Nikiwa mmoja wa Beneficiaries, Napenda kuchukua Nafasi hii kumpongeza kiongozi wetu wa TUCTA bwana Nestory Ngula kwa kazi nzuri aliyoifanya. Mimi binafsi nilikuwa naidai serikali malimbikizo ya...
HIVI kweli tunazungumzia jinsi ya kutumia misaada ipasavyo? Mwaka huu 2008? Hii si aibu jamaa?
YAMKINI ni utegemezi wetu wa msaad ndio uliotufukisha hapa tulipo. Kwa sababu hii Waafrika...
WAZIRI MHUSIKA KALALA- AU ANAMNGOJEA RAIS AMWAMBIE?
KWA KUWA hii ni wiki ya Nenda kwa Usalama Bunge nje ya Bunge limeamua kuanza kuuliza maswali ya msingi ambayo yanakusudiwa kwamba yakipatiwa...
Mwanasiasa mkongwe nchini, Mzee Kingunge Ngombale-Mwiru(Pichani),amesema Chama Cha Mapinduzi(CCM), kitahakikisha kinawashughulikia wapinzani na kuhakikisha wanaumaliza kabisa upinzani. Kingunge...
Mwanafunzi aliwa na simba
2008-09-01 09:13:16
Na Futuna Selemani, Mkuranga
Mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya Msingi, Mwanzega katika Kata ya Mbezi, Tarafa ya Shungumbweni...
Mbunge wa Bunge la JMT(CCM) ameponda hoja ya Kambi ya Upinzani ya kutaka mawaziri wasiteuliwe kati ya Wabunge. Bwana Mrope amesema kwamba taifa haliwezi kuokota mawaziri toka mitaani badala yake...
Kwa mujibu wa tangazo la spika wa Bunge alilolitoa muda mchache uliopita ni kuwa Waziri mkuu atawasilisha taarifa yake siku ya alhamisi kuhusiana na utekelezaji wa maazimio 21 ya Bunge kuhusiana...
Mwananchi
Date::8/28/2008
Wastaafu Afrika Mashariki waandamana tena hadi Ikulu
Na Patricia Kimelemeta
WAASTAFU wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) jana wameandamana hadi Ikulu...
Kongamano la Ubungo lilifanyika, na washiriki waliazimia kufanya maandamano siku za usoni. Wameunda Kamati ya Maandalizi. Ifuatayo ni mada ambayo niliwasilisha katika kongamano hilo...
........Nimemaliza kuangalia mbio za marathon ambazo angalau zinatutoaga..washiriki walikuwa 98..wakajitoa 22...wamemaliza 76 ..mtanzania amekuwa wa 55[samson ramadhani]...
karibu nyumbani...
Ndiyo sababu wakaona bora wakupue mabilioni ya EPA ili kugharamia uchaguzi mkuu wa 2005. Wanachama hawatoi tena ada, wameshashtuka!
Date::8/25/2008
Ukata wakwamisha mchakato wa uchaguzi...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amealikwa kuhudhuria mkutano mkuu wa Chama cha Democratic, ambao utampitisha rasmi mgombea urais wa chama hicho, Seneta...
Tanzania wary of free movement of people, labour
By FRANCIS AYIEKO
THE EAST AFRICAN
August 23 2008 at 16:49
The issue of free movement of persons and labour remained thorny even as...
Mwaka 1967, Rais Julius Nyerere aliunga mkono kampeni ya wananchi wa Biafra, nchini Nigeria, kutaka kujitenga. Alipeleka jeshi kule kwenda kusaidia wapiganaji wa kundi la MASSOB (Movement for...
Kale ka"inzi" ka Mwkjj kamenipitia hapa na kunitonya kuwa Muungwana anaingia Washington DC jumatano ijayo kwa state visit ya George Kichaka.
Naona timing itakuwa problematic kwa sababu camera zote...
$25m properties nabbed over BoT fraud
The Bank of Tanzania headquarters in Dar es Salaam.
By MIKE MANDE, JOSEPH MWAMUNYANGE and WILFRED EDWIN
THE EAST AFRICAN
August 23 2008 at 08:15...
huu ukaribu wa Tanzania na comoro umetoka wapi? majeshi tuluyopeleka huko ilikuiwa kwa interest ya nani? na kwa gharama za nani? hotuba ya wizara ya mambo ya nje ilitawaliwa na mambo ya commoro...
this is the moment of truth. let as be since and disclose what we did in secret ballots!!! did you vote for Kikwete? what were your expectations? if you voted for him, do you regret? is there...
WATOTO wetu wamefanya kile ambacho sisi wazazi wao tumeshindwa, na badala yake tumeishia kufanya kile watoto hao wanachoweza kusema ni kukalia politiki tu.
Watoto wetu hawa wanaosoma shule za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.