Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

FORMULA MILK. Imesikika na kutekelezwa na wauza mudauka wote wa jiji la Dar es salaam kwamba maziwa hayo yamepigwa marufuku kuuzwa kwenye maduka,sababu kubwa ikiwa imeelezwa (KUTOKA HUKO JUU...
0 Reactions
48 Replies
8K Views
Mpendwa Joseph, > Salamu sana. > Naharakisha kukuletea nakala ya barua ya Mhe Diwani > L > Mbuya kwa Katibu Mkuu. Nakala hii alipatiwa > Mwenyekiti > Peter Ndowo juzi. > Barua hii naonyesha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Kwa mara ya kwanza baadhi ya maafisa wa Usalama wa Taifa wamepokea kwa furaha hotuba ya Mhe. Zitto kuhusu idara hiyo wakiamini kuwa hatimaye na wenyewe wamepata msemaji Bungeni. Vyanzo vya...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Under the New Plan by MDC, Mr. Jongwe will remain as a Ceremonial Head of state. Since MDC controls the parliament, it'll push for serious negotiation with ZANU-PF. It's unclear if Mugabe will...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wana JF Katika kupita pita huku na kule kwenye mitandao nimekutana na hii habari kwamba Tanzania kama nchi kuna uwezekano mkubwa sana wa kushindwa kufikia malengo ya milenia. Inaonekana ni...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Bw. Yusuph Makamba, amesema wapinzani na watu wanaoendelea kujadili suala la ufisadi katika Akaunti ya Madeni ya Nje, EPA na Richmond kila kukicha ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
na Mwandishi Wetu, Dodoma Source:http://www.freemedia.co.tz/daima/2008/6/29/habari2.php KATIKA hali inayoonyesha kuelemewa na mzigo wa kashfa, serikali imeanza kujipanga kuwashughulikia wale...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naombeni Msaada. Siku ya Jumanne kuna Mbunge wa Upinzani alisimama na kutoa hoja akihoji juu ya Kampuni ya Simu ya VodaCom kupewa likizo nyingine kulipa kodi. Kwa bahati mbaya sikusikia jina la...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari za kuaminika kutoka katika kona muhimu Dodoma zinasema kuwaj mmojawapo wa wabunge machachari Bungeni anatarajiwa kutoa hotuba muhimu sana Bungeni kuhusu mojawapo ya masuala nyeti ya Taifa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Date::6/30/2008 Ufisadi mpya BoT kutinga bungeni *Naibu Gavana asema ripoti bado ni siri *Ni ule wa Sh 5 bilioni zilizolipwa kwa kampuni mbalimbali *Homa ya EPA nayo juu *Lipumba...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
`Zanzibar haina fisadi` 2008-06-27 11:05:04 Na Mwinyi Sadallah, Zanzibar Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu, Fedha na Uchumi, Dk. Mwinyihaji Makame, amesema si vyema masuala ya ufisadi ya...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
Ndege ya aina ya cargo ya kirusi Antonov imeanguka Khartoum asubui hii masaa ya saa 1 na kuua crew wote saba. Ilianguka wakati ikiwa inapaa. bahati nzuri ilianguka uwanja ambao ulikuwa mtupu wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Slaa ang'ang'ania nyaraka za siri Basil Msongo Daily News; Sunday,June 29, 2008 @00:01 Mbunge wa Karatu, Dk Wilbroad Slaa (Chadema) yupo tayari kufungwa miaka 20 jela na anaamini kuwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wananchi hawana imani na serikali ndiyo maana wanatoa nyeti ili labda wasaidie kuleta mabadiliko kwa manufaa ya Watanzania wote. Nyeti za serikali zitaendelea kutoka tu mpaka pale Watanzania wawe...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Ex-Richmond power deal may be extended to 2012 By Tom Mosoba THE CITIZEN The Dowans emergency power supply contract could be extended for another three years despite stiff opposition to the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Date::6/29/2008 Kauli ya Mkulo kuhusu EPA: Kikwete vunja ukimya Na Theodatus Muchunguzi Mwananchi WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo ametoa kauli ambayo imebadili upepo wa kisiasa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nilishasema hapa ukumbini kwamba hizi ripoti za WB na IMF ni bomu. Wameandika upupu mwingine ambao Watanzania wengi hatuwezi kukubaliana nao. Kipindi wanachozungumzia ndiyo mafisadi wa EPA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
`SMZ rudisheni hati za kusafiria` 2008-06-28 11:23:00 Na Mwinyi Sadallah, Zanzibar Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imeshauriwa kurejesha matumizi ya hati za usafiri kati ya Tanzania...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Ole wake Tanzania tusipoisaidia Deus Bugaywa Tanzania Daima~Sauti ya Watu HAKUNA wakati muhimu kwa wananchi wa Tanzania kuuishi na kuutumia vyema wosia wa hayati Baba wa Taifa alioliachia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Waziri Kiongozi awakoromea wapinzani 2008-06-29 12:26:42 Na Mwinyi Sadallah, Zanzibar Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, imesema kamwe haiwezi kuwakaribisha wapinzani katika Kamati ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom