1: Canaco and Douglas Lake Add Morogoro Gold Prospect to Tanzanian Portfolio!
VANCOUVER, BRITISH COLUMBIA--(CCNMatthews - April 27, 2006) - Canaco Resources Inc. (TSX VENTURE:CAN - News) and...
Asiye na kitu alitishiwa kunyang'anywa kitu, na aliye na kitu aliambiwa atapewa kitu ambacho aliyemuahidi hana! Je asiye na kitu anaweza kunyang'anywa kitu?
ISSA YUSSUF,
There will be no by-election to fill the vacant Wawi constituency seat, the Zanzibar Electoral Commission (ZEC) director Mr Salum Ali said yesterday. Mr Ali spoke to the 'Daily News'...
Naomba kuuliza, ni kipi kilimsibu Salmin na kampeni yake ya kuongezewa muda kugombea Urais?
Maana naona yeye ni kiongozi wa pili kutoka Zanzibar ambaye aliishia "kudhibiiwa" na CCM!
KILA nchi na jamii inavyo vigezo vyake vinavyotambulisha ubora wa jamii hiyo na watu wake, ndani na nje ya nchi hiyo. Na Tanzania siyo tofauti katika ukweli huu.
Vigezo hivyo viko vingi na kwa...
Mseminari Liyumba ameachiwa huru punde na mahakama baada ya kujiridhisha kuwa charge waliyoileta mahakamani ni batili, lakini punde vijana wa Hosea wameshamchukua Liyumba na sasa hivi yuko PCCB...
NINASIKIA eti serikali ndio kwanza imeanza kuwatathmini viongozi wake. Au kwa maneno mengine watu wa serikalini watakuwa wanatathminiana. Sasa mimi kichwa kichaka lakini mwenye akili nadhani kama...
Habari zilizopatikana jioni hii (Jumatano, Mei 27, 2009) zinasema kwamba shemeji yake Dk. Shukuru Kawambwa, ambaye ndiye aliyekuwa msimamizi wa shamba la Dk. Kawambwa (Waziri wa Maendeleo ya...
Na. M. M. Mwanakijiji
Ukweli umebakia kuwa ukweli CCM bado inapendwa na kukubalika mijini na vijijini. Hili halina shaka. CCM kuweza kuendelea kutawala bado kupo kwa miongo kadhaa ijayo. Hilo...
Je ni nani hapo?
Anyway Mkutano utachukua viongozi kama 130 na naamini AFRICA itawakilishwa na nchi kadhaa ikiwemo Tanzania maana siku hizi tuko kila kona for reasons ambazo nadhani wote...
Mwinyi Sadallah
Zanzibar Chief Minister Shamsi Vuai Nahodha has said people who would like to know his position on his vying for the Isles presidency should wait until next January.
The chief...
Mafisadi waumbuka, sasa kuanikwa kwenye mtandao
Wednesday, May 27, 2009 11:20 AM
MBINU mpya imegundulika ya kuwataja mafisadi ili waweze kujulikana na na wataanikwa kwenye mtandao wa...
Nimesikia Tetesi kuwa Mkoa wa Dar Es Salaam utagawanywa sehemu mbili ili kurahisisha utawala na kuleta ufanisi.
Kutakuwa na Mkoa wa Dar Es Salaam bila Wilaya ya Ilala.
Kutakuwa na Mkoa wa...
Eventually Mrema declairs that "Presidency" is never a "big deal" with him anymore! And that he goes for the Parliamentary Races at Vunjo Constituency in 2010. This is exactly what Nyerere told...
Gazeti la Taifa letu la jana tarehe 22/05/2009 lilikuwa na kipande kifuatacho cha habari..
....Pia katika hali isiyokuwa ya kawaida, Mjumbe Halmashauri Kuu, John Komba aliwaambia waandishi...
Leo mheshimiwa Rostam kapokelewa kwa shangwe kubwa na msululu mrefu wa wapiga kura wake kwenye uwanja wa samora mjini Igunga,baskeli pikipiki pamoja na maelfu ya wakazi walijumuika kwenye mapokezi...
Ladies and Gentlemen, the president of URT - Hon Jakaya Kikwete.
Few minutes later.......
"Is it my eyes or your president appears to have more than five undershirts on?", asked Julie, a...
Kulingana na mfumo tuliorithi wa "Chama Kushika Hatamu" na katiba URT-1977[Kama ilivyofanyiwa mabadiliko] inayojivuta kuendena na mbio za mabadiliko Tanzania na dunia yote , watanzania wengi...
Kikwete pamoja na weakness zake ni lazima tukubaliane kwamba ana personality nzuri sana, kwa namna nyingine anaonekana kama president. Ingawa kikwete hana kipaji cha akili kama Obama au Mkapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.