Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Dk. Slaa atisha mtu kwa bastola na Tamali Vullu MBUNGE wa Karatu, Dk. Willbrod Slaa (CHADEMA), ameingia katika mzozo na mtu aliye na mgogoro naye kuhusu shamba, baada ya jana...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
JK: Sina mpango kuvunja Baraza *Asema hizo ni fikra za watu binafsi *Awambia waandishi ikibidi atarekebisha *Aomba subira kwa TRL, ATC na TANESCO *Aahidi mahujaji hawatahangaika...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Mawaziri na leseni zao za kuboronga Lula wa Ndali-Mwananzela Desemba 26, 2007 Raia Mwema MOJA kati ya filamu nyingi za James Bond (007) ambayo ilitolewa mwaka 1989 na kuvutia watu...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Before you appoint any one as a new BOT Governor, Tanzanians would like to know the fate of that report that was handed to you more than 6 weeks ago and what action(s) would be taken against those...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Kwa zaidi ya siku nne waandishi wa habari wameshindwa kupata ukweli kutoka kwa Rais, Waziri wa fedha na maofisa wa juu wa BOT kuhusiana ukweli wa kujiuzulu Gavana wa BOT, Ballali. Hii inaonyesha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kikwete aficha siri na Charles Mullinda Tanzania Daima KATIKA hali ambayo haikutarajiwa na wengi, Rais Jakaya Kikwete, ameamua kuwa msiri katika utendaji kazi wake. Hali hiyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Madaktari waipinga ripoti ya upasuaji tata MOI na Lucy Ngowi Tanzania Daima SIKU moja baada ya Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Profesa David Mwakyusa kutangaza ripoti ya tume aliyoiunda...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kikwete anaimaliza CCM, je wapinzani mko tayari kuchukua nchi? Kwa wale ambao mnafuatilia siasa za Marekani mtakumbuka mwishoni mwa miaka ya tisini jinsi Joji Kichaka alivyojihusisha sana na...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Posted Date:: 24.12.2007 @03:13 EAT Govt website fails to attain desired goal By Mkinga Mkinga THE CITIZEN The multi-million website established by the government to articulate...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Posted Date:: 24.12.2007 @03:18 EAT No foul play on BoT-Epa report By Bernard James THE CITIZEN Controller and Auditor General Ludovic Utouh denied yesterday that the Government was...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Who you think diservs to be Tanzania 2007 person of the year You name any one, and explain why you think he/she diserv to be 2007 person of the year?
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Inaweza kuwa message nzuri kwa Watanzania: Do not allow a leopard to herd your goats - By Professor Ngugi A leader is like a master builder. But he can only build a house with the material...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukiondoa matatizo mengine yoyote, natarajia kuwa na Dr. Sengodo Mvungi kutoka Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam kwenye onesho letu la funga mwaka hapo kesho. Kuanzia kati ya saa nane mchana (EST...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kutano limeshika moto huko SA na ANC inagawanyika . Mbeki anabaki mtupu watu wanasema imetosha na Zuma tosha . Je wale wana CCM wa siku ile Dodoma walilkuwa na ubavu wa kusimama hadharani na...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
TUME ya Utangazaji Zanzibar, imesema kituo cha kwanza cha televisheni cha binafsi kitaanza kazi ya kurusha matangazo yake kwa majaribio Januari mwakani. Katibu Mtendaji wa Tume hiyo, Ali Saleh...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
The Citizen News Posted Date:: 22.12.2007 @04:43 EAT Govt mum on fate of BoT chief By The Citizen reporter Uncertainty persisted yesterday on the resignation of Bank of Tanzania...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Players query need for Tanzania’s new mining probe By JOSEPH MWAMUNYANGE Special Correspondent THE EAST AFRICAN Yet another committee has been appointed to probe the mining sector in...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa nini Viongozi wastaafu wa Zanzibar hawakai Zanzibar? Kuanzia Jumbe, Mwinyi, Salim A Salim n.k. je ni kweli hawapendi kwenda kuishi Zanzibar au kuna kilichojificha? Je wamejenga nyumba zao Dar...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naona wanasiasa wetu nchini wanazidi kujitayarisha na 2010... Vyama vitano vyaanzisha umoja Na Muhibu Said VYAMA vya Democratic Party (DP), Demokrasia Makini, National League for...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
RAIA MWEMA: Wakati ukiwa Spika na mbunge ulijitahidi kujenga shule kwa manufaa ya wananchi wa Ukerewe, na ulichangiwa na baadhi ya watu. Watu walitarajia kuwa ungeimiliki, lakini kwa mashangao...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom