Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!
MGOMBEA ubunge wa jimbo la Mbeya Mjini kwa tiketi ya Chadema, Joseph Mbilinyi amewaahidi wananchi wa Mbeya kuwa endapo atachaguliwa kuwa mbunge atahakikisha serikali inaweka bandari ya nchi kavu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Baada ya masha kumdhalilisha kikwete kuhusu uraia wa bashe, spika sita naye ameongeza zaidi.amedai kuwa dr.slaa ni saizi yake,wawe na mdahalo na wamuache kikwete afanye kampeni tu. Tunajua...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
CCM wavamia mkutano wa Dk Slaa Friday, 17 September 2010 07:31 0diggsdigg Katibu mkuu wa CCM Mr Yusuf Makamba Tumaini Msowoya, Iringa na Boniface Meena, Bariadi WAFUASI wa CCM jana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Napenda kuushauri uongozi wa CHADEMA watenge kama shilingi milioni 12 na kuweka matangazo yasiozidi dakika moja kwenye redio angalau tatu. Matangazo hayo kwa kila redio yatangazwe angalau mara nne...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau ule ushirika wa Zitto na Kafulila katika kampeni uko vipi huko Kigoma??? Coz ilivuma sana katika media then, but naona imekuwa kimya sana. Mwenye taarifa na atujuze kinachoendelea eti...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
swali ili limekwisha jibiwa na mwasisi wa Taifa letu Mwalimu Jk Nyelele akihutubia mkoani Mbeya. lkn kwa kuongezea, mtu yule anayeumizwa na umaskini na maendeleo duni ya watanzania, yule...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika mchakato huu wa uchaguzi, mgombe wa chama cha mapinduzi amesikika akitoa ahadi kemkem, kule atawapa meli, wengine maji ya kudumu na kadhalika. Kinachonishangaza ni kwamba utekelezaji wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Na Ezekiel Kamwaga - Imechapwa Ilani ya CCM inadanganya 15 September 2010 ILANI ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2010 imesheheni takwimu zinazokinzana, imegundulika. Katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nikisikia minong'ono ya chini chini ambayo sasa imeanza kupazwa sauti na wagombea wa CCM kuwa ahadi za mgombea urais wa Chadema, Dr W Slaa, ni za uongo na hazitekelezeki. Kuna watu ambao...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwa hisani ya Tanzania Daima: Kikwete amsambaratisha Mrema • Avunja ngome yake, azoa wanachama na Tamali Vullu, Moshi MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ingelikua nimeambiwa, wala singediriki kuyasema haya, lakini kumbe ni uongo? Kwanza, JK ametamka jana kwenye kampeni mkoani Kilimanjaro kwamba Serikali imefanikiwa kuwapeleka watumishi 47 wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau tafadhali naomba nielimishwe!kwenye uchaguzi mwaka huu nimeona mengi mapya ambayo hayakuwepo miaka ya nyuma.....mfano utakuta baadhi ya viongozi wakubwa wa wilaya na mikoa wanawapokea vema...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hawa ni baadhi tu ya wabunge wa CHADEMA ambao wanasubiri kuapishwa.... a)Matilda komu b)Halima Mdee C)John Mnyika d)zitto Kabwe e)Ndessa pesa f)Tindu Lissu Mwita Mwikabe Mboye........na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tufike mahali watanzania tujifunze nakuelewa kati ya nyaraka za siri za serikali, na nyaraka za siri za uwovu wa serikali ambazo kila mtanzania anapaswa kuzijuwa na hakuna sheria inayo ilinda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Zamani, mababu zetu kabla ya kwenda kuposa, walikuwa wanafanya uchunguzi wa binti, familia yake na tabia zake. cha msingi walikuwa wanaangalia kama kwao huko kuna matatizo ya wizi wizi ,umbeya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama nimfatiliaji wa mambo unaweza kujua kwa undani ni nini hasa kilichofanya taifa la Zimbabwe wakati huo likiitwa 'kapu la Africa' likisambaratika na kuwafanya wanachi wake waikimbie nchi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kumekuwa na mtizamo kuwa viongozi wengi ni waadilifu. Taarifa niliyopata muda huu ni kuwa anayegombea Ubunge jimbo la Ngara ni FATAKI. Je hii inakubalika? Soma kiambatanisho (attachment) na karibu...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Dharau inayoonyeshwa na mgombea wa CCM Jakaya Kikwete kuendelea kutoa ahadi zaidi ilhali nyingi ya alizotoa mwaka 2005 hazijatimizwa,sasa imehamia kwa mkewe.Katika ukurasa wake wa Twitter...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Nimeona kwenye blog moja juu ya kahasheki kuzindua kampeini lakini kikubwa katika blog hiyo inaoneshwa uwepo wa Bw Prince Bagenda katika uzinduzi ambapo wasiwasi ni kutojua sababu za uwepo wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kitendo cha CCM kuwakataza wagombea wake kushiriki ktk midahalo ya kisiasa ambayo inatoa fursa kwa wagombea kuongea na wananchi moja kwa moja ni kitendo cha kutokujiamini, udicteta na ukandamizaji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom