Workers of TANESCO singing a solidarity song during yesterday`s rally in which the workers voiced their concern over the Richmond scandal. (Photo: Lukas Lukumbo)
TANESCO workers speak out...
Who is this guy? Why did he do this & under what capacity? Is he the "de-facto spokesperson" for Tanzanians living in the US? Aliwakusanya akina nani na kukusanya maoni yao halafu baadaye...
It seems bid for Air Tanzania to survive goes well, i checked on Amadeus ( world leading GDS) and saw the timetable for Air tanzania is loaded and is bookable through E- Ticketing on all...
Leo Mwenkyekiti wa CUG, Prof Ibrahim Lipumba ameunguruma katika ukumbi wa Diamond Jubilee na kutoa msimamo wa chama hicho kuhusiana na masuala ya muafaka.
Kwanza CUF imempa masharti JK ili...
Yaani ukali wote na mikiki na makeke ni kutisha umma ,heko CUF kuendesha maandamano nchi nzima huu sasa ndio muelekeo kuelekea uchaguzi mkuu wa 2010...
Dear Member,
Here is some vital information about a conference organised by the University of Dar es Salaam that might be of interest to you and beneficial as a professional.
Hope you get an...
Mapokezi makubwa yamsubiri Kikwete Comoro na manyerere jackton, anjouan, comoro
SERIKALI na wananchi wa Comoro, hasa Kisiwa cha Anjouan, wamemwandalia Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU), Rais...
Mobile phones 'more dangerous than smoking'
Brain expert warns of huge rise in tumours and calls on industry to take immediate steps to reduce radiation
By Geoffrey Lean
Sunday, 30 March 2008...
Meli moja ambayo bado haijatajwa na vyombo rasmi, imezama Jumamozi iliyopita wakati ikiwa njiani kutoka Dar es Salaam kuelekea Mafia. Abiria na wafanyakazi waliokuwemo kwenye meli hiyo inaelezwa...
Nakubaliana na Kitime kwamba mpaka hapo wahusika wa ufisadi uliofanywa BoT, Richmond, Kiwira Coal Mining, ununuzi wa rada, ndege ya rais, magari na helicopters za jeshi na mikataba ya madini...
Tanzanite mining ban partially lifted
2008-04-05 10:12:07
By Adam Ihucha, Mererani
Tanzanite mining activities resumed at blocs C and D here yesterday after the government lifted a ban...
Posted Date::4/5/2008
Membe 'awauzia' mabalozi uamuzi wa Butiama
Na Muhibu Said
Mwananchi
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, jana alikutana na mabalozi wa...
Kanal Bacar katolewa, Vip kuhusu Kony na Nkuda ???
KWA wanaofuatilia kwa karibu suala la uvamizi wa kisiwa cha Anjouan, Comoro bila ya shaka watakuwa wameisikia taarifa ya redio ya Marekani...
Barrick yalaani unyama wa watumishi wake
Sengerema District,
Mwanza Region
April 3rd 2008;
Two camp caretakers from Nyanzaga Camp which is approximately 1km from Sota Village in Sengerema...
na Kulwa Karedia na Salehe Mohamed
NCHI wahisani zimetishia kutochangia bajeti ya nchi ya mwaka 2008/2009 kama serikali haitachukua hatua kali dhidi ya mafisadi waliochota mabilioni ya shilingi...
Vyanzo mbalimbali vya habari vimeanza kuongelea ziara ya waziri mkuu wa JMT - Pinda ya kutembelea marekani. Habari hizi ambazo ni nyeti na za kutatanisha lakini za kutoka vyanzo vya uhakika...
HALMASHAURI Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (NEC) imewaachisha uongozi rasmi viongozi wa Jumuiya ya Wazazi Taifa ambao ni Mwenyekiti Abiud Maregesi, makamu wake Ramadhan Nzori na aliyekuwa...
THE CIVIC UNITED FRONT
(CUF- Chama Cha Wananchi)
Office of the Secretary General
P.O. Box 3637, Zanzibar, Tanzania
E-mail: cuf@zitec.org
Homepage: www.cuf-tz.com
TAMKO LA CHAMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.