Ame-hint Pinda leo wakati akihitimisha bajeti yake. Mmoja utaitwa Njoluma, utahusisha wilaya za Njombe, Ludewa na Makete. Mwingine ni Simiu utakaogawanywa kutoka Shinyanga na mkoa wa Geita.
Pia...
Ukitaka kujua tofauti ya kimitazamo hasa kuhusu siasa na uendeshaji wa serikali yetu basi tazama bunge. Bado bajeti za mawizara zinaendelea kujadiliwa huko. Juzi msemaji wa kambi ya upinzani...
MCHAKATO wa ubunge wa Viti Maalum jimbo la Segerea kupitia Chama cha Wananchi (CUF), juzi uliingia dosari baada msimamizi wa uchaguzi huo kutoweka na masanduku ya kupigia kura huku baadhi ya...
Wana JF,
Ni muda mrefu kidogo sijawa na mawsiliano na mtandao huu hii ni kutokana na shughuli nzito ya kuvuna mpunga inayonikabili hapa tongi (Nzega) nimeamua kuandika hili ili basi tuendelee...
Mozambique drug network includes SA: US
June 10 2010 at 12:02PM Get IOL on your
A Mozambican businessman designated a druglord by the United States trafficked drugs to South Africa among...
Jamani yule mgombea wa Chadema Finias Magesa yupo wapi?
Mwaka jana aligombea kwenye jimbo la Busanda na kushindwa vibaya sana, amekuwa kimya sana na sijasikia kama anampango wa kurudi tena Busanda...
Marmo amebariki kampeni ya nyumba hadi nyumba lakini hajatufafanulia kuhusu kukusanya habari za wapiga kura nyumba hadi nyumba hasa zinazofanywa na chama tawala.
Kabla ya kupiga kura kuna chama...
Nimeifuma habari hii ya kutisha kuhusu aina ya siasa zinazofanyika katika jimbo la Moshi mjini mkoani Kilimanjaro.
Wastaarabu someni TAMKO hili la Katibu wa CHADEMA mkoa wa Kilimanjaro na...
Ndugu zangu hebu ioneni hii na baadae mhipatie jibu!
Sitta amlaumu Mkulo kuchelewesha fedha Send to a friend Friday, 18 June 2010 09:31 0diggsdigg
Salim Said
SPIKA wa Bunge, Samuel Sitta...
Nina mawazo mchanganyiko jinsi tunavyoimba wimbo wetu wa Taifa,Mimi nikiwa shule nilifundishwa kuimba nikiwa wima mguu sawa kifua na macho mbele mita mia moja(Sijui maana yake...
Lowassa amhujumu Mwandosya
Na Saed Kubenea
NYARAKA za siri zinazoonyesha mpango wa kumtokomeza kisiasa Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Mark Mwandosya zimevuja.
MwanaHALISI limepata...
Jamani wapendwa wana JF wenzangu, Nimedata? within one month 3 cars within predent's office related to him straight have been involved in scandals of tyres and dirty fuel. Who is iresponsible to...
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
UKUMBI mpya wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, unaotumika kwa shughuli za Bunge utavunjwa na kusukwa upya ili kuruhusu utengenezaji wa viti vya kisasa vitakavyofungwa...
Ndugu John Mnyika,naandika barua hii kuwakilisha mawazo na vilio vya wana Ubungo kuhusu matatizo ya miundombinu hususani ubovu wa barabara zao.
Wana Ubungo wengi wamenituma niwasiliane nawe ili...
Yaani kila inachofanya CCM bwana Marmo anakibariki na kuwa ni Sehemu ya Maisha au Kanuni za Uchaguzi, kaaazi Kweli kweli
Marmo aruhusu vyama vya siasa kampeni ya nyumba kwa nyumba
Na Muhibu...
Kwa yeyote menye wasifu wa bwana Christopher Winea Mushi anayetaka ubunge jimbo la hai na ambae amechaguliwa kuwa kamanda wa vijana wilaya ya Hai please, ili tuweze kumfahamu kama anastahili...
Hodi hodi naingia, mara ya kwanza nachangia
roho yangu yafurahia , jamii forum kunukia
ila naumia kwa mada hii nachangia.
tunawaita wasomi, na macho yetu yapo kwao
tunajisisifu nao, kumbe...
Je watanzania wanapenda kudanganywa?
Je watanzania ni wavivu kweli wa kufikiri?
Je watanzania hawana uwezo wa tenganisha ukweli na uwongo?
Nimesukumwa na hasira kuleta maswali haya, baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.