusha
Tanzania daima
VYAMA vya upinzani vimeitaka serikali kuzitoa hadharani taarifa za ripoti ya tume iliyoongozwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Majeshi...
November 2007 Inflation Rate Slightly Increases
Inflation rate for November 2007 has slightly gone up. According to the National Consumer Price Index (NCPI), inflation rate for November 2007 is...
Waziri aishukia DAWASCO
*Akana kudaiwa ankara
*Asema DAWASCO inaingiza hasara
Na Said Mwishehe
MVUTANO wa chini kwa chini unaoonekana kujitokeza tangu Kampuni ya Maji Safi na...
Serikali: Matokeo REDET safi
na Ratifa Baranyikwa
SERIKALI imesema ripoti ya utafiti uliofanywa na Mpango wa Utafiti na Elimu ya Demokrasia Tanzania (REDET), imeonyesha kuwa watu...
Tangu lini mahakama ikapangiwa muda maalumu wa kumaliza kesi na siri kali!? :confused:
Hapa si kuna ushahidi tosha kwamba siri kali inaingilia kazi za mahakama? Kwa jinsi Slaa anavyoendesha...
ndio yenyewe!...au kulikuwa na ripoti nyingine ya REDET ambayo hatukuiona!? Kwa nini hawa wanasiasa hawataki kuukubali ukweli bali wanaupindisha ili kukidhi nafsi zao!? :(
Serikali: Matokeo...
Chama kipya cha kisiasa cha AFTP kimepata usajili wa muda leo mbele ya Msajili wa Vyama vya Kisiasa. Chama hicho ambacho lengo lake ni kuwavutia wakulima kinajulikana kama Alliance Farmers Party...
Watanzania wakimbilia Kenya kukwepa kipigo cha polisi
Na Samson Chacha, Sirari
VURUGU kubwa zimezuka katika eneo la Sirari upande wa Tanzania, mkaoni Mara kati ya polisi na raia ambao...
Who to blame, minister or permanent secretary?
As for as i know, ministers are just political figures,but permanent secretaries are responsible for every activities which are going on in the any...
Prof. Shivji analyses draft media bill
THISDAY REPORTER
Dar es Salaam
A TOP legal expert in the country, Prof. Issa Shivji, has singled out a number of omissions and ambiguities in the...
Kwa miaka 15 sasa Taifa letu limeendelea kuhangaika na jambo moja muhimu, uwekezaji. Eneo la kwanza ambalo lilitusumbua mwanzoni mwa utawala wa Rais Mkapa katika uwekezaji ni dhana mpya kabisa ya...
MP wants UK to withhold Tanzania budget support
By WILFRED EDWIN
THE EAST AFRICAN
Tanzania is heading for a diplomatic tiff with the United Kingdom if a motion to block budget support to...
Salaamu kwa waungwana hii habari nimeikuta kwenye www.ippmedia.com leo hii..... Kweli Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu, leo TCCA wanaenda kuomba kurudishwa kwenye COMESA, tulivyojitoa ina maana...
Budget review time weve some explaining to do
By KARL LYIMO lyimokarl@hotmail.com
THE EAST AFRICAN
It was budget review season yet again, as Tanzanias development partners came...
Hujuma madini
SIKU tatu tangu gazeti hili liandike habari kuhusu kasoro kadhaa zinazohusu udhaifu unaolipotezea taifa mamilioni ya fedha kupitia madini, taarifa zaidi zinaonyesha kuwa...
The eighth Leon H. Sullivan Summit, formerly African African-American Summit will take place in June 2008 in Arusha, Tanzania, the first East African country to host the summit. The Sullivan...
Wakati Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) PCCB leo inaadhimisha siku ya Maadili kitaifa, suala la rushwa bado linaonekana kuwa kubwa, huku taasisi hiyo ikionesha kuchangia...
Watanzania tuwe makini na tutafakari developments zifuatazo:
kwanza ni kesi ya Ditto
1. Taarifa ya Kamanda wa Polisi Kanda ya DSM aongea na wandishi wa habari na katika taarifa yake anaeleza...
Nimeenda kule TRA nikashtuka yaani top management (13) yote ni wanaume tu! Hivi Hakuna wanawake wenye sifa TRA hata mmoja kuingia ktk management? Au wapo hawapewi nafasi? Nimeenda Kenya (KRA) top...
Ndugu zanguni wote wa JF kuanzia wale ambao ninakubaliano kimawazo wakati wa kuchangia na wale ambao tunakubaliana kila mara napenda kwa ujumla wetu kuwatakia Heri ya Christmas.Naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.