Ndugu wana Jamii naomba Msaada wenu,Nimekutana na baadhi ya watu wana T-shirts za JF,nimejaribu kuwauliza wamepata wapi na jibu lao ni kwamba T-shirts hizo zinagawiwa bure kwa Members wa...
Tunajadili Bajeti: Lakini wanasiasa wanayajua haya?
Na Charles Kayoka
Mwananchi
WAKATI huu tunapoijadili bajeti sijui kama wanasiasa na watunga sera wetu wanalijua hili ninaloandika hii leo...
GREETINGS,
COMRADE,and brother in arms,MUGABE.
The current situation in zimbwabwe,leaves a lot to be desired,your current standoff,with the western world,is doing more harm to zimbwabwe,then...
Sasa rudisheni Kiwira Coal Mining iliyokwapuliwa kifisadi na fisadi Mkapa chini ya STAMICO
Posted Date::6/16/2008
Serikali yasitisha kubinafsisha Shirika la Madini Tanzania
Na Ramadhan...
CCM members in mega scandals to face music
By Tom Mosoba, Dodoma
THE CITIZEN
CCM has resolved that all its members implicated in corruption scandals be held responsible for their...
Posted Date::6/16/2008
NEC yazika mzimu wa Richmond
*Baadhi ya wabunge watetea watuhumiwa rasmi
*Wataka mijadala ya EPA, Richmond iwekwe kando
* Wengine wataka wachukuliwe hatuza zaidi...
Hata wachache wanashinda
*
Ansbert Ngurumo
ALAMA za nyakati sasa zinaonyesha kuwa walio wengi wakitetea uongo, wachache wakatetea ukweli; wachache watashinda.
Sijui kama serikali...
Polisi wavamia wodi, wapiga mtuhumiwa
2008-06-16 09:17:03
Na Patrick Chambo, PST Moshi
Watu watatu wanaosadikiwa kuwa ni askari wa upelelezi wa Kituo Kikuu cha Polisi mjini Moshi...
Kwa vile suala hili la "tunguri" na "sayansi mamboleo" linaweza kuabisha bunge, kudhalilisha "waheshimiwa" na kulifanya Taifa letu lionekane miongoni mwa mataifa yanayoamini sana "nguvu za giza"...
Suala la kashfa ya Richmond na mabilioni yaliyochotwa katika Akaunti Maalum ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania (BOT), linatarajiwa kutawala mkutano wa Halmashauri Kuu ya Chama cha...
Nikiwa nimekaa naangalia mpira na kama kawaida mara umeme umekatika napata sms toka kwa Kalunyungu .Kaninieleza kwamba sasa Serikali ya CCM imeamua kupanda dau nalo ni 15,000$ kama utatoa taarifa...
Waziri Mkuu amshauri Rais Mstaafu kujihadhari mlimani Kilimanjaro
Na Daniel Mjema,Hai
TUKIO la Rais Msaafu wa awamu ya pili, Alhaji Alli Hassan Mwinyi kupanda Mlima Kilimanjaro linaonekana...
Talking to miners is digging the hole deeper
By KARL LYIMO lyimok@gmail.com
THE EAST AFRICAN
Last November, Tanzanian President Jakaya Kikwete established a Mining Review Committee...
Tanzanian boxers arrested over suspected heroin deal
PORT LOUIS: Two Tanzanian boxers and four officials were arrested in Mauritius after they were found with five kilogrammes of heroin, police...
EYE SPY:The 'Abracadabra' budget
Adam Lusekelo
Dar es Salaam
IN his state of the economy survey presented to Parliament in Dodoma on Thursday, Finance Minister 'Braza' Mustafa Mkulo...
Mbunge Zitto Kabwe awapiga vita wabunge wa Dar
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Demokarasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe,amesema Dar es Salaam, ni mkoa pekee uliosheheni wabunge...
Wananchi wengi wamekuwa wakihoji kulikoni EOTF (Ile NGO iliyo chini ya Mama Mkapa). Tangu Fisadi Mkapa amalize kipindi chake cha uongozi na kuanza kusakamwa na balaa la UFISADI, hii taasisi...
Waungwana, tangu June 9, 2008 Gazeti la This Day halijaweka gazeti jipya baada ya kuandika habari hii http://www.thisday.co.tz/News/4121.html.
Je, mafisadi wamewapiga 'Kipapai' This Day? Maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.