Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

WANAJAMII HEBU NAOMBA MUISOME HII MAKALA KWA MAKINI,i believe mtagrasp kitu fulani.Naona kweli moto wa mabadiliko umewaka SOURCE:RAIA MWEMA! KATIKA moja ya mambo ambayo hayahitaji utafiti...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ufisadi hadi kwenye vyombo vya habari? Lula wa Ndali-Mwananzela Aprili 15, 2009 Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo NAOMBA leo nisizungumzie mambo ya siasa kwa kadiri tunavyoziona siku...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nimepokea picha hizi toka Bukoba na kuambiwa kwamba Lwakatare amefika Bukoba na kulakiwa na umati mkubwa wa wafuasi wake pale uwanja wa ndege na kufanya maandamano makubwa ya kumpongeza na...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Waziri Mkuu Mizengo Pinda katangaza rasmi makao makuu ya wilaya ya Rorya kuwa INGRII JUU Tarafa ya Girango anapotokea aliyekuwa waziri wa ulinzi na mbunge wa Rorya Mzee phielemon ologi sarungi...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Tanzanian `spy` killed in Sudan: Described as `revenge` strike for slain member of rebel movement THISDAY REPORTER Dar es Salaam A TANZANIAN national is reported to have been murdered...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Heshima Mbele, Jana nilikuwa naongea na mpwa wangu kuhusuiana na mipango yake ya shule hasa ya chuo kikuu anakosoma,katika maelezo yake alilaumu jinsi ya ufundishaji katika vyuo,mpwa wangu...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Mheshimiwa Waziri mkuu, Awali ya yote naomba kukupongeza kwa hatua yako ya kuzungumzia suala la DECI,na kuonehsa jinsi suala hilolilivyo la kihalifu,Umefanya vyema sana kwa kuwa kwa baadaye...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Demokrasia imeweka wazi kwamba mtu anahaki ya kugombea au kuchaguliwa. Kugombea ndani ya CCM ni haki ya kila mwanachama kwa hiyo na katiba yao imeweka bayana. Let them leave democracy to take its...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Submarines za Uingereza, Marekani, Urusi, India, Uchina na NATO ziko wapi ? Mbona hazipangiwi zamu pale Somalia ili kumaliza mzizi wa fitina wa wateka nyara meli au mapairetii ? Hivi ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, leo amekutana kwa saa kadhaa na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari. Amelonga mambo kadhaa muhimu. Je, atatikisa ama atalikoroga? Tusubiri, ndio kwanza wanatoka...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
MC Chitanda ni tapeli? -------------------------------------------------------------------------------- Wandugu naomba kuwasilisha, tabia za baadhi ya ma MC zimekuwa ni mbaya sana hata...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Inaaminika kwa waumini wa Dini ya Kislam unapokula kiapo huku ukiwa umeshikilia kitabu kitukufu cha quran ni lazima uweke ahadi hizo la sihivyo yanakuta mengineyo .
0 Reactions
10 Replies
3K Views
VITA NDANI YA MITANDAO YA MAFISADI Date::4/13/2009 Mbunge awashambulia mafisadi wa CCM wanaojiandaa kwa urais Ally Sonda, Moshi MBUNGE wa Jimbo la Vunjo(CCM) Aloyce Kimaro,amewataka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wabunge wataka siri za mgodi Tuesday, 14 April 2009 16:06 Na Gladness Mboma Majira KAMATI ya Bunge ya Nishati na Madini imemtaka Waziri wa Nishati na Madini, Bw. William Ngeleja...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilikuwa napitia mtandao wa wikipedia, ili kusoma historia ya vita vya Kagera, tahamaki nikakuta webpage moja wanalichambua jeshi la wananchi wa Tanzania kinaga ubaga, nikashituka sana, je hizi...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Kwa wale wafuatiliaji wa siasa za tanzania hasa wanasiasa wa vyama vya mlengwa wa kushoto (si wapinzani hawa wanapinga nini)...utagundua kuwa hakuna chama kitachofanikiwa kuing'oa madarakani CCM...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Unless mwandishi awe amekosea ila kama ndiyo reasoning ya polisi wetu hiko hivi mbona tumekula hasara! mwizi kashikwa na ngozi unasema ana tabia nzuri? Mh. Hebu tuambie manake najua unapokea...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Swali langu: Je; Ni Ardhi yetu ndo chambo cha hawa jamaa kuitolea mimacho au? hata hili suala la kuwa na kitambulisho kimoja cha Africa Mashariki -Kiusalama hatujafika huko na haya mambo ya kutaka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
JK akitembezwa kuangalia hoteli ya Kiromo View ya Bagamoyo baada ya kuizindua. Anayempa melezo ni Mkurugenzi Mtendaji wa hoteli hiyo, Bw. James Mujunamgoma. Kushoto ni waziri utalii na maliasili...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
na Francis Godwin, Iringa ZIKIWA zimepita siku chache tangu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kumuagiza Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Amina Said, kuifuta mahakamani kesi ya Diwani wa Kata ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom