Ndg Wajumbe!
kabla ya kunyooshea wengine vidole nataka tutafakari kama kweli sisi hatupo kwenye kundi mojawapo la mafisadi! maana kila mmoja sasa anaonekana kuchukizwa na rushwa na mabaya yote...
Date::10/2/2008
Serikali yamcharukia mwekezaji Mwadui yasitisha mauzo ya hisa
Na Kizitto Noya
Mwananchi
SERIKALI imesitisha mauzo ya hisa za Kampuni ya Willcroft kwa kampuni ya Petra...
na Godfrey God, Iringa (Tanzania Daima)
KATIKA hatua inayoonyesha kuchoshwa na kunyanyaswa kila mara na vyombo vya dola, kikundi cha wafanyabiashara ndogondogo mjini hapa, jana walishusha...
Cellphone firms under scrutiny over tax planning
By WILFRED EDWIN
THE EAST AFRICAN
Posted Sunday, September 28 2008 at 09:16
Mobile phone operators in Tanzania are among large...
Msekwa akosa uvumilivu kwa Warioba
2008-09-30 11:37:50
Na Simon Mhina
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Pius Msekwa, ameshangaa madai ya Jaji Joseph Warioba kwamba vikao vya...
Nimemaliza kuangalia hotuba ya JK Umoja wa Mataifa jana; kuna mengi amezungumza (mtayasoma kwenye magazeti) kitu kimoja ni kuwa inaonekana hakufanya mazoezi kuisoma hiyo hotuba kabla yake maana...
TANZANIA Electric Supply Company (TANESCO) says it wont rule out the possibility of entering into a new contract with the controversial Dowans Holdings Company or buy its Dar es Salaam-based...
UKOMUNISTI AU UJAMAA ulipokuwa ukikata roho televisheni za dunia nzima zilikuwa zikishangilia lakini hii leo UBEPARI umo katika sakra-mauti na wanafiki wote wanaupamba kwa urongo wa kila aina huku...
EYE SPY: Here comes another 'Richmond'?
Adam Lusekelo
THIS DAY
Dar es Salaam
LOVELY! Tanesco is zapping Tanzanians with yet another power-rationing schedule that will see us go without...
Wana JF, je kuna haja ya kuwepo wawakilishi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kwenye balozi zetu nje ya nchi? Naomba tujadiliane kama ilivyo jadi yetu hapa.
Reps want Zanzibaris in foreign...
vijana wa kitanzania waliopo south afrika hali zao zinasikitisha sana wana jf juzi nilipigiwa simu na mmoja wao akiwakilisha wenzie 51 alinambia kwamba maisha ya kule yamewashinda na walikuwa wako...
Utajiri wa mafisadi kikwazo kushitakiwa
* Waziri Mkuu asema uwezo wao kifedha unaiogopesha serikali
*Wahusika wa Richmond kuchukuliwa hatua za kinidhamu tu
*Asema kuna upungufu mkubwa...
Hivi kwanini Gazeti la Serikali maarufu kama Government Gazette ambako mambo muhimu ya Taifa kuanzia sheria, kanuni, katiba, au matangazo rasmi huwekwa na mabadiliko katika sheria, kanuni, katiba...
Baada ya kuanza kuja kwa nguvu na jitihada za kuanza kumsafisha aliyekuwa Waziri Mkuu na kulirudisha jina lake kwa nguvu kwenye siasa za Tanzania kundi la "Agenda 21" (Soma KLHN juu ya uundwaji...
Game Theory, naandika haya ndani ya kipindi hiki cha global financial crisis, na kwa abstract kama hii ni imani yangu kubwa kuwa hapo ulipo sasa umekakamaa mbele ya screen yako uki-scroll na...
Wasomi kugoma
na Deogratius Temba
Tanzania Daima~Sauti ya watu
VYUO vikuu vyote nchini, vimepanga kuitisha mgomo usiokuwa na kikomo mwishoni mwa mwezi ujao, kuishinikiza serikali kufuta...
Date::9/19/2008
Wafanyakazi nane wa BoT kortini Dar kwa kughusi vyeti
Baadhi ya wafanyakazi wa Benki Kuu (BoT) wakificha nyuso zao baada ya kufikishwa mahakamani Dar es Salaam, Ijumaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.