Burundian Refugee Saga In Tanzania
Monday, 22 December 2008, 12:18 pm
Press Release: United Nations
Burundian Refugee Saga In Tanzania Finally Nears Resolution, UN Reports
New York, Dec...
Na Maregesi Paul, Chunya
BAADHI ya wakazi wa Kijiji cha Kanga, wilayani Chunya, Mkoa wa Mbeya, ambacho baadhi ya wakazi wake walipiga kwa mawe baadhi ya magari yaliyokuwa katika msafara wa...
Nadhani Tanzania iko chini ya Advanced Neocolonialsim ambapo uchumi umeshikwa na watu wa nje, wakati serikali imeshikwa na watanzania wasiokuwa na mapenzi na nchi hii na tayari ama wana maskani...
[FONT=Century Gothic][SIZE=3]ACCOUNTABILITY AND TRANSPARENCY IN THE CONDUCT OF GOVERNMENT BUSINESSES IN TANZANIA - KASORI
[FONT=Georgia]
It was only one day after the Speaker, Hon Samwel Sitta...
Yule mwanamapinduzi machachari, Frantz Fanon, aliwahi kusema kuwa mali za mabepari ni mali zetu pia maana walizichota kutoka kwetu, hivyo tuna haki ya kuzidai na kuzitumia pia. Sasa mimi nauliza...
These kinds of threats really annoy me. Who the hell does this woman think she is. she is appointed by the president to serve the people not to threaten them. Maybe he was ignorant of the law...
Undercover mining deals put Tanzania out of range
SAMWEL KASORI
THIS DAY
Arusha
A DAY after National Assembly Speaker Samwel Sitta spoke in support of transparency -- openness on the...
Serikali yakataa kuwalipa walimu 19,276
na Hellen Ngoromera
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
SERIKALI imekataa kulipa madai 19,276 ya walimu wa shule za msingi, sekondari, vyuo vya ualimu na...
Leo nimeona nirudi hapa mkekani kuuliza hili swali kama kawaida yetu tukiwa tunataka kujifunza .
Majigambo , majivuno , matambo na vijembe vilimwagwa kwa nyakati mbali mbali .Baadaye tumeona...
ATCL wawakilisha sababu za kuharibikiwa
Mwandishi Wetu
Daily News; Friday,December 19, 2008 @21:15
Habari nyingine
ATCL wawakilisha sababu za kuharibikiwa
Mpigapicha wa Channel Ten aagwa...
Katibu mkuu wa CCM bwana Yusuph Makamba amedai Mjadala wa EPA ufungwe kwa kuwa watuhumiwa wote wameshafikishwa mahakamani. Je ni kweli watuhumiwa wa EPA wote wameisha fikishwa mahakamani?
Adai...
Date::12/20/2008
Mengi: Mafisadi wanatumia fedha kuchafua amani
ASEMA AMEMSAMEHE MASHA
Na Peter Edson
Mwananchi
MWENYEKITI Mtendaji wa IPP, Reginald Mengi amesema mafisadi wanatumia...
TANZANIA imetumia zaidi ya Bil.1.3 kutangaza vivutio vya utalii vya taifa nje ya nchi kupitia television ya CNN na ABC kwa kipindi cha miezi sita
Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii nchini Tanzania[TTB]...
Nilidhani nimeshajua kila kitu kuhusu EPA... then comes this! Anna Mkapa (mke wa aliyekuwa Rais wetu BWM) anadaiwa kuwa na connection ya ajabu (au inayomake sense) ya EPA... Baadhi ya washitakiwa...
Ufisadi mkubwa vyama vya siasa
Mwandishi Wetu Disemba 17, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
PAMOJA na vyama vya siasa kuwa mstari wa mbele kupiga vita rushwa na ufisadi, imebainika...
Tanzania yaonya kusambaratika EAC
Mwandishi Wetu, Zanzibar
Daily News; Wednesday,December 17, 2008 @21:15
Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) iko hatarini kusambaratika kama ilivyotokea...
Hawa watu wanne ??? nina hamu sana ya kujua walipo sasa hivi.. Kwani nimesikia king'ora kimelia na kuna dalili mmoja wao akawa ametoweka kimoja! Lakini kati ya wote ningependa kujua Basil Mramba...
Mengi aumiza vichwa vigogo
na Deogratius Temba
Tanzania Daima~Sauti ya Watu
SERIKALI inatafakari hatua za kumchukulia Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Reginald Mengi, baada ya...
Wanatutawala badala ya kutuongoza
Padri Privatus Karugendo Disemba 17, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
KWENYE Raia Mwema, (toleo lililopita ukurasa wa kwanza) kulikuwa na habari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.