Sitaki kusahau issue ya muhimu eti kisa Liyumba kaenda jela miaka miwili,hukumu gani hii inayohamasisha wizi wa mali za umma yaani ni nani ataogopa kuiba zaidi ya bilioni 200 kwa kwenda jela miaka...
Leo mahakama kuu ya kenya imetoa hukuma inayozipiga marufuku mahakama za kadhi huko kenya...katika kusoma wa kina nimevutiwa sana na maelezo ya chanzo cha kuwapo mahakama za kadhi ....
Inaelezwa...
RAIS mstaafu wa awamu ya pili, mzee Ali Hassani Mwinyi, maarufu kama Mzee Ruksa amesema kuwa hakuikandia serikali ya awamu ya nne wala kuihusisha na kukithiri kwa rushwa kwa kuwa rushwa ilianza...
Wadau, miaka 5 ya kwanza awamu ya Rais Kikwete iko ukingoni. Kila kiongozi hupimwa na mazuri na mabaya yake ili aweze kuaminiwa na kupewa kipindi kingine cha uchaguzi. Viongozi wa Taifa letu tangu...
KWELI MWAKA WA UCHAGUZI UNA MAMBO YAKE.
JANA NIMEMSIKIA NAPE AKIELEZA NIA YAKE YA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UBUNGO HUKU AKIMPIGA VIJEMBE SHAMSA, NAPE ANAKUWA MWANACCM WA TATU (SHAMSA, ALFRED...
1.dr slaa maji barabara vitongoji mpaka vijiji, 2, desamburu, mji kuwa msafi na wananchi kuwa na uelelwa wa mazingira yao, 3. wananfunzi wa masekondari kusoma buree kutokana na rasilimali za eneo...
Kule mtaa wa pili(Michuzi) kuna habari kuwa Liumba amepatikana na hatia na kuhukumiwa miaka 2 jela kwa matumizi mabaya ya ofisi. Wadau hii nayo imekaaje?
Kikwete atatembelea maeneo mbalimbali ya Dar kesho kuangalia matatizo ya maji yanayowakabili wananchi. Huu ni mwaka wa nne wa utawala wake na hatimaye amegundua Watu wa Dar wanamatatizo ya maji...
The heading of this topic is a very interesting phrase and speaks volumes about the attitude of Tanzanians as a whole. We keep making the same mistakes everyday and everyday we give it the same...
Dini plus Siasa = HAPANA
Siasa plus Dini = NDIYO
NILIKUWA nimekaa mbele ya Kompyuta yangu nikiharii safari ya Mheshimiwa hendisamu kule USA, nilipojiwa na jamaa yangu ambaye alikuja kunitaka...
MAHALI popote duniani ambapo ufisadi umeshamiri, basi, gharama yake halisi hulipwa na maskini na matajiri waadilifu.
Kwa kiasi kikubwa jamii ikikubali kuishi katika mfumo wa utawala wa...
ASKARI polisi na askari magereza hawataki kufanya maandamano na migomo kudai serikali iwasikilize na kuwalipa mishahara inayolingana na kazi yao. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Khamis Kagasheki...
And yet some guys think, tukiambiwa tumegubikwa na imani za kishirikina tunasingiziwa! Have a look on this one!
Saturday, 22 May 2010 13:00
NI WALIOKUTWA NA VIUNGO VYA BINADAMU,
MKUU WA...
KATIBU Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro, Hilda Gondwe anadaiwa kuomba auziwe kwa Sh6 milioni gari la serikali aina ya Toyota Landcruiser VX maarufu kama shangingi lililonunuliwa miaka mitatu...
Kaka William,
kama tulivyoongea kwa simu, nakutumia details za huyo dada aliyepotea utuwekee kwenye blog ya jamii, na pia uitume kwa jamii ya watanzania waliopo Los Angels.
Natanguliza shukrani...
Na Waandishi wetu, Mwanahalisi
RAIS Jakaya Kikwete yuko hatarini kubebeshwa kashfa mbili kubwa, MwanaHALISI limegundua.
Kashfa ya kwanza inahusu chaguo lake la Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana...
Jamani naona aibu, ati Rais anadai alikuwa anacheza kidali po na maaskofu na mashekhe kuhusu Takrima!
Ukisikia mtu mzima hovyo, ndiye huyu anayelishikilia kasia la kuiongoza Tanzania.
Yaani...
Kila mfanyabiashara atakiwa kutoa Sh. milioni 10
Lowassa aongoza kamati ya kutembeza ?bakuli?
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea "kuwakamua fedha" wafanyabiashara na wanachama wake mkoani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.