Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Wanabodi Wiki hii nzima, nimekuwa jijini Dodoma kuhudhuria mikutano 3 muhimu ya mambo ya habari. Tulianza na Mkutano Mkuu wa 13, wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Mgeni rasmi ni Naibu...
9 Reactions
23 Replies
1K Views
Wapo watu (Space Brothers) wanasema value system ya NHIF yetu ni all wrong. "It does not follow the value system of National Insurance in general". Kwa hiyo there is the suggestion kwamba NHIF is...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Muda huu maeneo ya kwa shungu, katindiuka, na mbasa yamefurika maji. Mamia kadhaa ya watu wameyakimbia makazi yao.
5 Reactions
155 Replies
11K Views
Naomba mnisaidie wadau ni nchi gani duniani imepiga hatua za maendeleo ya kiuchumi kwa sababu ya demokrasia?
9 Reactions
144 Replies
4K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa anatarajiwa siku ya kesho kuongoza kikao maalumu cha halmashauri...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
EDWARD NGOYAI LOWASSA AFARIKI DUNIA Aliyewahi kugombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Edward Ngoyai Lowassa amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu. Mtoto wake Fredrick Lowassa...
46 Reactions
544 Replies
46K Views
Kamwe hawatapata kura yoyote zanzibar na wanajua ili uwe rais lazima upata theruthi ya kura kitoka zanzibar Tanzania bara huku wameamua kunigawa wao wenyewe mana tayari wanaonekana no wadini na...
4 Reactions
62 Replies
2K Views
Mnec Richard Kasesela Leo amefika KKKT Kimara na Kutubu huku akilia sana baada ya kumkuta Mtu aliyemfukuza Kazi Iringa Mjini akiwa ni Muhubiri anayetumainiwa hapa jijini DSM Mwinjilisti Mwaulesi...
20 Reactions
67 Replies
5K Views
Wananchi wa Kata ya Engusero Jimbo la Kiteto wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia Gari jipya la wagonjwa ambalo litawaondolea adha ya...
0 Reactions
3 Replies
467 Views
Mbunge wa Jimbo la Rorya, Mhe. Jafari Wambura Chege amesema ndani ya siku 30 Serikali itaanza matengenezo ya Barabara ya Nyarombo - Siko - Busanga ya Kilometa 8 baada ya Serilkali kutenga Milioni...
0 Reactions
2 Replies
334 Views
✳️ CHIMBUKO LA CHAMA CHA MAPINDUZI NI MASHINA; CDE JOKATE 🗓️ 04 Mei, 2024 📍Geita Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Komredi Jokate Urban Mwegelo (MNEC) amesema...
0 Reactions
0 Replies
254 Views
Balozi Dkt. Diodorus Buberwa Kamala (26 November 1968 - 12 Feb 2024) -- Balozi Mstaafu na Waziri wa zamani wa Afrika Mashariki, Dkt. Deodorus Buberwa Kamala amefariki dunia akiwa anapatiwa...
14 Reactions
152 Replies
16K Views
Ifike Mahali viongozi wa Tanzania na hasa Mamlaka ya Uteuzi ijaribu kuwaheshimu Wananchi wake , hata kama ni Wajinga, duni ama Mbumbumbu. Uteuzi wa Kagurumujuli, kada wa CCM aliyesababisha mauaji...
16 Reactions
89 Replies
8K Views
Ukimtegemea Kikwete akae Msoga wewe utakuwa humjui Kikwete After retiring from distinguished public service career, both in the Tanzanian government and subsequently in international and regional...
8 Reactions
52 Replies
4K Views
Kila cku www unajifanya kukosoa serikali, kila anachokifanya Rais wa nchi wewe huachi kutoa maoni, maoni yako watu wa chadema wanayopost kila mahali hadi chooni. Kuna mlevi mmoja anaitwa Lissu...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
ukata wa fedha, sera na mikakati mibovu isiyo na tija ya kuwaunganisha wanachama wao imekua ni chanzo cha kuzorota kwa hamasa katika harakati zao mitandaoni na mtaani. maandamano yamekosa mvuto...
2 Reactions
26 Replies
703 Views
Dr. Ibrahim Msabah(72) amefariki muda mfupi uliopita Muhimbili alipopelekwa baada ya kuzidiwa nyumbani kwake, Masaki Dar es Salaam. Katika uhai wake, Msabaha alishawahi kuongoza wizara ya nishati...
8 Reactions
160 Replies
15K Views
NHIF Waongeza gharama za Bima ya Afya kwa Watoto, sasa kulipa Tsh. 120,000/= badala ya Tsh. 50,400/= NHIF Yasajili Wanafunzi 342,933 Bima ya Afya Waziri Ummy: Toto Afya Kadi haijafutwa ila sasa...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Maharage Chande amesema mjadala umefikia mwisho kuwa Zanzibar isamehewe deni ili waanze upya kwa “tariff” mpya pia. Kwa taarifa za ndani za uhakika ni kuwa maagizo...
32 Reactions
153 Replies
12K Views
Huyu Mwamba aisee amenishangaza. Ame niprove wrong, sikuwa na mwamini kivile. Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Chini ya Dr Hussein Mwinyi mtoto wa Hayati Alihasani Mwinyi uongozi wake...
3 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom