Kwema Wakuu,
Ujenzi umekua gharama sana sababu ya kuongezeka kwa bei za bidhaa kunakoendana na ongezeko la bidhaa zingine zisizo za ujenzi pia.
Kwa aliejenga miaka 10 nyuma gharama hizo hizo...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Mhandisi Aisha Amour kuwasimamia wataalamu kutoka Wakala wa Barabara (TANROADS) kuhakikisha hadi kufikia mwezi...
WAZIRI BASHUNGWA AANZA ZIARA YA KIKAZI MKOA DODOMA
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewasili Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dodoma na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa, Rosemary Senyamule, kwa ajili ya...
Wadau habarini
Hivi gharama ya kujenga nyumba ya vyumba vitatu dinning na sitting room mpaka kufikia mwenye lentre inaweza kugharim shingap za kitanzania
Hapa naulizia kuanzia msingi, gharama za...
Nawasalimu wanajamvi wote,hongereni kwa majukumu ya kujenga taifa. Leo nimekuja kwenu kuomba ushauri ni kipino gani kinatumika kupata bei ya ujenzi wa nyumba?
Nimempata fundi aniinulie boma...
Nahitaji kujua utofauti wa hizi rangi ambazo ni vinyl superlux matt emulsion, na silk ambazo sio matt, hizo za kwanza ni zile za kuchanganya na mashine au ni zipi, na matumizi,
Wadau naombeni kujua gharama ya kutumia megapanels kujengea ukuta na pamoja na roofing.
Je, ujenzi huu wa kutumia mega panels na ule wa kutumia tofali na bati, upi ni nafuu?. Pia naomba kujua bei...
Wakuu habari zenu,
Nipo kwenye changamoto na jirani yangu hapa anayetaka kujenga nyumba Yake Kwa kutumia fensi yangu. Upande mmoja na cha kushangaza analazimisha na Ujenzi umeshafikia level ya...
Wakuu nisiwachoshe, kama picha inavoonyesha hapa, nimejenga mfumo huu wa nyumba.
Nifanye nini kuzuia maji kupenya ukutani na kuolowesha hadi ukuta wa ndani? kama kuna nyenzo naweza kutumia...
Ndugu zangu wanajamii forums nielimisheni:
Hapo kwetu Bagamoyo kuna ramani mbili; moja ni mpango mjini yaani kwa Chingereza wameniambia wanaita TP. Nyingine wanaita kitu kama saveyi.
Vyote hivi...
Wakuu Nina ka ujenzi kanaendelea nimefikia hatua ya kupaua nimeona hii kampuni imefungua ofisi hapa mwanza karibu na site yangu na bei zao sio mbaya wasiwasi wangu ni ubora je kuna mtu anauzoefu...
Ukienda nchi za Ulaya na Marekani, nyumba zimepangwa eneo la wazi na hakuna uzio wa ukuta wala machuma.
Nyumba zenyewe za mbao, wanaishi kirahisi sana.
Ukija Tanganyika, nyumba zimejengwa kwa...
Kumekuwa na nguvu kubwa na kutangaza mkeka mbao na marble sheet. Wataalamu wanaojua mambo, ningependa kujua uimara wa hizo bidhaa mpya ambazo mimi nazifananisha na plastiki tu, kama zile kapeti.
Habari wana jamvi..
Hivi karibuni nategemea kufanya wiring kwenye mji wangu, lakini kuna mdau alinipa taarifa kuhusu vifaa vya tronics, kuwa kwa sasa tronic inazlishwa na mchina hivyo uhakika wa...
Ni cement inayonishangaza kidogo; ukiwa unaitumia mfano kama mchanga ni mweupe basi ukitumia mchanga unakuwa mweusi na ukitia maji unakua kama una mafuta au oil ivi, yani ipo tofauti na cement...