Mwananchi-leo
WANASIASA wa Tanzania siku hizi, wanashangaza kutokana na tabia yao ya kutaka kuonekana safi, hata wanapotuhumiwa na mambo mazito yanayohusiana na matumizi mabaya ya nafasi na...
"Huwezi kukwepa wajibu wako kama kiongozi. Uongozi kazi yake ni kuamua mambo mazito, na wakati wote unaweza kuwa na wasiwasi, lakini unaamua kwa maslahi ya taifa. Hata kama katika kuamua huko...
Heshima zenu wana JF,
Tunawashukuru nyote kwa ushirikiano mnaotupa. Aidha tunaomba ushirikiano zaidi katika hatua mpya tunayokaribia kuingia...
Siku si nyingi zijazo tutafanya marebisho makubwa...
ThisDay, May 7th, 2008
ANALYSIS: JK stuck at Mkapas bridge?
IBRAHIM JOHN
Dar es Salaam
TANZANIANS have stumbled upon stunning revelations on a sealed chapter of history that was never...
Chama cha Wananchi CUF kimesema kiko tayari kurejea kwenye mazungumzo ya muafaka na Chama cha Mapinduzi endapo mazungumzo hayo sasa yataongozwa na Rais Kikwete mwenyewe kama Mwenyekiti. Mwenyekiti...
Shahidi kesi ya Kubenea: Watuhumiwa waliahidiwa mil. 2/-
Na Mwandishi Wetu
SHAHIDI wa kwanza katika kesi ya kuwajeruhi na kuwamwagia tindikali waandishi wawili wa magazeti ya Mwanahalisi na...
mwezi huu siku ya sikukuu ya wafanyakazi Jiji la London waliweza kuchagua Mayor wao japo siku hiyo ilikuwa ni siku ya wafanyakazi ila chama cha wafanyakazi/Labour kilishindwa kuitumia siku hiyo...
1 CCM (Chama cha Mapinduzi) is the quantity of stupidity in 1000 mature people who have lost 63.3% or (1-exp(-1)) of their reasoning power. The level of stupidity in a normal person is between 2...
Kweli kabisa jama ukitaka kumuua kobe wewe shika jisu lako kubwa tu halafu mwekee majani kinywani na kuvizia akichiomoza kichwa tu unamkata! usemi huu unadhihirika katika mambo mengi sana katika...
Leo ni Muungano
2008-04-26 09:18:54
Na Mhariri.
Leo ni Kumbukumbu ya Siku ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kutimiza miaka 44 ambapo sherehe hizo kitaifa, zinafanyika katika Uwanja wa...
Pinda tumechoka na usanii. Fisadi Mkapa kama kiongozi wa CCM alijihusisha na ufisadi, Sumaye naye kama waziri mkuu alikuwamo kwenye ufisadi, Lowassa naye, Karamagi, Msabaha, Chenge, Mramba...
Juzi juzi nilikuwa matembezini katika wilaya ya Karagwe. Kilichonishangaza ni kukuta barabara kati ya makao makuu ya wilaya na tarafa moja ya nyabionza, umbali wa zaidi ya km 30, inatengenezwa kwa...
Kapelekwa Lugalo na hali yake ni mbaya sana
still developing...na source yangu ni very credible...ile ile kama iliyonipa habari za Chenge kuresign
Anyway kama kanywishwa au kanywa mwenyewe then...
Ndugu wa JF
It is not time to talk na kulumbana na mafisadi but time to act .Let us Act now .Mwanakijiji pokea minchango .Mafisadi wanataka kutumaliza .Wakimmaliza Kubenea wana hamia Tanzania...
Je Umoja wa Nchi za Afrika lazima?
Bara letu hili la Afrika ambalo linajulikana Ulimwenguni kama jeusi, limejaa UMASIKINI MAGONJWA na VITA na wakati huhuo ni bara ambalo limejaa Rasilimali-...
Wandugu,
Hivi karibuni nilialikwa kwenye screening ya hii filamu iitwayo What are we doing here? Ni filamu nzuri kwa kweli. Inahusu:
WHAT ARE WE DOING HERE? explores why the charity given to...
Wakenya kukomba almasi za Tanzania :: Kiwanda kujengwa Nairobi kwa msaada wa Urusi
:: Ahadi za kuzuia madini ghafi bado hazijatekelezwa
:: Madini yetu yawatajirisha watu India, Afrika Kusini...
CUF: SMZ ya Karume ina Ukaburu
Mwandishi Wetu Aprili 30, 2008
KUNA madai ya kitakwimu, ambayo yanaonyesha kuwa kuna ubaguzi wa dhahiri dhidi ya Wazanzibari wenye asili ya Pemba...
Imekuwa kama vile serikali ya Kikwete ni serikali yenye mikosi vile, kwa maana kila jambo wanalojaribu kulifanya hawaachi kukosea.wakitaka kuboresha Elimu ya juu wanakosea,wakitaka kuboresha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.