Heshima sana wakuu,
Tumshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kutupatia uhai mpaka sasa tunapoelekea kuukamilisha mwaka 2021.
Najua kwamba wapo wengi walitamani kuanza ujenzi wa nyumba zao na ni...
MBUNGE CONDESTER NA DG RUWASA ENG. KIVEGALO WAFIKA CHILULUMO, IVUNA NA KAMSAMBA KUTATUA CHANGAMOTO YA UKOSEFU WA MAJI VIJIJINI, JIMBONI MOMBA
Mbunge wa Jimbo la Momba, Mhe. Condester Sichalwe leo...
BASHUNGWA AIPA MWEZI MMOJA KAMATI YA UWEZESHAJI WA WAZAWA SEKTA YA UJENZI
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa mwezi mmoja kwa Kamati inayoandaa Mkakati wa kuongeza ushiriki wa Wazawa...
Habari mwanafamilia wa jukwaa la ujenzi,
Je, umewahi nunua kiwanja ukaanza na ujenzi kabisa alafu baadae ukagundua ulijichanganya kujenga hapo,,
Twambie ilikuaje [emoji848]
#Nimeitoa sehemu
Habari Wataalamu,
Naomba contacts za kiwanda cha kutengeneza paving grids, Hizi ni badala ya pavements na zinafaa Sana sehemu yenye majimaji au udongo unaokaa na maji,
Zitasaidia kuondoa...
Wana Jamiiforums wenzangu khabari za jioni, kwa wataalam wenye talanta na taaluma za mambo ya ujenzi Naomba msaada wa RAMANI ya nyumba ya wapangaji.
Ahsante.
MOMBA: DG RUWASA AFIKA JIMBO LA MOMBA KUTATUA KERO YA UKOSEFU WA MAJI
Mkurugenzi Mkuu wa RUWASA, Eng. Clement Kivegalo amesema Wastani wa upatikanaji wa maji safi na salama nchini ni asilimia...
BARABARA ZINAZOUNGANISHA TANZANIA NA NCHI JIRANI KUENDELEA KUJENGWA NA KUKARABATIWA
Serikali kupitia Wakala wa Baraba Nchini (TANROADS), inaendelea na Ujenzi na ukarabati wa Barabara...
TANROADS KUTUMIA TEKNOLOJIA MBADALA UJENZI WA BARABARA NCHINI
Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), imefanya majaribio ya awali ya matumizi ya teknolojia mbadala katika ujenzi...
Wenye uzoefu tujuzane.
Kutengeneza mwenyewe paving Blocks au Kununua kipi nafuu? Kuna mafundi wameniambia mfuko mmoja wanachaji 6,000/- na unatoa vitafali 100-120.
Kupanga napo ni makubaliano...
Ivi Tanzania hatuwezi kuanza kujenga nyumba km izi za Japan kutumia mbao na karatasi kwa sababu mi naona cement inachukua nguvu kubwa na bei sana; mb izi zipo so simple na nzuri pia?
Imagina...
Wakati Moderators wakila Bata Ngorongoro na mimi kesho nielekee Kigurunyembe nikale Kanga!
Hivi ni nani aliyeleta nadharia ya kwamba zile nyumba za kuficha paa almaarufu kama. "Contemporary...
Habari ya majukumu wakuu
Bila kuwachosha sana niende moja kwa moja kwenye mada, nilinunua kiwanja kwa ajili ya makazi pemebezoni mwa mji kipindi hicho bado palikuwa hapajachanganya sana kama sasa...
SERIKALI KUSHIRIKISHA SEKTA BINAFSI UJENZI WA BARABARA NCHINI
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali kupitia wizara hiyo imepanga kuanza ujenzi wa barabara kwa ushirikiano wa Sekta...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa miezi miwili kwa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kukamilisha taratibu zote za kiutendaji na Marekebisho ya Kisheria ili kuuwezesha Wakala huo...
Kipi kitakupa ubora ulio poa zaidi, isiokuwa na risk sana na yenye kukaa zaidi kwa muda mrefu.
Ukitumia wall puty alafu ndio upake rangi.
Au
utumie white cement na gypsum powder alafu ndio...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Aina gani au kampuni gani ya puty kwaajili ya ukuta,nimeona makampuni mengi ikiwemo jk wall puty ila yanabanduka haraka na rangi yake.
Je, naweza kupata...
TAASISI YA JAFARI CHEGE FOUNDATION YAENDESHA KAMPENI YA ONDOA PAA LA NYASI RORYA
Mbunge wa Jimbo la Rorya ambaye pia ni Muasisi wa Taasisi ya JAFARI CHEGE FOUNDATION (JCF) ameendesha Kampeni...
MBUNGE REGINA NDEGE AITAKA SERIKALI KUFANYA TATHMINI YA KINA ILI KUKABILIANA NA CHANGAMOTO YA MAPOROMOKO NA MAFURIKO KWENYE MIUNDOMBINU
"Kuna mpango gani wa dharura wa kuzikarabati barabara za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.