Umejengwa utamaduni wa ajabu kwa kutoa Sifa kwa viongozi wa kisiasa wanaposimamia utekelezwaji wa miradi ya kitaifa, na kusahaulika Mwananchi ambaye ndiye aliyemwaga jasho kutafuta pesa na kuipa...
Kada wa CCM na Mwandishi nguli wa Habari Maulid Kitenge amesema Makada ndani ya CCM wanataka wale wote Waliotaka kuzuia Urais wa Dkt. Samia Wabanwe
Kitenge amesema Makada hao hawajafafanua...
Changamoto zilizokua zimeibuliwa na wanainchi na kubebwa na upinzani kama agenda, zimetatuliwa sawa sawia na serikali ya awamu ya 6 ya CCM.
Kiu, matamanio na matarajio ya waTz yamefikiwa na...
Hivi hawa mawaziri wana vyeti vya form four?
Sijaulizia Degrees, Master's au PhD.
Mtu yeyote angalau mwenye cheti cha kidato cha nne lazima ajitambue, hawezi kuishi kwa kutegemea bahati.
Kila...
Na Mwandishi Wetu
NI miaka kadhaa imepita kutoka majadiliano ya uchakataji wa gesi nchini Tanzania yaanze. Mara kadhaa majadiliano hayo yamesitishwa kutokana na makampuni ya kimataifa ya nishati...
Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar...
Makosa ya 2015 na 2020 kupata wabunge bila Kupingwa yasijirudie tena, kuna haja ya kupata wabunge waliopita kwa jasho ili wakifika bungeni wafanye Kazi sio ndio ndio zinakuwa nyingi baadae...
Kwasisi tulikuwa ndani ya siasa za 2015 ni kwamba Makonda, Gambo, Nape n.k walikuwa kundi la Marehemu Mzee Membe chini ya mwamvuli wa aliyekuwa Rais wa awamu ya nne Mh. JK. Hata Mama Samia hakuwa...
Siyo kila kiongozi ana akili. Siyo kila kiongozi ana busara. Siyo kila kiongozi ni mwadilifu.
Kiongozi anaweza kuwa mwenye akili, hekima na mwadilifu. Pia mnaweza kuwa na kiongozi mwongo, hana...
Ni siku mbili sasa Senegal wamepata Rais wao mpya Tena wanauempenda kijana mbichi kama gimbi kutoka morogoro Mhe Faye.
Alikuwa katika selo za gereza kuu mjini Dacar kama mfungwa wa kisiasa chini...
Ukiacha African Brotherhood,Samia alikuwa ndio mgeni mashuhuri kwenye Mkutano wa Kilimo wa Afrika Mjini Dakar.
===
I am conveying my sincere congratulations to His Excellency Bassirou Diomaye...
Gazeti la Mwananchi la 31 Oktoba 2022 liliripoti habari ya kupatikana mwekezaji mpya wa kuendesha mabasi ya mwendokasi (DART), Kampuni ya Emirates National Group kutoka Falme za Kiarabu.
Taarifa...
Leo 25/03/2024 Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ameonekana kwao Hai, Mkoani Kilimanjaro, ambako amehutubia mkutano kabambe wa Hadhara kwenye eneo la SHOW VIEW kata ya Bomang'ombe .
Hali ndio...
Sheria hii inabainisha muundo, majukumu, utaratibu wa upatikanaji wa Wajumbe wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na sifa za Mkurugenzi wa Uchaguzi, kuweka utaratibu wa uendeshaji wa vikao vya Tume...
Kuna vituko huko mikoani.
Kuna wakuu wa wilaya na Mikoa hawajulikani Wana sifa zipi na elimu zao, kulingana na ujuzi wao kupewa nafasi hizo muhimu.
Ninashauri Katiba mpya kuwepo kifungu cha...
Hii ni Sheria ya Mabadiliko ya Masuala mbalimbali yanayohusu Vyama vya Siasa ya Mwaka 2024.
Vipengele vilivyoorodheshwa katika Sehemu mbalimbali za Sheria hii vinabadilishwa kama ilivyoorodheshwa...
MBOWE ADHARIRIKA HAI, WANANCHI WAMKIMBIA UWANJANI
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe aliyekaa kwenye Ubunge kwa miaka 20 tangu mwaka 2000 akiwakilisha Jimbo...
Sonko, Faye na wengi wengine wametokea magerezani vitani dhidi ya watawala:
Vita dhidi ya watawala haviwezi kuwa vya maelewano.
CCM yupi ataridhiana na nani ili kwamba atoke madarakani?
Labda...
Hii ndio mifumo bora ya kuendesha mradi wa mabasi yaendayo haraka kwa ufanisi mkubwa na faida kubwa
Watanzania na serikali wanatamani sana kuona mradi wa mabasi yaendayo haraka unafanya kazi kwa...
Mwendokasi sasa hivi inaendeshwa kwa hasara tena hasara kubwa, yamkini hata vipuri au mafuta yanatikana na mkono wa serikali.
Zipo sababu lukuki kwa nini shirika kama Udart kuendeshwa kwa hasara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.