Pale unapotokea msiba wapo ambao viongozi utoa pole kupitia mitandao ya kijamii, ipo misiba Mhe Rais utumia barua ya Ikulu nk
Napenda kufahamu ili Mhe Rais atoe pole kwa kupitia akaunti yake ya...
Ni ushauri tu kwa Wanahabari nguli kama Pascal Mayalla na Aloyce Nyanda, nk, wakachukua ombi la Tanzania huko Umoja wa Africa kama ni fursa itakayoanzia hapa nyumbani.
Midahalo inasaidia sana...
Ukweli ni kuwa Nyerere alikuwa na maono, aliweza kujua nani kiongozi ambaye atatumikia wanyonge kwa manufaa ya taifa. Na nani atakuwa mpigaji.
Wapigaji wanajulikana. Mfano Jakaya alipokuwa...
Tumesikia namna Rais anavyolalamika kuhusu ufisadi sehemu mbalimbali. Hata PM Majaliwa naye tulimsikia last week akiwa ziaranya mkoa wa Mara.
Nauliza DPP, IGP, DG-TISS na DG TAKUKURU mnasubiri...
Mapendekezo ya bajeti kwa mwaka wa Fedha unaokuja 2024/2025 ni kuwa bajeti ya Matumizi ya Kawaida kufikia ukomo wa Shilingi tilioni 33 na bajeti ya Maendeleo kufikia ukomo wa tilioni 15.
Sababu...
Kipindi Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) kinamuunga mkono na kumuita Mgombea wake wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Queen Cuthbert Sendiga akitambulika pia kwa...
Salaam sana
Tunaandaa vipindi vya TV na Radio vya DSE. Kwa niaba ya Soko la Hisa la DSM DSE, napenda kutoa mualiko kwa watu wachache hasa Wajasiliamali wadogo na wa kati (Small and Medium...
Yaani katika kitu ambacho nawashauri vijana ni kutokuwa na utamaduni wa woga ambao umekuwa utamaduni wa Watanzania wengi.
Ukiangalia vizuri kibinafsi na hata vyama vyovyote. Ukubwa wa vyama na...
Tangu CHADEMA ianze kupokea ruzuku, imepata zaidi ya bilioni 300, lakini imewachukua miaka 30 kupata jengo la ofisi la ghorofa moja.
Je, wakikabidhiwa nchi, wataweza kujenga miradi mikubwa...
Ndugu watanzania ,nimekuwa nafuatilia kwa muda siasa za hiki chama cha chadema kwa muda sasa.Itoshe kusema kuwa haka katasisi kanao baadhi ya wafuasi wanaojitambua walao kwa kiasi kidogo...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), Machi 13, 2024 ameongoza waombolezaji kuaga Mwili wa Marehemu Meja Jenerali Christopher Keraryo Gimonge (Mstaafu)...
Nipo Newala Mjini wiki ya pili sasa hali ya umeme ni mbaya kupita kiasi.
Tangu nimefika na sasa shida imezidi wiki iliyopita umeme ulikua unawaka kati ya masaa 4-6 kwa siku.
Wiki hii Jumatatu...
Waziri Mhagama: Wanambinga Mhalule Chagueni Viongozi Wawajibikaji
Serikali kupitia Halmashauri ya wilaya ya Songea Vijijini yaahidi kushughulikia na kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ardhi katika...
Hongera na pongezi nyingi ziende Kwa Rais wa nchi yetu Mhe.Samia Suluhu Kwa kukubali kutangaza utalii kupitia filamu ya "THE ROYAL TOUR". Mengi ya kukatisha tamaa yalisemwa kabla ya matokeo ya...
MBUNGE wa Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi, amesema ahadi ambazo aliwahidi wananchi kipindi cha uchaguzi Mkuu 2020 nyingi amezitekeleza na kuwaletea maendeleo wananchi wa Shinyanga.
Katambi...
Asubuhi hii nasikiliza taarifa ya habari, nasikia Zanzibar nako serikali ya huko imetangaza Bei Elekezi kwa sukari!
Nafika ofisini mapema n inabidi nijiulize kwa makini.
Nini maana ya bei...
Eeh ndio hivyo ,wanasema atasifiwa akiwa hai sio kuleta unafiki akiwa kaburini na hawezi kusikia.
Kazi iendelee
===
Alivyoulizwa na Mtangazaji wa Wasafi kuhusu Rais Samia kustahili kuitwa mama...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mh Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika...
Tuwe wakweli awamu ya 4 Sare za mbogamboga zilikuwa hazivaliki lakini awamu ya 5 zikawa zinagombewa
Nakumbuka Mzee Mgaya alijichanganya na Sare zake pale kimara inaponyweka mbege kilichomkuta...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, imeishauri Serikali kuagiza magari yenye mfumo wa gesi ambao una gharama nafuu, hali itakayosaidia kupunguza gharama za mafuta kutokana na uwepo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.