KAMPUNI ya Usambazaji Maji kwa Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani, Dawasco, imekata maji katika Hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam kwa kujiunganishia maji kiholela.
Hoteli hiyo imekuwa ikitumia...
Kesho siku ya Jumapili kuanzia majira ya saa saba za mchana (EST) sawa na saa tatu za usiku (Saa za Afrika ya Mashariki) tunatarajia kuwa na mahojiano na Dr. Harrison Mwakyembe Mbunge wa Kyela na...
SIKU moja baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kutangaza matokeo yanayoonyesha asilimia 65 ya wapigakura wote kutojitokeza, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimejigamba kuwa...
WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikishinda ubunge wa Jimbo la Mbeya Vijijini, chama hicho kimeshindwa katika viti vya udiwani katika Kata za Machinjioni Kigoma Ujiji Kigoma na Mnyawa Tandahimba...
Gazeti la Mwanahalisi huenda likajikuta tena matatani kwa kufungiwa kama ilivyokuwa awali baada ya toleo jipya la 28 Jan.-Feb.3, 2009 kuchapisha habari kama zile za awali kuhusu baadhi ya...
Chama cha demokrasia na maendeleo kimeshindwa vibaya katika uchaguzi wa udiwani kati ya kati mjini Arusha.
Katika uchaguzi huo CCm ilipata ushindi mkubwa wa zaidi ya 68% uku CHADEMA ikiambulia...
Wizara ya Habari kupitia Idara yake ya Maelezo imesimamisha Usajili wa magazeti kwa sababu ambazo mpaka sasa hivi hatuzijui.
Tofauti na Kenya ambako unaweza kuanzisha gazeti halafu baadaye...
CCM imeshindwa vibaya na CHADEMA katika uchaguzi wa udiwani wa kata ya machinjiano. Kwenye kata hiyo, CCM iliweka kambi kwa siku 30 na viongozi mbalimbali wa kitaifa wa chama hicho walikwenda...
Mini-budget plan to be moved in Tanzania Parliament
Share Bookmark Print Email Email this article to a friend
Friend's Email Address
Your Email
Message
Submit Cancel...
Ikiwa mara ya kwanza tangu awe raisi wa taifa kubwa kiumbo, kubwa kiuchumi kuliko zote dunia, kubwa kijeshi, raisi Obama jana alihutbia press conference. katika press conference hiyo Obama...
Bila ya kuyaweka majina ya waliorudisha mapesa hayo na kiasi walichorudisha na pia pesa hizo zimewekwa Bank gani, sitaamini kwamba hata senti tano ilirudishwa huu ni usanii wa hali juu.
The...
EDITORIAL: Let MPs express their views freely on matters of public importance
EDITOR
THIS DAY
DAR ES SALAAM
THE 14th parliamentary session begins in Dodoma today to deal with some...
Scholarship to honour leader of Tanzania
Date: 27 January 2009
A NEW Julius Nyerere Scholarship at Edinburgh University will commemorate the life of Tanzania's first president.
In 1949...
Dar road works at risk as WB bans 3 firms
The three companies, which are involved in multimillion-dollar road and bridge construction works in the country, have already been handed letters to...
Wanabodi, wakati nafanya uchambuzi kuhusu matokeo ya Mbeya, nimeona katika archive yetu hotuba ya Bwana Shitambala, nimeisoma imenifanya nijiulize maswali mbalimbali ambayo pengine wapo ambao mna...
2009-01-24 07:34:00
Richmond scam taught us - Sitta
By Vicent Mnyanyika
THE CITIZEN
The Richmond emergency power supply scandal that was investigated upon by Parliament has shown...
Rais Yowel Kaguta Museveni leo anatimiza miaka 23 madarakani baada ya kuipindua serikali ya kijeshi ya Major jenerali Tito Okello Mnamo January 26,1986. Museveni ameonyesha kila dalili ya kwamba...
Polisi watawanya msafara wa Mbowe
Na Mussa Juma
MSAFARA wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe jana ulivunjwa wa polisi kwa madai kuwa ungesababisha...
Jumapili Jan 25, 2009
Mifumo ya ubaguzi haipaswi kukumbatiwa
Habari Zinazoshabihiana
Na Peter Masangwa
Majira
INASIKITISHA Tanzania kugeuka uwanja wa mapambano kati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.