Posted Date::4/17/2008
Makamu wa Rais amtetea Rais Kikwete kwa kupambana na ufisadi
Na Mwandishi Wetu
Mwananchi
MAKAMU wa Rais, Dk Ali Mohammed Shein, amesema hatua zinazoendelea...
Huku ni kwa wenzetu ambao wanajua nini maana ya utawala wa sheria.Huyu anamfuata yule boss wa DAEWOO GROUP aliyefungwa kwa mambo kama haya.FMES alipost hapa juzi ile thread ya yule mkubwa wa chama...
Around Africa
March 2008
It has been an eventful month in Africa, not least for the much awaited result of the Zimbabwe's legislative and Presidential elections. While holding on to official...
Good governance? Where?
Adam lusekelo
Daily News; Wednesday,April 16, 2008 @16:03
I DON'T know what the fuss is all about. A Tanzanian minister has been caught with a million dollars...
Naamini umefika wakati watanzania tukaacha kuomba omba misaada ya fedha kutoka mataifa ya kigeni kukidhi bajeti yetu na badala yake tuombe misaada ya Uchunguzi wa Kimataifa dhidi ya mafisadi wote...
Ndugu wana JF, nimesoma habari hii, inayohusu kanuni mpya ya Bunge letu. Kanuni hiyo inamtaka Mbunge awasilishe hoja yake kwenye Chama chake kwanza ikikubaliwa ndipo anaweza kuwasilisha bungeni...
Wawakilishi Zanzibar wadai Benki Kuu Tanzania inawalinda mafisadi Na Salma Said, Zanzibar
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wamesema Benki Kuu ya Tanzania (BoT) inawalinda watu wanaotuhumiwa kwa...
By JOSEPH MWAMUNYANGE
Special Correspondent
Millions of Tanzanians will not be in the group buying shares in the most profitable company in East and Central Africa, Safaricom after the Bank of...
Nchi sasa inayumba
Mwandishi Wetu Aprili 16, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Kitendo
Lowassa, Rostam, Chenge, Mkapa moto
Kikwete, CCM, Bunge watishwa
CHAMA cha Mapinduzi (CCM)...
Of recent kumekuwepo na tabia ya kama waandishi wetu wa habari (Print & electronic media) ambao wanakuwa na big headlines halafu hawataki kumtaja mtu jina
The difference kati ya JF na wao ni kuwa...
Maalim Seif amkejeli Yusuf Makamba
Na Salma Said, Zanzibar
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Wananchi (CUF) Maalim Seif Sharif Hamad amesema anajisifia nafasi yake ya ukatibu mkuu katika chama chake...
Wanajumuia,
Nyumbani tuna mashirika ya ndege makubwa kama matatu hivi. Hivi ni nani anayeyakagua? Wanaponunua hizi ndege zao mitumba, ni nani anazipitisha? Tuombe Mungu haya yaliyotokea Congo...
Admin na Mods wamegoma kumerge threads za JK
labda nikianzisha hii wanaweza kuzimerge ili tupate mteremko wa mjadala
kuna habri za chini kuwa JK kachomoa safari yake y uk NA HATOKUTANA na wa...
Nina viswali vidogo tuu...wanaccm kadampinzani, yeboyebo, dar-es-salaam na wengine wengi..
Wats the deal jamani?
Wat is going on in ya party?
Mawaziri mliowaweka wanatuangusha on a daily basis na...
Je WaTanganyika mnasemaje kwa hili la serikali tatu ya TANGANYIKA ya ZANZIBAR na ya shirikisho au MUUNGANO ???
Tayari mabango yameanza kutawala maandamano yanayofanyika Zanzibar wakidai iletwe...
...with monthly payments of 4 billion shilings to IPTL and 152 million shilings a day to Richmonduli, netgroup problems solutions and songa payments, this was expected
Daily News; Monday,April...
Waungwana mimi kwa maoni yangu Mawaziri wanaojizulu kwa kashfa mbali mbali za kifisadi inabidi pia wajiuzulu ubunge, ujumbe wa halmashauri kuu na kamati kuu pia kama wamo humo ama wafukuzwe...
Area C strikes fear into the heart of Palestinians as homes are destroyed
Israelis defend rules that reject 94% of non-Jewish building applications
Rory McCarthy in Far'un
The Guardian...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.