CHADEMAs leadership is contemplating whether or not to field a candidate to contest a Parliamentary Seat in Mlele constituency , which Prime Minister Mizengo Pinda passed unopposed on CCM ticket...
Umaana wa kuwa na wagombea huru/binafsi ndio unaonekana sasa. Wengine tulipopiga kelele watu wakatuona kama "hamnazo". Sasa waliokaa kimya wanatamani kubebwa wakati kama kungekuwa na wagombea...
Habari zilizonifikia punde zimesema kuwa rafiki mkubwa wa MH. waziri mkuu mstahafu EL, Mheshimiwa Pelo amepatikana na kashfa ya kuleta mganga wa kienyeji toka mkoa wa Manyara na amekamatwa usiku...
Wana JF nimehaha kutafuta Ilani za Uchaguzi za vyama vya siasa bila mafanikio nilienda CCM nikaambiwa zinauzwa lakini mara bado mara anayeuza hayupo..nikatia timu CHADEMA nikaambiwa hazijatoka mtu...
Nionavyo ni kuwa wanafunzi wengi wamejiandikisha kupiga kura katika vituo vilivyo karibu na vyuoni kwao. Kitendo cha kufungua vyuo vya elimu ya juu baada ya uchaguzi hakutawanyima wanafunzi haki...
Nilishatoa kwenye jf nia yangu ya kugombea ubunge kwa tiketi ya chadema mnamo may 2010, sasa baada ya kura za maoni kupigwa pale jimbo la lushoto mjini na shekifu kuibuka kidedea sasa naona njia...
Hebu wana JF anayejua japo anijuze!
Tatizo hili la kugawa mikoa na wilaya ni kwa manufaa ya nani au ni ongezeko la watu ktk hayo maeneo kama ndivyo mbona DAR hizo mikoa hazina wakuu wa kila...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM wa Mkoa wa Iringa ambaye pia ni Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu John kilichoko Dodoma, Fadhili Ngajilo (32) amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za...
tangu Jumatano wiki iliopita nilikua Jijini Dar es salaam, na nikapata bahati ya kutembelea pale Ofisi za Habari Maelezo mtaa wa Samora, kilichonishangaza ni ule Ubao wa matangazo kujaa picha za...
Ndg zangu wana JF, Tangu nimezaliwa sijawahi hata kuwa monitor darasani lakini katika mshangao jana wakati natoka kazini nilikuta kamati ya wazee nyumbani ikinisubiri kunipa gud news kuwa...
Wana JF,
Ninapenda kusema haya machache tuu kwa wafanyakazi wa TAKUKURU, Kuwa hii kazi yao waliyoifanya kipindi cha kura za maoni naona waliishindwa 100% kwanini,
Ntaanza na maswali machache...
Naona kata za KARIAKOO watakuwa wanaongoza kwa kufanyiwa uhuni kura za maoni
na natabiri hawa watakuwa wanaongoza kwenye kuzirejesha kadi za CCM
Ya nini kwenda mbai? Tafuteni chimbuko la DR...
Chanzo cha Habari hii ni Gazeti la Tanzania Daima;13 August 2010
walidai inaonyesha wazi kuwa chama kimekuwa na tabia ya kumbeba Chiligati kwa kuwa anayo nafasi kubwa katika chama hicho jambo...
Link hii inaonyesha Shein na Bilal wakipita kwenye mitaa ya Zanzibar na Pemba
"http://www.youtube.com/v/fw3L02j_lGM"
Link hii inaonyesha Kikwete na Makamba wakimtaja kwa jina mgombea fulani...
Chini na juu tano barabara kujenga nimeamua magumu yamakuwa mambo kuona ya baada Juha mzee. chini na juu barabara nitajenga umepaa uchumi unasema matongotongo kutoa ya kabla asubuhi unaamka mtu...
Was it not only yesterday that we couldn't open our mouths without endangering our lives? I recall vividly my life as a liberal, beer-drinking undergraduate who would be lovingly cautioned by...
Binafsi kauli ya TUCTA sioni kama inaniwakilisha mie km mfanyakazi wa Umma. Kiuhalisia katika mambo ambayo nilitarajia TUCTA ifanye si la kunishawishi nani awe kiongozi wangu bali kutetea maslahi...
Ingawa uchaguzi wa kura za maoni CCM umeshafanyika na mbunge anayeshikilia kiti hicho ndugu Abdulkarim Sha au BULJI alimshinda OMAR KIMBAU lakini katika kuonyesha kutoridhishwa kwa maamuzi ya...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam Juma Simba Gadafi (mwenye baraghashia kichwani) akijaribu kuwatuliza wana CCM kutoka Kata ya Mchikichini Ilala na Miburani Temeke...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.