Mtanzania yeyote Mzalendo wa kweli, mwenye akili timamu, asiye na
mtindio wa ubongo, wala mtumwa wa hila chafu, wala udumavu wa kiakili,
tena asiye na utando wa buibui wala tongotongo za ufisadi...
Sunday, 5 September 2010
Slaa anachumbia mtalaka na huyu wa Kikwete ni nini?
Bila shaka watanzania wengi wanajua kuwa Rais wao aliyemaliza muda wake Jakaya Kikwete kuanzia alivyokuwaMakongo...
Wadau wa JF,Poleni na majukumuu ya kuleta mapinduzi ya kifikra katika jamii.
Nimeona nami niwashilikishe hili japa bado mi mchanga katika siasa lakin kuna jambo nikifikiria linaniuma na ningependa...
kutokana na wananchi wa nzega kutokubaliana na kuenguliwa kwa mgombea wao aliyeongoza kura za maoni. mgombea waliompitisha Dr Hamisi Kigwangala ameshindwa kuanza kampeni hadi sasa kutokana na...
Ushabiki wa vyama hauna maana ndugu zangu.tufungue macho yetu, masikio yetu na akili zetu tuangalie mambo ya msingi yanayogusa taifa letu kwa ujumla wake.
Angalia rasilimali zilizoko nchini...
Wakati wa uhai wa Baba wa taifa JK Nyerere RIP kulikuwa na uvumi kuwa na maziwa ndani ya kibuyu ambayo yalikuwa hayagandi. Kwa namna hiyo hiyo nasikia kuna mtu kashikilia kibatari cha Kikwete na...
Vi "nzi" vilivyotangulia mitaa ya Buzwagi machimbo ambayo yalichangia kuipa chati na Zitto Kabwe ujiko wa pekee katika siasa za Tanzania vinadokeza kuwa wananchi wa huko wanasubiri kwa hamu...
Mimi na familia yangu ni wanachama hai wa CCM,tumekiri na kuamini ilani ya chama, lakini kwa haya niyaonayo Ndg kikwete si chaguo letu na kura zote Dr slaa atapewa. Chama kilifanya maamuzi mabovu...
Wana JF Habarini za mchana.
Nahitaji msaada wa ufafanuzi kidogo kwenye swala zima la wagomea waliopita bila ya kupingwa ambao ni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kutakuwa na modality gani...
Rais J K Kikwete hakua chaguo la Watanzania au kipenzi cha Watanzania wakati wa kuchaguliwa kwake 2005 bali alikua chaguo la MAFISADI Kama angelikua Kipenzi au Mwenyesifa na mvuto wa kuongoza...
CHADEMA REACTION: Tendwa missed these 4 points
By Frank Kimboy,
THE CITIZEN
Chadema yesterday accused the Registrar of Political Parties of being unfair in his handling of the...
source: Tanzania Daima
na Mwandishi wetu, Meatu
MGOMBEA urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema kamwe hafanyi jambo lolote kwa kukurupuka.
Dk. Slaa...
Kama ni kosa la kiufundi walilofanya CCM ni kumteua kada wao na mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Abdulrahman Kinana kuwa msemaji mkuu wa kampeni ya Kikwete.
Post hiyo muhimu ilitakiwa ijazwe na mtu...
Kutoka Katika Ilani ya Chama Cha Mapinduzi 2010-2015
"Idadi ya wanafunzi wa shule za msingi imeongezeka kutoka milioni tatu na nusu mwaka 1995 na kufikia zaidi ya milioni saba na nusu mwaka...
Wadau Nadhani ni wengi hawajaridhika na majibu ya hii timu ya uchaguzi. Kuna mambo mengine hayahitaji uwe umesoma sheria ili uelewe kipengele cha sheria kina maaniasha nini?
La labda sielewe...
Wana-JFNimeipata hii mpya leo. Eti ukiwa na gari lako hapa jijini, ukabandika picha ya JK (ile yake ya smiling face yenye maandishi Chagua Kikwete Chagua CCM) hawa manjagu wetu hawatakupiga bao ...
Leo wakati nakuja, nilikuwa napitia kumbukumbu za Bunge lililomalizika, nikaona hiyo ahadi ya Kikwete ya kununua Bajaj, ilikuwa kwenye kumbukumbu za Bunge wakati akihutubia Bunge mjini Dodoma...
Haya ndiyo hapo sasa.
Wengine wametaka maneno:
Nipe kalamu nishike, hoja zangu niandike,
Nipe nami nisikikike, walimwengu wapilike,
Mnipe niliandike, na hili lifahamike,
Mke kukimbia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.