"CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimewataka wake wa marais waache kufanya biashara wakiwa Ikulu kwa kisingizio cha kuanzisha taasisi za kuwasaidia wanawake.
Akizungumza na waandishi wa habari jana...
`Muafaka baada ya uchaguzi haufai`
2008-07-20 13:02:52
Na Mwandishi Wetu
Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Dk. Asha-Rose Migiro amesema utaratibu wa kutafuta muafaka baada ya...
EYE SPY:Bongo illiteracy created deliberately!
Adam Lusekelo
THIS DAY
DAR ES SALAAM
I have been thinking why have our education standards fallen so pathetically? After deep deliberation...
I do agree with the writter's final word to a certain degree, than some of his other analyses.
It is true that corruption blossomed after the collapse of ujamaa, but whether Mwalimu's...
Live, Eat, Drink and Breath JF
It is amazing that mafisadi wanachungulia JF kila kukicha kuangalia nini kimeandikwa, JF haitalala hadi kimeeleweka. Wapo wanaotafuta habari za kufanyia kazi hapa...
CCM wamtimua Shibuda
*Atupiwa virago kwenye Kamati ya Siasa
*Adai ni kundi la wanaojifanya watu wa JK
Na Suleiman Abeid, Shinyanga
MBUNGE wa Maswa mkoani hapa, Bw. John Shibuda...
Ni nani anapaswa kumwajibisha Kiongozi wa Serikali anayevunja sheria au kupuuzia sheria?
Sisi kama wananchi na Taifa, inakuwaje tunasulubiwa kwa Sheria na ukali tunapofanya makosa ya kupuuza...
Leo katika taarifa ya jioni ya BBC wametangaza kuwa mahakama ya kimataifa ya the Hague iko mbioni kutoa warrant ya kumkamata rais wa Sudan bwana Bashir kutokana na uhalifu na maovu juu ya binadamu...
Interesting Article: for 2008 Ranking click here
WASHINGTON, May 30 (OneWorld) - The first study to rank countries around the
world according to their peacefulness and identify the drivers...
The two Israeli soldiers abducted in 2006 by Hezbollah and whose bodies were returned Wednesday as part of a prisoner swap will receive military funerals Thursday in their respective hometowns...
Changamoto kwa waTanzania
Kwa vile hapa JF tumekuwa na tabia ya kupeana habari, kurekebishana na kupeana mikakati nimeona kuwa tukiwa na uchaguzi ambao hauko mbali sana tunaweza kuwa na...
KUTOKANA HALI HALISI YA SEKTA YA MADINI HAPA NCHINI ,PAMOJA NA KUWEPO KWA RIPOTI YA BOMANI AMBAYO BUNGE LINATARAIJIWA KUIJADILI KATIKA KIPINDI HIKI CHA BAJETI.
kUNA TAARIFA ZA KUAMINIKA KUWA...
nimepata Tetesi Kuwa Waziri Wa Fedha Amejiuzuru Ila Chanzo Chenyewe Kwa Kweli Ni Mwanahabari Mmoja Ndani Ya Basi Akimpigia Mwezie Wa News Room Kuwa Aiwahishe!!!!!!!
Wakuu Siiamini Ila Kwa Sasa Ni...
source:
http://www.bw.co.zw/index.php?option=com_content&task=view&id=2039&Itemid=149
Tanzania eager to adopt Zims mining laws
An industry body in Tanzania says it wishes to take...
Most Recent news on Mining contracts in TZ Counting the licenses.
By. M. M. Mwanakijiji
1: Canaco and Douglas Lake Add Morogoro Gold Prospect to Tanzanian Portfolio!
VANCOUVER, BRITISH...
Askofu: Wanahabari acheni kuwa mahakimu wa ufisadi
Na Mwandishi Maalumu, Tanga
VYOMBO vya habari nchini vimetakiwa kutokuwa mahakama au mahakimu katika vita dhidi ya rushwa na...
Malecela naye aitega bungeni
Mwandishi Wetu Julai 16, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
Kutaibua ya Meremeta, Kiwira, Bulyanhulu, Buzwagi
WAZIRI Mkuu mstaafu, Mbunge wa Mtera...
nimekuwa nikitafakari ni njia gani inaweza kuitangaza Tanzania kwa mafanikio makubwa na ya haraka!, alipokuja Bush, ni dhahiri Bongo ilitangazika sana,
sasa nimepata wazo kwamba iwapo itaandaliwa...
Hii ndiyo tofauti kati ya ATC na KQ. Wakati KQ mabosi wao wote ni professionals walioajiriwa baada ya kuchujwa na kuchukua walio top kwenye kila nafasi, ATC ajira bado inategemea urafiki na mkuu...
Wapendwa ndugu zangu,
Majuzi nilikuwa Dodoma kwa jamaa yangu mmoja, akawa amealikwa kwenye sherehe ya wizara fulani baada ya bajeti yao kupitishwa na bunge. Niliambiwa kulikuwa na waalikwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.