Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Maono na kiu ya watanzania wengi kuona viwanda vikishamiri ktk nchi yetu.Na pia Ni Maono na kiu ya Mh Rais wetu kuendelea kuzindua viwanda vikubwa vya kimkakati hivyo kuchochea ukuaji wa uchumi...
4 Reactions
16 Replies
871 Views
Ni wakati wa kutafakari faida za Muungano. Na kama zipo, ni muhimu kuwa na Muungano imara ambao tunakubaliana uwe ni Muungano wa namna gani. Fikiria kuwa mikopo yote inatafutwa kwa jina la...
32 Reactions
86 Replies
5K Views
Tumeanza kuona vituko, kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Huko Jimbonibkwako hali ikoje?
2 Reactions
4 Replies
525 Views
Ikumbukwe baada ya Ziara ya Rais Samia Suluhu nchini ufaransa Februari 14, 2022 , May 2022 Ujumbe wa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Sekta Binafsi kutoka Ufaransa (MEDEF) ukijumuisha kampuni...
0 Reactions
0 Replies
260 Views
Zama hizi, utambulisho mkubwa wa CCM kwa jamii ni UOVU. CCM inaonekana ni chama ambacho kipo kwaajili ya kujenga, kulinda na kuendeleza uovu na waovu: 1. UKOSEFU WA UZALENDO: Watuhumiwa wote wa...
13 Reactions
47 Replies
1K Views
BALOZI WA TANZANIA NCHINI KOMORO ATEMBELEA TANTRADE Dar es salaam, Tarehe 12 Mei, 2024 Mkurugenzi Mkuu wa TanTrade Bi. Latifa Khamis ampokea Mhe. Balozi Said Yakub ambaye anaiwakilisha...
0 Reactions
0 Replies
324 Views
Hii ni "fragile" period kwa vile kuna chaguzi zijazo. Maadui wenu wanasubiri mvurugane kwenye chaguzi za ndani and surely will take advantage of this kupita kirahisi chaguzi zijazo. Postpone...
4 Reactions
30 Replies
1K Views
Rais Samia huyoo? Sasa hivi kaenda Ufaransa! Ufaransa, chini ya Macron, sasa hivi kimataifa haivumi upepo mzuri. Matukio ya uhusiano wa Ufaransa na nchi za Afrika Magharibi, kama Niger, Mali...
11 Reactions
73 Replies
5K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Kwanza unaohusu Nishati katika ukumbi wa Makao Makuu ya UNESCO jijini Paris, nchini Ufaransa leo tarehe 14...
1 Reactions
8 Replies
765 Views
Waziri Nape ametoa dondoo za bajeti yake anayotarajia kuisoma kesho ikiwemo Taifa kuhamia dijitali. Nape amesema kutakuwa na kitambulisho kimoja na kila kitu kitaunganishwa humo na watu wataacha...
0 Reactions
2 Replies
407 Views
Mbunge wa Morogoro kusini Mashariki Mh Taletale ameitaka Serikali ishirikiane naye waweze kuleta mkandarasi wa kujenga barabara za jimboni kwake kwa utaratibu wa Finance and Building. Naibu...
8 Reactions
156 Replies
18K Views
Habari za Kazi wana JamiiForums, Katika thread hii nategemea tutaangazia ziara mbalimbali(Za nje ya nchi) za Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan na manufaa kwa...
30 Reactions
483 Replies
44K Views
Kati ya vitu ambavyo inawezekana vimewaponyoka wengi ni kuwa Rais Kikwete alipozungumzia suala la Zanzibar alijikuta ameirudisha "Nchi ya Tanganyika" kwa makusudi (haiwezekani kuwa bahati mbaya)...
2 Reactions
73 Replies
10K Views
Ukaguzi wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) umebaini jumla ya Magari ya Serikali 547 yalikuwa yameegeshwa kwenye Karakana za Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) na katika...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
MHE. JACQUELINE KAINJA, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora Aishauri Wizara ya Afya Kuanzisha Kurugenzi ya Famasia (Idara ya Huduma ya Dawa na Vifaa Tiba - Pharmacy). "Hospitali ya Taifa ya...
1 Reactions
1 Replies
358 Views
Mh. Tundu Lissu amekuwa akitoa hoja zake kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kuwa hauna usawa. Lakini pia amekuwa akieleza kuwa, ardhi ya Tanzania inagawiwa kwa Waarabu wa Oman kwa maelfu ya...
1 Reactions
0 Replies
459 Views
"Historia ya CHADEMA kwa miaka ya nyuma imekuwa ikiazima wagombea Urais, tumekuwa tukiwabembeleza wanachama wenzetu kugombea Urais akiwemo Dkt Slaa kumekuwepo na 'trends' hiyo kwamba hatujawahi...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanziabar (ZIPA) imekutana na Balozi wa Tanzania Nchini Comoro Balozi Said Yakubu aliyefika Ofisi za ZIPA Maruhubi Kujitambulisha Balozi huyo ambae ameambatana na...
0 Reactions
0 Replies
330 Views
Mbunge Vuma Holle: Rais Samia Suluhu Hassan Atakumbukwa Kigoma Mbunge wa Kasulu Vijijini mkoani Kigoma, Augustine Vuma amesema kazi kubwa ya kumtua mama ndoo kichwani inayofanywa na Rais Samia...
0 Reactions
0 Replies
426 Views
Huyo Dickson Matata kaomba Uenyekiti wa Kanda ya Magharibi, huku Joseph Mbilinyi akiomba nafasi hiyo Kanda ya Nyasa. Swali ni Je Watatoboa?
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Back
Top Bottom