FFU wamimina mabomu ya machozi Msafara wa Freeman Mbowe Busanda
2009-04-22 21:49:48
Na Joseph Mwendapole
Polisi wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), wamefyatua mabomu ya machozi...
Na Exuper Kachenje
VYAMA vya siasa vya CUF na Chadema vimeelezea wasi wasi wao kuhusu uwezo wa kiutendaji wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na kwamba havina imani nayo.
Hayo yalisemwa...
Katika hili, natofautiana na Kikwete
Godfrey Dilunga Aprili 22, 2009
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
INGAWA Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inampa mamlaka ya uteuzi Rais...
Heshima kwenu wanajamii.
Katika jitihada za kuongeza ufanisi sekta ya utumishi wa umma, nilikua napendekeza watumishi wote wa umma wapewe mikataba ya ajira inayomwezesha muajiri na wateja/wadau...
watu wengi wamekuwa wakijitahidi kuwachunguza wachumba watarajiwa na mwisho wa siku wanapomaliza kucheza ngoma wanakutana na mlima wa mawifi uliojaa theluji ya makimbizo;hapo ndipo imani uvumilivu...
OCS mbaroni kwa ujangili
na Charles Ndagulla, Arusha
MKUU wa Kituo cha Polisi (OCS) cha Loksale kilichopo Wilaya ya Monduli, mkoani hapa, Koplo Amani, amefikishwa katika mahakama...
Your Excellence JMK
President of the United Republic of Tanzania
Dar Es Salaam, Tanzania.
Your Excellence Mr. President
Shalom, As-Salāmu `Alaykum
Re:Saudis Request For 500,000...
Ndugu wanachama wa TYVA na washirika wakuu wa dira Tanzania, tarehe 26/04/2009i siku ya maalumu ya kuadhimisha sherehe za miaka 45 ya muungano wetu kati ya Tanganyika na Zanzibar uliozaa Tanzania...
MPs warned over documents
LEONARD MWAKALEBELA in Dodoma, 21st April 2009 @ 11:53,
DAILY NEWS
The government has warned Members of Parliament that their privileges and immunities that go...
Naona wameamua la maana.
Wagombea mwakani kubanwa kitaaluma
Baraza la Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) limepitisha uamuzi wa kuishirikisha Tume ya Uchaguzi Tanzania (NEC) kuhakiki vyeti vya...
Imetoka kwenye Gazeti la Ijumaa April 17-23, 2009.
Je, kuna vitu ambavyo magazeti hayawezi kuviandika bila kuwa graphic kama ilivyo kwenye makala hii?
Je, Serikali inatambua madhara ya...
Dear all.
Ninaomba uppdates kwa yeyote mwenye data kuhusu uchaguzi wa Africa ya kusini. Je mnatarajia tutajifunza nini kutoka uchaguzi wa Afrika ya Kusini?
Ndugu wana JF harakati za kumzuia mwananchi kupata taarifa kuhusu yanayoendelea ndani ya "serikali yake" zimepamba moto. Kwa upande wangu nafikiri inabidi tujaribu kutafuta maana ya serikali ili...
Ndugu zangu baada kutafakari kwa muda mrefu na pia kujipanga kiuchumi na kisera nachukua fursa hii kuwatangazia wanajamii wenzangu na watanzania kuwa nimefikia uamuzi wa kuingia rasmi katika...
Jamani, mipaka ya ziwa victoria watu wanataka kuifuta, ili kusiwe na mipaka kabisa. ziwa victoria linahitajika sana kwa uchumi wa kenya pamoja na kwamba wanamiliki asilimia 6% tu ya ziwa, ila wana...
Ni habari za kusikitisha ila nafikiri ni katika kuwekana sawa kwamba airline industry si ya kujaribu....kampuni ya precission leo hii imethibitika kufuta flt zake za mwanza na kilimanjaro...
Some South Africans are wary. One of them is Desmond Tutu, retired archbishop who voiced his anger and dissatisfaction regarding Zuma. On Zumas incompetence, Tutu warned: Although he is very...
Na Ndimara Tegambwage
MwanaHALISI~Maslahi ya Taifa Mbele
NI vilio vitupu. Baadhi ya wananchi wenye mifugo Wamasai, Wairaqw, Wabarbaig na Wasukuma wanawindwa kama swala. Wanaambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.