Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
Sakata la bandari limeibua yote nyuma ya mipango ya rais na waarabu. Bandari waarabu, Ngorongoro waarabu, na BBT ya bashe waarabu. Wakati tunapinga mipango ya Bashe kwa kuacha mipango ya wizara...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Na. Farida Ramadhani na Joseph Mahumi, WF, Dar es Salaam Tanzania na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) zimesaini mikataba miwili yenye thamani ya zaidi dola za Marekani milioni 158.1 (shilingi...
0 Reactions
0 Replies
400 Views
Tufahamishane kwamba, ni kweli takribani nusu ya wanafunzi wa SUA wameshindwa kuhitimu ktk mahafali ya mwezi Novemba 2023 kama ilivyo kawaida ya miaka yote, na wanatakiwa kurudia mitihani baada ya...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika (MISA TAN) imeeleza kusikitishwa na kuhuzunishwa na tukio lilotokea mnamo February 19, 2024 la kufukuzwa kwa waandishi wa habari mkoani Simiyu katika...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi kuipandisha hadhi barabara ya Tanga - Kilosa - Mikumi - Lupembe kuwa barabara kuu 'Trunk Road' ili kuinua uchumi...
0 Reactions
1 Replies
804 Views
Wakati kilio cha mgawo wa maji na umeme, na uhaba wa sukari kikiendelea nchini, Rais mstaafu Jakaya Kikwete, amemtaka Rais Samia Suluhu Hassan kuendelea kuwa imara anapoendelea kutafuta suluhisho...
4 Reactions
60 Replies
5K Views
Ujio wa Naibu waziri Mkuu ulifahamika Mapema Maandamano ya Chadema yalifahamika Mapema Sasa hii changamoto ya kuwakutanisha barabarani imetokeaje? Nimeshangaa Sana 🐼
12 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari za wakati; Hivi majuzi nilikutana na bandiko la TRA ambalo walikuwa wanaalika watanzania kutoa maoni kuhusu mifumo yetu ya KODI.Bandiko lile pamoja na kwamba lilikuwa halali la TRA lakini...
0 Reactions
2 Replies
554 Views
Wafanyabiashara wa Tanzania , hasa wale wanaouza sukari ni kama Watumwa wa serikali , ni watu ambao wamekubali pia kuwa Watumwa , haijulikani sababu hasa ya wao kukubali kuwa mbuzi wa Kafara...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa CCM, chini ya Mwenyekiti wake, ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Nyakati za Uchaguzi zimekuwa chanzo cha mlipuko wa habari nyingi potofu. Makundi mbalimbali yamekuwa yakipotosha kwa makusudi ili kuwadunisha au kuwanufaisha Wagombea na Vyama vya Siasa...
0 Reactions
0 Replies
527 Views
CHADEMA kuweni wepesi wa kunusa na kujua ishu rahisi ambazo ni kero kwa wananchi na mzitumie ipasavyo ku - instigate hasira kwa wananchi ili waichukie na waingushe serikali hii haramu kupitia...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
Bila shaka tasnia ya sheria sasa itakaa kwenye mstari, Mwanasheria Mkuu hataki ubabaishaji. Sasa huu ndio utawala wa sheria tunaoutaka.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kupitia Ukurasa wake wa X Waziri Bashe amefafanua kauli yake kulingana na alivyonukuriwa jana na vyombo vya habari Waziri amesema Mwezi unaokuja kutakuwa na Sukari ya kutosha Jumaa Mubarak 😀
0 Reactions
9 Replies
861 Views
Inaonekana kuwa mtoto wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ametukanwa na watu wengi baada ya kuzinduliwa Sanamu la hayati Nyerere huko Ethiopia, Makao Makuu ya Umoja wa Afrika...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni safari ya pili sasa Cheo cha Naibu Waziri Mkuu kinatumika ktk Baraza la Mawaziri. Mara ya kwanza ilikuwa wakati wa Utawala wa Awamu ya PILI Rais Ally Hassani Mwinyi alimteua Hayati Augustino...
4 Reactions
13 Replies
863 Views
Nimependa Hii Falsafa ya Katibu mkuu wa CCM Kwamba anapenda Wasema kweli, anapenda Wachapakazi na anapenda Wazalendo Kwa kifupi Hii inaitwa Kweli, Kazi na Uzalendo ( KKU) Kwenye Kweli yupo Mungu...
3 Reactions
17 Replies
792 Views
Mzee wetu na Baba/ Babu wa Watanzania wengi Dr. Ali Hassan Mwinyi tulitangaziwa ya kwamba yu mgonjwa, na akakimbizwa hospitali kwa matibabu ya kifua. Tangu tumetangaziwa hivyo hatujapata mrejesho...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Salaam, Shalom!! SHERIA zetu ziko wazi kuwa, miaka sitini ni umri wa kustaafu, inaaminika baada ya miaka 60, uwezo na nguvu za kufanya KAZI Huwa unakuwa umefika KIKOMO na kuanza kupungua...
2 Reactions
24 Replies
764 Views
Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora amewakumbusha viongozi na CCM -Halmashauri ya Chalinze kuwapa kipaumbele Mabalozi katika kazi za kila...
1 Reactions
8 Replies
517 Views
Back
Top Bottom